Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Hulijui Leo sio???Hilo genge ni lipi?
Nyie watu mna roho mbaya sana. Na bado Mama atawanyoosha mpaka mtatajana nyote safari hii.
Na ripoti ya BOT itawasilishwa soon.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hulijui Leo sio???Hilo genge ni lipi?
Samahani mkuu, waweza nifafanulia Chadema wamehusika vipi kwenye comment yangu?Mataga ndio wanaomuweka hapo!
Nashangaa bavicha mnashangilia hivi mnafikiri loser hapa ni nani? Ccm or chadema?
Kwani ile wizara aliyoenda inamuathiri vipi?Mataga mmekuwa watoto yatima, hata hamueleweki kabisa, yule jamaa wa mimacho mzee wa "kenda" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaenda wizara gani vile?
Unaandika vitu usivyovijuaMama alinisikitisha sana jana kutokana na kauli zake. Hana power ya ku negotiate huyu. Na angekuwa ni Rais toka mwanzo hata hiyo 16% tusingeipata. Mimi najua ugomvi uliobaki na Barick ni kipengele cha kodi ambayo serikali inasema inawadai Barick. Sikuona haja ya kusema maneno aliyoyasema hapo. Ni kweli Business ni win win situation lakini kwa kusema hadharani eti sisi tuwanyenyekee kwasababu tunawahitaji zaidi ilifanya niumie kama Mtanzania. Unaweza ukakubaliana nao ukasema hili la kodi za nyuma tunalifuta na tunaanza upya full stop na si kuwapa wale jamaa viburi. Kila nchi Mungu amewapa rasilimali zao, wakitumia vizuri zinawatoa na kuwaaidisha. Serikali ya Hayati Magufuli anagalau walipata USD million 300 (zaidi ya Billion 700 toka Barick na tukaunda Kampuni ya pamoja ya Twiga.
Changamoto zipo lakini mama aangalie yapi ya kusema kwenye media. Mimi kwasasa kama Mtanzania nitabaki mtazamaji kwanza mpaka nimuelewe mama Philosophy yake ni ipi. Nikasikia tena juzi nilishinda mtandaoni naaangalia vitu nikasema tatizo jingine linakuja. Anaweza wasahau wengi kwa manufaa ya wachache. Uzuri hesabu hazidanganyi na Muda ni tabibu mzuri. Tusubiri tuone. Ila namtakia kila la heri. Akifanikiwa katika kazi yake wamefanikiwa kama watanzania, akiyumba tunayumba wote.
Tuanze kupambania Katiba Mpya, Reforms za Mahakama, Bunge, Sheria za Vyombo vya habari n.k. Ninatamani sana kuiona Tanzania yenye neema na iliyo mfano kwa dunia Nzima kuanzia Uchumi, Demokrasia, Usawa wa kijinsia, haki za binadamu, Siasa za Kistaarabu na enye tija kwa nchi na Uzalendo wa kuipenda nchi yetu na kulinda Rasilimali zetu. Home Sweet Home Tanzania.
Mungu asingeweza kuruhusu kuona watu wake wanatawaliwa kwa Mabavu, Uawaji na kuumizana kwa kisingizio chochote kile alingilia kati kulinusuru taifa lakeUnapenda Kusikia Maneno Matamu,utasikia Sana Ila Huyu Mama Uwezo Wake Ni Mdogo Sana. Muda Utatupa Majibu
Chini ya mwenyekiti wa chama, wanyang'anyi na nyie wanyonge mmechanganyikwa ,kila mara mnajifanya kushauri wakati nchi iliharibikaGenge hilo ni lipi lilikuwa chini ya mfumo upi?
Kipi kinakupa uhakika kwmaba umerudi kwenye mstari?
Nchi imeibiwaje?Nyie Sukuma Gang mulishindwa mkaendekeza ukanda ukabila pamoja ba limbukeni zenu sasa munaanza kupiga lamuli duh....kweli ndani ya wiki tatu unataka Mama atekeleze nini? Mumeibia nchi wee kwa kujificha nyuma ya mgongo wa kizalendo eti munasaidia wanyonge.......ila Mungu sio Osman Meko kaanga dunia
Good, mama anajua yaliyomo mle, akisema Magufuli kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo inakuwa uongo??Hujui chochote kuhusu mkataba wa barrick na serikali
Kaa kimya
Mama anajua madudu yaliyomo mle
Tulia hivyo hivyo
Kupindua kwani sasa hivi ni selikali ya chama gani?Kwahiyo mnataka kupindua Serikali
Mkuu hao ni chadema wajinga wajinga wanafikiri hiyo inainua chama chao hawajui kama Samia ni ccmLet Great Thinkers discuss hii kitu. Wewe endelea kupiga kimya na kusoma comments. Unapoanza names calling tena kwa majina ya ajabu ajabu unaonyesha tu jinsi gani ambavyo elimu yako haikukusaidia. Hoja hupingwa kwa hoja.
Sukuma gang ni kitu gani?
Kwani mwanamfalme akimpindua baba yake utawala si unaendelea kubaki ndani ya familia ileile? —Lakini kitendo hicho bado siyo halali!Kupindua kwani sasa hivi ni selikali ya chama gani?
Jpm alirekebisha,so muache naye mama arekebishe..Good, mama anajua yaliyomo mle, akisema Magufuli kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo inakuwa uongo??
Ila Mungu anapenda sana nchi ya Tanzania, kuna nchi zinatawaliwa na madictator miaka 20 au 30 ila Tz tunabahati kubwa mutano tu, Meko alikua (evil) kauua biashara za watu kauua watu bila sabababu za msingiMungu asingeweza kuruhusu kuona watu wake wanatawaliwa kwa Mabavu, Uawaji na kuumizana kwa kisingizio chochote kile alingilia kati kulinusuru taifa lake
Nikafikiri unakuja na ufafanuzi kumbe ni ujinga ujinga tu!Hulijui Leo sio???
Nyie watu mna roho mbaya sana. Na bado Mama atawanyoosha mpaka mtatajana nyote safari hii.
Na ripoti ya BOT itawasilishwa soon.
Taja sasa tuoneWanajijua
Tanzania mtu yoyote anaweza kwenda wizara yoyote bila kujali kama anaweza kuimudu ama la, ukitaka kulielewa hili angalia mchakato wa 2015 ambapo mtu kama Jiwe akapata mamlaka ya juu kabisa ya nchi. Wewe ni shuhuda wa yaliyotokea baada ya kupewa hayo mamlaka.Kwani ile wizara aliyoenda inamuathiri vipi?
Yupo katiba na sheria, ungekuwa mpinzani unaeona mbali nafikiri ungepinga uwepo wake pale ila kwakuwa wewe ni kipofu unashangilia kwa hisani ya mihemuko ya muda mfupi.
Msingekuwa wapumbavu sasa hivi mngeanza kupigania mifumo itakayowezesha kuwa na uwanja sawa wa ushindani badala ya hivi vigelegele mnavyompigia mama kwa wakati huu! Huyu ni ccm na 2025 atasimama kuitetea ccm hatajali vigelgele vyenu
Serikali ya Afroshirazi, ninyi wanaTANU unafiki umewajaa acheni Mama apige mzigoKupindua kwani sasa hivi ni selikali ya chama gani?