imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kwahiyo mnataka kupindua SerikaliUnapenda Kusikia Maneno Matamu,utasikia Sana Ila Huyu Mama Uwezo Wake Ni Mdogo Sana. Muda Utatupa Majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mnataka kupindua SerikaliUnapenda Kusikia Maneno Matamu,utasikia Sana Ila Huyu Mama Uwezo Wake Ni Mdogo Sana. Muda Utatupa Majibu
Let Great Thinkers discuss hii kitu. Wewe endelea kupiga kimya na kusoma comments. Unapoanza names calling tena kwa majina ya ajabu ajabu unaonyesha tu jinsi gani ambavyo elimu yako haikukusaidia. Hoja hupingwa kwa hoja.Magufuli ndiye aliyekuwa rais na kauli ya mwisho. Sukuma Gang kubalini tu zamu yenu imekwisha
Sawa tuendelee kulembua macho mkuu.Magufuli alikuwa mkaidi, wasaidizi wake wengi wakaamua kumpigia tu makofi na kumsifu huku mioyoni wakisema ngoja tumwone.
Taga weweHuyu mama soon
ATA IUZA HII NCHI
Wasukuma ni kutoka ulaya eti?Kama hayati alivyoibinafsisha nchi kwa wasukuma
Uliwahi mshauri Jiwe vitu vya kusema kwenye media au umeamua kuanza na mama baada ya Jiwe kudondoshwa na Corona?Mama alinisikitisha sana jana kutokana na kauli zake. Hana power ya ku negotiate huyu. Na angekuwa ni Rais toka mwanzo hata hiyo 16% tusingeipata. Mimi najua ugomvi uliobaki na Barick ni kipengele cha kodi ambayo serikali inasema inawadai Barick. Sikuona haja ya kusema maneno aliyoyasema hapo. Ni kweli Business ni win win situation lakini kwa kusema hadharani eti sisi tuwanyenyekee kwasababu tunawahitaji zaidi ilifanya niumie kama Mtanzania. Unaweza ukakubaliana nao ukasema hili la kodi za nyuma tunalifuta na tunaanza upya full stop na si kuwapa wale jamaa viburi. Kila nchi Mungu amewapa rasilimali zao, wakitumia vizuri zinawatoa na kuwaaidisha. Serikali ya Hayati Magufuli anagalau walipata USD million 300 (zaidi ya Billion 700 toka Barick na tukaunda Kampuni ya pamoja ya Twiga.
Changamoto zipo lakini mama aangalie yapi ya kusema kwenye media. Mimi kwasasa kama Mtanzania nitabaki mtazamaji kwanza mpaka nimuelewe mama Philosophy yake ni ipi. Nikasikia tena juzi nilishinda mtandaoni naaangalia vitu nikasema tatizo jingine linakuja. Anaweza wasahau wengi kwa manufaa ya wachache. Uzuri hesabu hazidanganyi na Muda ni tabibu mzuri. Tusubiri tuone. Ila namtakia kila la heri. Akifanikiwa katika kazi yake wamefanikiwa kama watanzania, akiyumba tunayumba wote.
Tuanze kupambania Katiba Mpya, Reforms za Mahakama, Bunge, Sheria za Vyombo vya habari n.k. Ninatamani sana kuiona Tanzania yenye neema na iliyo mfano kwa dunia Nzima kuanzia Uchumi, Demokrasia, Usawa wa kijinsia, haki za binadamu, Siasa za Kistaarabu na enye tija kwa nchi na Uzalendo wa kuipenda nchi yetu na kulinda Rasilimali zetu. Home Sweet Home Tanzania.
Vipi hoja yako yaudini imefanyiwa kazi?Sasa unataka tuteke na kupoteza watu?
I second you, muda ni mwalimu mzuri, "hakuna corona", as you said muda ulikuja kutoa jibu sahihi.Unapenda Kusikia Maneno Matamu,utasikia Sana Ila Huyu Mama Uwezo Wake Ni Mdogo Sana. Muda Utatupa Majibu
Alifanya vizuri, au alilazimisha tuone alifanya vizuri?Katika sekta ambazo Mwendamseke alifanya vizuri ni sekta ya madini.
Mataga ndio wanaomuweka hapo!Ningekuwa mimi ningeanza kuwauza Mataga wote nikianza na wewe, sijui kwanini Mama anawalea sana
Chini ya katiba hii iliopo, aendae upinzani kwa nia ya kuleta mageuzi akapimwe akili.Mimi matabiri leo 2025 vijana wengi na vigogo wengi wataenda upizani
Mkuu uko sahihi sana!Mama alinisikitisha sana jana kutokana na kauli zake. Hana power ya ku negotiate huyu. Na angekuwa ni Rais toka mwanzo hata hiyo 16% tusingeipata. Mimi najua ugomvi uliobaki na Barick ni kipengele cha kodi ambayo serikali inasema inawadai Barick. Sikuona haja ya kusema maneno aliyoyasema hapo. Ni kweli Business ni win win situation lakini kwa kusema hadharani eti sisi tuwanyenyekee kwasababu tunawahitaji zaidi ilifanya niumie kama Mtanzania. Unaweza ukakubaliana nao ukasema hili la kodi za nyuma tunalifuta na tunaanza upya full stop na si kuwapa wale jamaa viburi. Kila nchi Mungu amewapa rasilimali zao, wakitumia vizuri zinawatoa na kuwaaidisha. Serikali ya Hayati Magufuli anagalau walipata USD million 300 (zaidi ya Billion 700 toka Barick na tukaunda Kampuni ya pamoja ya Twiga.
Changamoto zipo lakini mama aangalie yapi ya kusema kwenye media. Mimi kwasasa kama Mtanzania nitabaki mtazamaji kwanza mpaka nimuelewe mama Philosophy yake ni ipi. Nikasikia tena juzi nilishinda mtandaoni naaangalia vitu nikasema tatizo jingine linakuja. Anaweza wasahau wengi kwa manufaa ya wachache. Uzuri hesabu hazidanganyi na Muda ni tabibu mzuri. Tusubiri tuone. Ila namtakia kila la heri. Akifanikiwa katika kazi yake wamefanikiwa kama watanzania, akiyumba tunayumba wote.
Tuanze kupambania Katiba Mpya, Reforms za Mahakama, Bunge, Sheria za Vyombo vya habari n.k. Ninatamani sana kuiona Tanzania yenye neema na iliyo mfano kwa dunia Nzima kuanzia Uchumi, Demokrasia, Usawa wa kijinsia, haki za binadamu, Siasa za Kistaarabu na enye tija kwa nchi na Uzalendo wa kuipenda nchi yetu na kulinda Rasilimali zetu. Home Sweet Home Tanzania.
Jiwe hawezi kusaulika ni kama Adolf Hittler au Iddi Amini, wa Tz siku zote wanakumbukwa ila sio kwa mazuriNa aspofanya hivyo, Jina la JpM litamfunika, huu ndio muda wa yeye kuteka mitandao na watu wamsahau mapema hayati
Hujui chochote kuhusu mkataba wa barrick na serikaliSSH ana wenge anataka kuuza kila kitu, hivi mkataba wa zamani wa Barrick na wa saivi upi bora? Hapo ameshawakaribisha wa gesi Mtwara LNG waje tu atawaruhusu kwa masharti yoyote, Hellium mbugani, huyu anataka kuuza kila kitu, hizo kwake ndio akili.
Hilo genge ni lipi?Tulia kama moja.
Mlilolitaka haliwezi kuwa. Genge lenu halina huruma na wananchi wa nchi hii na mlichodhamiria mungu kakiepusha mbali
Mkuu Taga au Mataga wao ndiyo walijiita na wala siyo tusi, ndiyo maana huoni wakilalamika. Walijiita Mataga wao wenyewe wakiwa na maana ya Make Tanzania Great Again (MATAGA). Ila kumuita binadamu Nyumbu siyo sahihi. Nadhani umeelewa kama ulikuwa hujui kirefu cha Mataga na kudhani ni tusi.Actually ni ufinyu wa mawazo kumuita "taga" au "nyumbu" yeyote aliye na mtazamo tofauti na wa kwako. Huu ni ugonjwa.
Genge hilo ni lipi lilikuwa chini ya mfumo upi?Majizi na majinga ya chato, nchi ilikuwa inaendeshwa hovyo sana,uongo ulikuwa mwingi ili kutafuta sifa za kijinga,
Kwa sasa tunarudi kwenye mstari baada ya genge la wahuni kuondoka