Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

[emoji28][emoji28]mtoa mada kenge sana
Unaweza ukakuta sababu ya Ukenge wako, basi kila unayemuona unafikiri ni Kenge mwenzio.
Hivi katika thread ulivyosoma kuna sehemu yoyote serikali imehusishwa au hata kutajwa?
Hiyo mada si inahusisha mambo yaliyopo Mahakamani? Watu huwa mnajiona mna uelewa wa mambo kumbe vichwani ni upepo mtupu.
 
Ngoja wazee wa kuheshimishwa waje tuone wana mpya gani.

Mana kwenye hii issue Me walio wengi wanasema Hakimi kawaheshimisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakimi,huyu jamaa ana bet sana.
Fedha zake zote huwa zinaishia betting.
 
Hebu toa vifungu vya sheria ya ufaransa ambavyo vinatibitisha hayo maneno.
Mahakama haiwezi kuhoji MALI UNAPELEKA/UNATUMIA WAPI.

Issue kubwa ni matunzo ya watoto tuu.
Hapo Mahakama ndio itahakikisha watoto wanapata matunzo yote.

WAtoto watalelewa na bibi yao kama vipi.. mwana hana hela
 
Wengi kwenye ndoa,ni opportunists, yaani yupo pale kwa sababu fulani fulani tu..

Huku kwetu utasikia mdada akisema, "nimechoka na haya maisha magumu, nitafute bwana nipumzike". Hapo kwenye kupumzika you know what it means eenh!

Hata wanaume wa hivyo wapo, ndio maana unakuta kijana anafugwa na shangazi, "anapumzika"!
 
Kwa mara ya kwanza nimesoma comment ya mtu aliyeweka nyama kwenye point.

Kuna wengi waliosema umetuheshimisha watarejea mawazo yao wakisoma comment yako.

Nikiwa kama baba wa mtoto wa kike, kaka kwa dada zangu wakuzaliwa nao, mjomba kwa mabinti wengi tuu, nisingemnyooshea kidole huyo mwanamke kwa nisiyoyajua. Kitu pekee tunachokijua wote hapa ni kua ameshindwa kesi ya kudai mali zilizopatikana kipindi cha ndo, ambayo ni haki kisheria.

Kwanza ni kwasababu ilikua ndoa halali
Pili, hiyo ndoa haikuletwa na njaa ( at least we know her status before marriage ). Huyo mwanamke hakwenda kwa hakimi kwasababu ya njaa.
Kingine ni kwamba kiini cha talaka yao sikijui, inawezekana kabisa ikawa immaturity ya huyo kijana.
Mwisho kabisa ni talaka halali na familia ina watoto, anayesema umetuheshimisha probably angefanya the same, kama angekua wakike.

Ninachojua ni kua wakati wanaanza mahusiano dada hakua mchovu financially, na huyo kijana hakua level aliyopo sasa. Kingine nunchokijua ni kua vinavyopatikana kipindi cha ndoa ni halali ya wanandoa wote. Mengine nitawaachia wajuaji.
 
Labda 5/95 hapo sawa.
 
Wana fikira finyu sana baadhi yao.
 
Huwezi kujua nini kilimpeleka, actors/actresses wengi wanakuwa broke sana tu, so huenda alikuwa na agenda zake binafsi. Kila mtu ana sababu za kuingia kwenye mahusiano na wanaoingia kwa genuine love wanaweza kuwa asilimia ndogo sana.
 
Chanzo ya Mapato ya mama ni vizawadi alivyokuwa anapewa na mwanae hakim , anafanya kazi PSG fc , ila wazungu watamkomalia hakimu kama mnyanyasaji wa kijinsia .
 
Cha ajabu watu wanqshangilia hukukubya dhuluma...yaani kapikiwa,kapetiwa miaka yote Ile ...kipato kinaenda Kwa mama yake ,pathetic ,huyo dada atapata Haki yake!
 
kumbe kugawana huwa ni mali za mwanaume tu, nilidhani zinachanganywa ili mgawanyo uwe wa haki.
Kama ni companionship Hakimi alitoa pia, mchango wa mwanamke kwenye utafutaji ni Upi?
Seriously u don’t even know the contribution of women in level of development? In marriage level? Family level? Community level? Global level? And you’re here arguing with me? Seriously?😞😞😞

Sikupaswa ata kukujibu☹️☹️☹️But for the benefit of all who knows nothing like you..You have to understand that 👇

General Women including your own (Mother🥰My Mother🥰and all Mother’s out there).

They take the lead in helping the family adjust to new realities and challenges.. They are likely to be the prime initiator of outside assistance.

And play an important role in facilitating (or hindering) changes starting in family level..community level and global
 
Wanawake wana roho mbaya, na ukitaka kujua mwamba emmanuel eboue alimuanini mke na mali zake kilichomtokea hatokaa asahau hadi ana kufa.. huyo dada acha avune alichopanda
 
Tunabishana kutuma mawazo ambayo Kesi yao imeandikwa juu juu kwenye Mitandao.

Ingerushwa hewani kama ile ya John Depp.
Tusingekuwa na comments za namna hii.

Kuna mengi ya kujifunza kwenye Maisha.

Mali kama mali haijawahi hurumia mtu yeyote hasa wakikutana watu hekima na busara imekwisha.

Kitendo cha kugawanya mali ,hasa hiki kuwafanya wanaume wateseke sana na haya maisha.
Na pia kwa Mama wakiachwa na watoto huteseka sana hata kama wana mali.


Uhuni uhuni huleta hayo
 
Hivi mkuu umeshawahi kufuatilia mgawanyo wa mali huko magharibi unavyowatesa wanaume. Naomba ukasome story ya Emmanuel Eboue aliyekuwa mchezaji wa Arsenal, alinyanganywa almost kila kitu, akawa homeless kisa kujifanya kumpenda sana mkewe. Yule jamaa asingekuwa na connection angijiua.
 
Haya yote ni kweli mkuu , lakni ndo hivyo hakimu hana ata Mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…