Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Nani kakwambia mimi ni Chadema??Nikafikiri unakuja na ufafanuzi kumbe ni ujinga ujinga tu!
Wewe unafikiri kuna chochote chadema mna gain hapa kwa kumsifia sifia mama? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu asingeweza kuruhusu kuona watu wake wanatawaliwa kwa Mabavu, Uawaji na kuumizana kwa kisingizio chochote kile alingilia kati kulinusuru taifa lakeUnapenda Kusikia Maneno Matamu,utasikia Sana Ila Huyu Mama Uwezo Wake Ni Mdogo Sana. Muda Utatupa Majibu
Ya Mungu MengiIla Mungu anapenda sana nchi ya Tanzania, kuna nchi zinatawaliwa na madictator miaka 20 au 30 ila Tz tunabahati kubwa mutano tu, Meko alikua (evil) kauua biashara za watu kauua watu bila sabababu za msingi
Naona chadema mnashangilia wee kama vile kuna chochotemna gain.Samahani mkuu, waweza nifafanulia Chadema wamehusika vipi kwenye comment yangu?
Huyu mama soon
ATA IUZA HII NCHI
Kuchanganyikiwa? Kwa lipi?Chini ya mwenyekiti wa chama, wanyang'anyi na nyie wanyonge mmechanganyikwa ,kila mara mnajifanya kushauri wakati nchi iliharibika
Hao ni mapunguani mkuu!Good, mama anajua yaliyomo mle, akisema Magufuli kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo inakuwa uongo??
Tanzania siyo ya kifalme na wala haiongozwi na familia ya kifalme. Ipo chini ya mfumo kamili unaosimamiwa na ccm na Samia anaongoza kwa baraka zote za mfumo huo.Kwani mwanamfalme akimpindua baba yake utawala si unaendelea kubaki ndani ya familia ileile? —Lakini kitendo hicho bado siyo halali!
Mungu siyo Lisu wala Asmterdam!Ila Mungu anapenda sana nchi ya Tanzania, kuna nchi zinatawaliwa na madictator miaka 20 au 30 ila Tz tunabahati kubwa mutano tu, Meko alikua (evil) kauua biashara za watu kauua watu bila sabababu za msingi
Yaliyotokea ni yapi?Tanzania mtu yoyote anaweza kwenda wizara yoyote bila kujali kama anaweza kuimudu ama la, ukitaka kulielewa hili angalia mchakato wa 2015 ambapo mtu kama Jiwe akapata mamlaka ya juu kabisa ya nchi. Wewe ni shuhuda wa yaliyotokea baada ya kupewa hayo mamlaka.
Ukiona kiongozi anapambana na media pamoja na critics wake ujue ni mwizi.Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa
Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri.
Sasa najiuliza, kama Mkataba ndani ya kataba wetu na Barrick bado kuna mambo ya ajabuajabu mle je kwa nini hayakutatuliwa kabla ya kusaini?
Je kwa nini serikali ya Magufuli chini ya Waziri wake Kabudi waliuaminisha umma kuwa mkataba ule ni mzuri sana kwetu?
Kama Taifa ni lazima struggle ya kutaka tunufaike na madini yetu iendelee, na ni lazima serikali itueleze ukweli kwa sababu madini ni urithi wetu.
View attachment 1745842
Huu utoto upeleke facebook au kwenye magroup yenu ya bavichaSerikali ya Afroshirazi, ninyi wanaTANU unafiki umewajaa acheni Mama apige mzigo
Tukiacha ushabiki pembeni hamna mikataba ilikuwa ovyo kama ya Mining zamani. Na hata ya Buzwagi tena full of rubbish. Life of Mine na End of Mine life, closure na kuziba hayo mashimo, ulipaji wa royalties kwa wenye ardhi, succession plans etc na ile ya kubeba sijui makinikia. Na wenye uzoefu wa mine geology wanafahamu vizuri udongo wa Shinyanga hauna dhahabu tu bali kuna madini mengine.SSH ana wenge anataka kuuza kila kitu, hivi mkataba wa zamani wa Barrick na wa saivi upi bora? Hapo ameshawakaribisha wa gesi Mtwara LNG waje tu atawaruhusu kwa masharti yoyote, Hellium mbugani, huyu anataka kuuza kila kitu, hizo kwake ndio akili.
Kijana usizishike korodani za mzeeHuu utoto upeleke facebook au kwenye magroup yenu ya bavicha
Sisi kina nani?Nani kakwambia mimi ni Chadema??
Mimi ni Mtanzania mwenye nia njema na mapenzi ya kweli juu ya nchi yangu. Mimi sio kama wewe uliyeamini kwenye kusifia na kuabudu binaadam mwenzio ili ule na unye.
Nyinyi ndio mlitaka rais Magufuli aongezewe muda au unabisha???
Najaribu kuwaza hao mataga ni watu gani?Mataga mnahangaika Sana ,tunakwenda mwendo wa mama acheni kuwashwa washwa
Chizi wewe, izo chuki zenu wasukuma sageni chupa mnywe,mama ndio Kashakuwa Rais ,hamtaki jitundikeniAnaropoka tu ili na yeye aonekane ila hamna kitu specific anacho ongea, aseme kwenye mkataba mpya kuna changamoto hii na hii ? Amesharuhusu wa gesi ya Mtwara LNG waje, amesharuhusu wa Hellium waje atawapa tu kwa mikatabu yoyote wanayotaka, ameruhusu expatriates waje ovyo ovyo tu , kwa akili zake huu ndio uchumi...
Walizoea kuongopewaTulizeni mishono Mama aweke mambo sawa
Ukiona kiongozi anapambana na media pamoja na critics wake ujue ni mwizi.
Serikali ya Magufuli ni ngumu kuiamini kwa lolote kwa sababu iliwekeza zaidi katika uongo na propaganda za kitapeli.
Ilijaa viongozi wengi waongo, waongo, tapeli na zumbukuku.
Iliiweka nchi katika hali ya sintofahamu wananchi waligeuka Mali ya serikali na viongozi badala ya kuwa wenye nchi.
Back to Barrick Saga. Mikataba ya madini licha ya sheria kutaka ipelekwe bungeni mpaka leo ni kiza kinene.
Mambo yenyewe yalifanyika kiunjanja ujanja tu na watu waongo kama kina Kabudi.
Mgogo Kabudi alaaniwe aondoke Kilosa kablaUkiona kiongozi anapambana na media pamoja na critics wake ujue ni mwizi.
Serikali ya Magufuli ni ngumu kuiamini kwa lolote kwa sababu iliwekeza zaidi katika uongo na propaganda za kitapeli.
Ilijaa viongozi wengi waongo, waongo, tapeli na zumbukuku.
Iliiweka nchi katika hali ya sintofahamu wananchi waligeuka Mali ya serikali na viongozi badala ya kuwa wenye nchi.
Back to Barrick Saga. Mikataba ya madini licha ya sheria kutaka ipelekwe bungeni mpaka leo ni kiza kinene.
Mambo yenyewe yalifanyika kiunjanja ujanja tu na watu waongo kama kina Kabudi.
Nitataja nikitaka, sio kwa kulazimishwaTaja sasa tuone