Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

So, what is the point of a five year contract?
 
Mtoa mada mimi binafsi nimekuelewa sana,sababu umeandika uzi wako kieleimu. Hivi sasa ndio uchambuzi unatakiwa uwe.

Wengi waliokuwa dhidi yako katika uzi huu,ni aidha hawajasoma uzi mpaka mwisho au wana uwezo mdogo sana wa kuhoji mambo.

Ila nasema hivi "Mkiona viongozi wenu wanavunja sheria au utaratibu basi ujue kabisa raia nao wana tabia kama za viongozi wao"
 
Hivi vigezo vyako havitazuia watu kujadili chochote juu ya uteuzi wa kulinda wizi kwa awamu ys Tano
 
Bunge lishamkataa kufanya kazi naye umesahau?
Katiba ndivyo inavyosema kuwa bunge ndo litampima? Au ndilo litakalomchunguza?Mbona unajitoa ufahamu? Zungumza kwa mujibu wa Sheria sio unatoa maoni yako. Tumeweka Sheria wenyewe tunatakiwa kuzifuata kama vipi tukae chini tubadilishe vifungu vya katiba.
 
So, what is the point of a five year contract?

May be to give a CAG a chance to quitt out of his good will if he so wishes.

But again, unlike the "eligibility" thing which I absolutely agree with you, but this new subsection is absolutely a game changer on how we viewed this thing earlier

 
CAG alizaliwa mwaka gani Mamy?
 
Anatakiwa kufanya kazi na bunge, bunge lìlikataa kufanya nae kazi sababu ya misbehaviors..
MISBEHAVIOURS ipo ktk kifungu cha CAG removal from office..
 
[/QUOTE]
CAG mpya kazi yake ni kuficha wizi wote wa utawala wa awamu ya tano siyo kufanya kazi
 
Utawala huu wa sasa haufuati sheria wala katiba wao wanajiendea wajuavyo wenyewe
 
Kwa nini asingemuacha mpaka 2021 atakapotimiza miaka 60? Kwani ana haraka gani? Subirini mtaona mauza uza ya CAG huyu
 
Hivi tukiacha mzozo wa shall, may na eligibility, uteuzi wa Kichere na Utenguzi wa Assad umefanyika kwa faida ya walio wengi au kwa faida ya rais?
 
Kwa nini asingemuacha mpaka 2021 atakapotimiza miaka 60? Kwani ana haraka gani? Subirini mtaona mauza uza ya CAG huyu
Katiba hairuhusu kuteua na kumpa chini ya miaka mitano.Katiba inataka lakzima iwe miaka mitano .Asingempa miaka miwili katiba hairuhusu
 
Utawala huu wanajifanya viburi lakini wamesahau kuwa mwenye kinga ya kutoshitakiwa ni mmoja pekee lakini wengine pindi magufuli akiwa chato kijijini baada ya kustaafu watakuwa mahakamani na jela kujibu mashitaka na tuhuma zao, waacheni wale bata mda huu lakini huko mbele watapata Tabu sana pindi utawala mwingine ukiingia madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…