Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

Magufuli ndiye aliyekuwa rais na kauli ya mwisho. Sukuma Gang kubalini tu zamu yenu imekwisha
Let Great Thinkers discuss hii kitu. Wewe endelea kupiga kimya na kusoma comments. Unapoanza names calling tena kwa majina ya ajabu ajabu unaonyesha tu jinsi gani ambavyo elimu yako haikukusaidia. Hoja hupingwa kwa hoja.

Sukuma gang ni kitu gani?
 
Magufuli alikuwa mkaidi, wasaidizi wake wengi wakaamua kumpigia tu makofi na kumsifu huku mioyoni wakisema ngoja tumwone.
Sawa tuendelee kulembua macho mkuu.
 
Uliwahi mshauri Jiwe vitu vya kusema kwenye media au umeamua kuanza na mama baada ya Jiwe kudondoshwa na Corona?
 
Na aspofanya hivyo, Jina la JpM litamfunika, huu ndio muda wa yeye kuteka mitandao na watu wamsahau mapema hayati
 
Ningekuwa mimi ningeanza kuwauza Mataga wote nikianza na wewe, sijui kwanini Mama anawalea sana
Mataga ndio wanaomuweka hapo!

Nashangaa bavicha mnashangilia hivi mnafikiri loser hapa ni nani? Ccm or chadema?
 
Mkuu uko sahihi sana!

Ngoja tumpe muda
 
SSH ana wenge anataka kuuza kila kitu, hivi mkataba wa zamani wa Barrick na wa saivi upi bora? Hapo ameshawakaribisha wa gesi Mtwara LNG waje tu atawaruhusu kwa masharti yoyote, Hellium mbugani, huyu anataka kuuza kila kitu, hizo kwake ndio akili.
Hujui chochote kuhusu mkataba wa barrick na serikali
Kaa kimya
Mama anajua madudu yaliyomo mle
Tulia hivyo hivyo
 
Actually ni ufinyu wa mawazo kumuita "taga" au "nyumbu" yeyote aliye na mtazamo tofauti na wa kwako. Huu ni ugonjwa.
Mkuu Taga au Mataga wao ndiyo walijiita na wala siyo tusi, ndiyo maana huoni wakilalamika. Walijiita Mataga wao wenyewe wakiwa na maana ya Make Tanzania Great Again (MATAGA). Ila kumuita binadamu Nyumbu siyo sahihi. Nadhani umeelewa kama ulikuwa hujui kirefu cha Mataga na kudhani ni tusi.
 
Majizi na majinga ya chato, nchi ilikuwa inaendeshwa hovyo sana,uongo ulikuwa mwingi ili kutafuta sifa za kijinga,
Kwa sasa tunarudi kwenye mstari baada ya genge la wahuni kuondoka
Genge hilo ni lipi lilikuwa chini ya mfumo upi?

Kipi kinakupa uhakika kwmaba umerudi kwenye mstari?
 
Tulieni utapigwa mpira wa pasi tena zisizo za mashuti ni pasi upendo hapo ndio tutaona watu wakichana msamba na tutaufahamu ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…