Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

Wewe ni mwanasheria?
Kwanini Kim Kardashian hajadai nusu ya mali za Kanye wakati walikuwa nao wanandoa? Instead Kanye analipa 200k $/month as child support?


 
Kifupi Hakimi amefanya kile biblia inasema ishi na wanawake kwa akili.kuhusu uwezekano wa kuwepo kesi nyingine juu uthibitisho wa vyanzo vya mapato vya mzazi wake hakimi,kwanini nani ajuaye yawezekana kulikuwa na makubaliano ya kurudisha fadhila kwa mama kutokana na mapito ya Hakimi kimakuzi, yote kwa yote hatujui sheria za ndoa za Morocco zinasemaje kuhusu suala hilo lakini yote kwa yote Hakimi kucheza kama messi maana wanawake siku hizi hawatabiriki kabisa!
 
Hakuna kitu kama hicho...

Chanzo cha mapato ya mama yake ni mwanae, ambae anafanya kazi...
Umenena kweli kabisa! Tena mama anaweza kusema bado anamdai mwanae kutokana na mapito ya makuzi yake, kwani nani awezaye kulipia fidia za mzazi katika ukuaji wa mtoto? Hakuna. Kijana aliona mbali sana, baadhi ya wanawake siyo.
 
Wanawake ndio zenu hizo kuingia kwenye mahusiano kwa ajili ya maslahi. Mwanaume anaweza kuoa binti hana kitu n maisha yakasonga lakini mwanamke lazima aangalie kwanza maslahi kabla kumkubali mwanaume
🤣🤣🤣Kichwa Cha nyumba
 
Kwa watu wa mpira back in 2014 Djibril Cissé alikumbana na same same case,tena ilikuwa at the end of his carrier, na ngoma iliishia kama ilivyo kwa Hakimi hapo,hizo zingine jombi ni mawazo ya kitanzania siasa kweny kila jambo.
 
Kwa watu wa mpira back in 2014 Djibril Cissé alikumbana na same same case,tena ilikuwa at the end of his carrier, na ngoma iliishia kama ilivyo kwa Hakimi hapo,hizo zingine jombi ni mawazo ya kitanzania siasa kweny kila jambo.
Mwambie kama jamaa alikuwa mlevi na mshahara wake aliunywea pombe ina maana leo mahakama ingeenda kuudai bar?

Kwa kuwa mwanamke ameiomba mahakama igawe Mali pasu, basi Mali za mwanamke alizozichuma kwenye uanamitindo wake zigawanywe sababu jamaa hana kitu
 
Na inawezekana hata hio scandal kaitengeneza yeye. Yule dem ukimuangalia sura tu unaona ni roho mbaya sana, nadhan mama ake hakim aliliona hilo mapema ndo maana wakafanya hivyo khs mali za hakim.
 
mfano nimejenga gorofa saba kariakoo halfu jina la nyumba nikaweka mama yangu apo kuna ukwepaji kodi upi
 
FALLER WEWE.
 
Wanawake baadhi wapuuzi sana,mali za mwanamme zigawanywe za mwanamke Hapna! Mambo ya usawa wa jinsia yako wapi,mambo ya kijinga eti haki za binadamu hadi mambo ya msingi, mahakama naamini imetenda haki na imemaliza mjadala na kubaki uswahilini kwetu huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…