Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

Nikafikiri unakuja na ufafanuzi kumbe ni ujinga ujinga tu!

Wewe unafikiri kuna chochote chadema mna gain hapa kwa kumsifia sifia mama? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kakwambia mimi ni Chadema??

Mimi ni Mtanzania mwenye nia njema na mapenzi ya kweli juu ya nchi yangu. Mimi sio kama wewe uliyeamini kwenye kusifia na kuabudu binaadam mwenzio ili ule na unye.

Nyinyi ndio mlitaka rais Magufuli aongezewe muda au unabisha???
 
Unapenda Kusikia Maneno Matamu,utasikia Sana Ila Huyu Mama Uwezo Wake Ni Mdogo Sana. Muda Utatupa Majibu
Mungu asingeweza kuruhusu kuona watu wake wanatawaliwa kwa Mabavu, Uawaji na kuumizana kwa kisingizio chochote kile alingilia kati kulinusuru taifa lake
Ila Mungu anapenda sana nchi ya Tanzania, kuna nchi zinatawaliwa na madictator miaka 20 au 30 ila Tz tunabahati kubwa mutano tu, Meko alikua (evil) kauua biashara za watu kauua watu bila sabababu za msingi
Ya Mungu Mengi
 
Samahani mkuu, waweza nifafanulia Chadema wamehusika vipi kwenye comment yangu?
Naona chadema mnashangilia wee kama vile kuna chochotemna gain.

Hizi sifa zenu kwa Samia haziwezi kuwainua na chama lenu hilo.

Mngekuwa na akili mngetumia huu muda kupigani mifumo ambayo huwa mnadai ina wanyima ushindi lakini kwa kuwa nyie ni wajinga basi endeleeni kuungana na ccm kumsifia huku mkijifariji kwamba mnawakomoa mataga
 
Good, mama anajua yaliyomo mle, akisema Magufuli kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo inakuwa uongo??
Hao ni mapunguani mkuu!
.
Ila nakuhakikishia si tupo hapa?

Muda ni mwalimu mzuri sana
 
Kwani mwanamfalme akimpindua baba yake utawala si unaendelea kubaki ndani ya familia ileile? —Lakini kitendo hicho bado siyo halali!
Tanzania siyo ya kifalme na wala haiongozwi na familia ya kifalme. Ipo chini ya mfumo kamili unaosimamiwa na ccm na Samia anaongoza kwa baraka zote za mfumo huo.
 
Ila Mungu anapenda sana nchi ya Tanzania, kuna nchi zinatawaliwa na madictator miaka 20 au 30 ila Tz tunabahati kubwa mutano tu, Meko alikua (evil) kauua biashara za watu kauua watu bila sabababu za msingi
Mungu siyo Lisu wala Asmterdam!
 
Tanzania mtu yoyote anaweza kwenda wizara yoyote bila kujali kama anaweza kuimudu ama la, ukitaka kulielewa hili angalia mchakato wa 2015 ambapo mtu kama Jiwe akapata mamlaka ya juu kabisa ya nchi. Wewe ni shuhuda wa yaliyotokea baada ya kupewa hayo mamlaka.
Yaliyotokea ni yapi?

Alafu kama unalijua hilo mbona unaona kama Kabudi kakomolewa?

Huu ujinga wenu mtaukumbuka ikifika oktoba 2025 sisi kazi yetu ni kuwagonga tu mkileta pua
 
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa

Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri.

Sasa najiuliza, kama Mkataba ndani ya kataba wetu na Barrick bado kuna mambo ya ajabuajabu mle je kwa nini hayakutatuliwa kabla ya kusaini?

Je kwa nini serikali ya Magufuli chini ya Waziri wake Kabudi waliuaminisha umma kuwa mkataba ule ni mzuri sana kwetu?

Kama Taifa ni lazima struggle ya kutaka tunufaike na madini yetu iendelee, na ni lazima serikali itueleze ukweli kwa sababu madini ni urithi wetu.

View attachment 1745842
Ukiona kiongozi anapambana na media pamoja na critics wake ujue ni mwizi.

Serikali ya Magufuli ni ngumu kuiamini kwa lolote kwa sababu iliwekeza zaidi katika uongo na propaganda za kitapeli.

Ilijaa viongozi wengi waongo, waongo, tapeli na zumbukuku.

Iliiweka nchi katika hali ya sintofahamu wananchi waligeuka Mali ya serikali na viongozi badala ya kuwa wenye nchi.

Back to Barrick Saga. Mikataba ya madini licha ya sheria kutaka ipelekwe bungeni mpaka leo ni kiza kinene.

Mambo yenyewe yalifanyika kiunjanja ujanja tu na watu waongo kama kina Kabudi.
 
SSH ana wenge anataka kuuza kila kitu, hivi mkataba wa zamani wa Barrick na wa saivi upi bora? Hapo ameshawakaribisha wa gesi Mtwara LNG waje tu atawaruhusu kwa masharti yoyote, Hellium mbugani, huyu anataka kuuza kila kitu, hizo kwake ndio akili.
Tukiacha ushabiki pembeni hamna mikataba ilikuwa ovyo kama ya Mining zamani. Na hata ya Buzwagi tena full of rubbish. Life of Mine na End of Mine life, closure na kuziba hayo mashimo, ulipaji wa royalties kwa wenye ardhi, succession plans etc na ile ya kubeba sijui makinikia. Na wenye uzoefu wa mine geology wanafahamu vizuri udongo wa Shinyanga hauna dhahabu tu bali kuna madini mengine.

Na KABANGA NICKEL imekuwa kwa commissioning kwa miaka mingapi!!! Na tayari walikuwa wamepewa SML hadi inaexpire - wanakijiji walichoka kusubiri ajira hewa. Lkn pia Prof. Muhongo ashawahi kusema minerals zikiwa ardhini haziozi na ni heritage ya next generation. Kwa lugha nyingine aliprefer kutoingia mikataba mibovu kuilinda nchi na mali yetu.

Marekani wana mafuta kibao lkn oil rigs zimetulia wananunua nje. Jiulizeni why? Investing for their future generations while impoverishing our resources. Mambo ya akili ya rich dad na poor dad....Na ndo maana nchi za minerals and other resources wanahakikisha they are always in war to capitalise.
 
Nani kakwambia mimi ni Chadema??

Mimi ni Mtanzania mwenye nia njema na mapenzi ya kweli juu ya nchi yangu. Mimi sio kama wewe uliyeamini kwenye kusifia na kuabudu binaadam mwenzio ili ule na unye.

Nyinyi ndio mlitaka rais Magufuli aongezewe muda au unabisha???
Sisi kina nani?

Shida yako unafikiri kila mtu anategemea mtu ili aishi ndio nyie kila siku mnalaumu selikali kwa kuishi kwenu kwa shemeji zenu.

Dogo usikifiki kumsifia Samia unamkomoa mtu hapa!

Naona kivuli cha Magu bado kinawatesa na maenda nacho hadi mnakufa! Sasa hivi eti na nyie bavicha mmeungana na ccm kusifia wana ccm.
 
Anaropoka tu ili na yeye aonekane ila hamna kitu specific anacho ongea, aseme kwenye mkataba mpya kuna changamoto hii na hii ? Amesharuhusu wa gesi ya Mtwara LNG waje, amesharuhusu wa Hellium waje atawapa tu kwa mikatabu yoyote wanayotaka, ameruhusu expatriates waje ovyo ovyo tu , kwa akili zake huu ndio uchumi...
Chizi wewe, izo chuki zenu wasukuma sageni chupa mnywe,mama ndio Kashakuwa Rais ,hamtaki jitundikeni
 
Ukiona kiongozi anapambana na media pamoja na critics wake ujue ni mwizi.

Serikali ya Magufuli ni ngumu kuiamini kwa lolote kwa sababu iliwekeza zaidi katika uongo na propaganda za kitapeli.

Ilijaa viongozi wengi waongo, waongo, tapeli na zumbukuku.

Iliiweka nchi katika hali ya sintofahamu wananchi waligeuka Mali ya serikali na viongozi badala ya kuwa wenye nchi.

Back to Barrick Saga. Mikataba ya madini licha ya sheria kutaka ipelekwe bungeni mpaka leo ni kiza kinene.

Mambo yenyewe yalifanyika kiunjanja ujanja tu na watu waongo kama kina Kabudi.
Ukiona kiongozi anapambana na media pamoja na critics wake ujue ni mwizi.

Serikali ya Magufuli ni ngumu kuiamini kwa lolote kwa sababu iliwekeza zaidi katika uongo na propaganda za kitapeli.

Ilijaa viongozi wengi waongo, waongo, tapeli na zumbukuku.

Iliiweka nchi katika hali ya sintofahamu wananchi waligeuka Mali ya serikali na viongozi badala ya kuwa wenye nchi.

Back to Barrick Saga. Mikataba ya madini licha ya sheria kutaka ipelekwe bungeni mpaka leo ni kiza kinene.

Mambo yenyewe yalifanyika kiunjanja ujanja tu na watu waongo kama kina Kabudi.
Mgogo Kabudi alaaniwe aondoke Kilosa kabla
 
Back
Top Bottom