Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

Yes, lakini pia kama huyo mwanamama ana kipato kwa nini wagawane mali za hakimi tu 50/50, angetaka alichoongea kiwe sahihi ina maana wangeweka mali zao zote chini kisha ndo wagawane nusu kwa nusu
 
Weeeh!! Ni lini uliona wanaume wengi wa Tanzania wanatumia reasoning!!
Halafu utawakuta wanalalamika hawaheshimiki, we utaheshimu vipi mtu wa hivyo!!!!

Wanajua majungu tu. Watalijungua hilo likiisha watarudi kuijungua serikali. Ndicho pekee wanaweza.
 
Not 25/50. Atleast 5/50
 
Kwa mimi nilivyoelewa kwanini wamemchukulia Da Hiba kama gold digger ni kwasabab alianza kudai talaka baada ya hakimi kuhusishwa na ubakaji kabla hata ya kuwekwa hatiani na mahakama kama ni kweli au la.

Kwenye vyanzo vya pesa kuhusu mama kujibu, nadhani hakuna bank ulaya hata hapa kisheria utakayoingiza mpunga mreefu mreefu zaidi ya mara mbili halafu usihojiwe nadhan hilo kama ni tatizo lingeshawatokea before hii case.

Halafu hapo kwenye case ya sheria ndoa na dini, kwani waislam si wazee wa talaka tatu!? tangu case ianze mpaka sasa Da Hiba atakuwa kashakula zile mbili? Au anataka tatu kwa mpigo?
So sidhani kama ndoa yao imesimama sana kwenye sharia.

Kuhusu Hiba kuwa na njaa au la, pesa huwa hazitoshi na many time hawa watu wa kike hasa Europeans huwa na mission za muda mrefu,kuzaa nae isikupe shida ( mawazo ya kimatumbi hayo)madogo watakula child support life litaendelea, hawa viumbe wananusa pesa sana.

Nadhani hoja zako nyingi, zinajijibu zenyewe haraka sana.

Ndio maana matajiri wengi wanaogopa kufunga ndoa, wanawake wamebadilika wanazitumia sheria vizuri ku play smart for their own benefits…

Tusishangilie tuwaombee wakae chini wa solve the case, warudiane maisha yaendelee


Wasalaam.
 
FALLER WEWE.
Ukiona mtu unayemdhania ni wa kiume anapenda kutukana pasipo hata sababu, hiyo ni ushahahidi wa moja kwa moja kuwa hafanyi matumizi sahihi ya jinsia yake bali hufanyiwa kinyume na jinsia yake.
Kati ya vitu mashoga wanavimudu na vinaishi kwenye ulimi ni matusi aisee.

Niliwahi kumhoji mmoja kwanini wanapenda hivyo, akadai wakiongea matusi huwa yanawasisimua sana na kuwafanya wawe proud na confidence na hali yao ya maisha waliyoyachagua.
 

Mbona inajulikana kuwa 80% ya mshahara wake huwa inakuwa deposited kwenye account ya mama yake na ni mali ya mama yake? Sijui sheria lakini nafikiri hoja yako ya kusema mama yake Hakimi achunguzwe mali zake anapozitolea haina mashiko.


Pia kwa mimi layman wa sheria nafikiri kipato cha mtu huwa kinahesabika kile kinachoingia kwenye milki yake kwa 100% baada ya makato yote yaliyoidhinishwa kisheria. Je mwanasheria wa Hakimi hawezi kusimamia ile 20% tu ya mshahara kuwa ndiyo mali halali ya Hakimi? Ngoja tuone itakavyokuwa
 
Hakuna kurudiana.
 
Umeandika kitoto mno kama siyo kifaller. Faller si tusi, ni namna ulivyo. Ni sawa tu na mjinga. Wewe ni fallar
 
Huwezi kujua nini kilimpeleka, actors/actresses wengi wanakuwa broke sana tu, so huenda alikuwa na agenda zake binafsi. Kila mtu ana sababu za kuingia kwenye mahusiano na wanaoingia kwa genuine love wanaweza kuwa asilimia ndogo sana.
Ni kama tu Amber alivyompeleka mahakamani Johnny Depp,, akaangukia pua badala ya kulipwa ika end up manzi ndo inabd alipe
 
Umeandika kitoto mno kama siyo kifaller. Faller si tusi, ni namna ulivyo. Ni sawa tu na mjinga. Wewe ni fallar
Na ndivyo ulivyo, ndiyo maana unaona wengine wanafanana na ulivyo
 
Kumbe wanaume wenye akili humu ndani bado mpo!!
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Suala la ww kuwa na mtoto wa kike hakuwezi kukufanya uhalalishe hii tabia ya kipumbavu ya wanawake kuolewa huku ameikodolea macho mali ya kijana wa watu.
Kama ni suala la kugawana mali wagawane Mali ambazo wameziangaikia wote.
Hivi hata ww ungekuwa na kijana wa kiume ameshinda juani kujitafutia mafanikio alafu leo hii anaoa mwana mke miaka miliwili ya ndoa anadai talaka alafu anadai wagawane mali ambazo kimsingi unajua kabisa hana mchango wowote juu ya hizo Mali za mtoto wako utajisikiaje kama mzazi ya huyo kijana?

Mm binti yangu akifika umri wa kuolewa nitamuambia kabisa kama anahitaji kuolewa aende kuolewa kwa ajili ya kujenga familia iliyo bora na sio kwenda kufanya utaperi dhidi ya mtoto wa watu yakimsinda arudi nyumbani mm sitaki dhuruma.
 
Una akili mno. Wewe ni baba bora mzee mwenzangu
 
Reactions: ITR
Dah! Umeongea Kiutu uzima sana aisee!
 
Rahisi tu! Mama alinisomesha akanipeleka kwenye vituo vya kujifunzia soka na tulisha kubaliana nitampa asilimia 99 ya mshahara wangu kwa miaka 20 hiyo 80 nimemuomba tu ili niendeshe familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…