Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Hapo article 40(1)ya katiba inaposema a president shall be eligible for re-election maana yake watanzania lazima raisi achaguliwe mara ya pili?
20191103_214222.jpeg
 
Mleta mada unahangaika na neno shall unasahau neno eligible !! Kuteuliwa Soo automatic kunategemea eligiblity pia .Chukulia CAG labda ni kibaka kwa hiyo.umuongezee muda tu kwa ku base neno shall !!! Bill ku consider eligible?
Pili hata Kama angepewa ingeleta usumbufu usio na sababu.Katiba inasema umteue kwa miaka mitano na anatakiwa kustaafu akiwa na miaka 60 ina maana Raisi angempa U CAG angevunja Katina sababu anampaje mtu miaka mitano anayejua kabisa miaka 60 anatakiwa kuondoka .Akimpa mitano kavvunja Katina kampa mtu ambaye hastahili sababu ya umri na katiba haisemi apewe u CAG kwa miaka miwili.Raisi angempa angekuwa kavunja katiba

Umri wa CAG Assad kuteuliwa kikatiba ulikuwa umefikia ukomo
The problem, nye watu hamsomi hadi mwisho... mnakimbilia ku-comment! Kama CAG ni kibaka, Katiba yetu inaruhusu CAG kutumbuliwa kabla ya muda wake kwamba Ibara ya 143(3) -If the President considers that the question of the removal of the Controller and Auditor-General from office under the provisions of this Article needs to be investigated, then the procedure shall be as follows:
(a) the President shall appoint a Special Tribunal which shall consist of a Chairman and not less than two other members. The Chairman and at least half of the other members of that Special Tribunal shall be persons who are or have been Judges of the High Court or of the Court of Appeal in any country within the Commonwealth;
CAG atatumbuliwa na Rais ataunda Tume ya Kijaji ya kumchunguza... na hili nimesema kwenye thread!

Kwamba eti ni miaka 60, hapa tena unaonesha wazi kwamba husoma kwa sababu Katiba yetu Ibara ya 6(2)(a) inayosema:-
Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office upon attaining the age of sixty five years;
Umri wa lazima ni miaka 65 kwa sababu Katiba ilitoa uhuru kwa Bunge kutunga sheria kuhusu umri mwingine mbali na hiyo 60!
 
Man, umesoma thread hadi mwisho?! Hiyo "shall" hatuitafsiri sisi bali inatafsriwa na Interpretation of Laws Act Ibara ya 53 (1&2) Kwamba:-

Pale pasipo na SHURUTI, hutumika neno MAY na sio SHALL!!

Fuatilia hata Sheria za US... hata wao hilo neno SHALL iliwabidi wali-replace na MUST kwenye sheria zao kwa sababu wakati kwenye law schools SHALL inafundishwa kwamba ni SHURUTI, kwenye general use of English SHALL sio SHURUTI, na matokeo yake ikawa inaleta mkanganyo!!


Nimekuelewa kama ambavyo kila tasnia wanatafsiri zao za maneno kutokana na kada yao. Mfano wauguzi, watu wa teknohama, wahandisi, wanasheria n.k.

Sasa kama alivyosema Kiranga na mimi nimeuliza hicho kitu jana. Kulikua na ugumu gani kuweka moja kwa moja kwamba ni muhula mmoja wa miaka kumi?

Nyani Ngabu rais wangu tumejitahidi kutaka kupata maelezo kuhusu hili, kwa bahati mbaya hakuna aliyeweza kuja na kitu chenye mashiko.

Niliishia kusema basi katiba yenyewe itakua ya hovyo kuliko wanaoivunja.
 
Nimejibu nilichokujibu kwa sababu umesema hilo neno SHALL tunalitafsiri vibaya... na mimi ndo nimekuambia neno SHALL limetafsiriwa na sheria zetu wenyewe! Kwahiyo kama kutafsiri vibaya, basi ni sheria zetu ndizo zimetafsiri vibaya na sio "..sisi"

Aidha, umesema:-
Hapo ingekuwa sio lazima, kwa mujibu wa sheria zetu wangeandika "may be be eligible for renewal" na sio "shall be eligible for renewal"

Msingi haupo kwenye neno ELIGIBLE bali kwenye neno SHALL. Lau kama wangeandika "may be eligible" hapo ingekuwa sio shuruti!!

Kwamba neno eligible limewekwa tu halina uzito au maana yeyote? Ikiwa ni hivyo kwanini basi na neno shall lisiwe limewekwa tu?

Mkanganyiko unaanzia kwenye Katiba yenyewe.
 
The problem, nye watu hamsomi hadi mwisho... mnakimbilia ku-comment! Kama CAG ni kibaka, Katiba yetu inaruhusu CAG kutumbuliwa kabla ya muda wake kwamba Ibara ya 143(3) -If the President considers that the question of the removal of the Controller and Auditor-General from office under the provisions of this Article needs to be investigated, then the procedure shall be as follows:CAG atatumbuliwa na Rais ataunda Tume ya Kijaji ya kumchunguza... na hili nimesema kwenye thread!

Kwamba eti ni miaka 60, hapa tena unaonesha wazi kwamba husoma kwa sababu Katiba yetu Ibara ya 6(2)(a) inayosema:-Umri wa lazima ni miaka 65 kwa sababu Katiba ilitoa uhuru kwa Bunge kutunga sheria kuhusu umri mwingine mbali na hiyo 60!
Nimeshakujibu Raisi Hana mandate ya kumteua mtu for less than 5 years kwenye U CAG .Professor Assad kabakiza miaka miwili ya kufikia 60 ya kikatiba .Asingeweza kupewa 5 years huyo .Rais angekuwa kavunja katiba.Lakini professor Assad angekuwa na miaka 55 Raisi angeweza kumpa akafikia 60.Na akifikia 60 angeweza akitaka kumpa mingine Mitano afikishe 65 ya kuidhinishwa na ubunge .

Tatizo umri wa Assad umekaa vibaya hauingii vizuri kwenye katiba umekaa kishirikina
 
Shall inayoongelea term limits mnaitafsiri vibaya.

Pia, likatiba lenyewe limejaa vituko linatakiwa kurekebishwa.

Ukiandika "shall be eligible for renewal" hapo ulazima unaongelewa kwenye eligibility. Eligibility ni potential ya kuwa CAG, si lazima aliye eligible kuwa CAG.

Mtu anaweza kuwa eligible voter, halafu akawa si voter.

Katiba inasema rais hawezi kuendelea kuwa rais baada ya vipindi vya urais viwili.

Je, hilo lina maana rais ni lazima awe rais kwa vipindi viwili vya urais?

Kama CAG anatakiwa kuwa CAG kwa miaka kumi, kwa nini mkataba wake ni wa miaka mitano?
Weather I agree with you or not you have my respect Mkuu as you are arguing reasonably
 
Weather I agree with you or not you have my respect Mkuu as you are arguing reasonably
Tuangalie sheria na mantiki.

Tusiandike kwa hisia zinazoongozwa na jazba za kisiasa.

Magufuli anavunja katiba, sana tu.

Mfano, kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ni kuvunja katiba wazi.

Katiba inatoa "right to assembly" wazi kabisa.

Hatuhitaji kutunga uongo kwamba Magufuli kavunja katiba kwenye suala la CAG.

Kutunga uongo kwenye hili kutafanya hata tunaposema kweli Magufuli anapovunja katiba kweli, tuonekane tunazusha uongo.
 
Sasa kwa nini unashupalia vitu usivyoelewa?

Eligibility maana yake ni kuwa na sifa za nafasi, cheo, haki etc.

Mtu mwenye miaka zaidi ya 18 na mwenye akili timamu ana eligibility ya kupiga kura.

Lakini, hilo halimaanishi kila mwenye eligibility anapiga kura.

Wabunge wote wako eligible kuwa mawaziri.

Lakini, si wote wanateuliwa kuwa mawaziri.

Sasa kwa nini watu wanataka kufanya eligibility iwe inamfanya mtu automatically a hold office?

Wahasibu wote Watanzania wenye uzoefu wako eligible kuwa CAG. Lakini si wote wanaoteuliwa kuwa CAG.

Kwa nini watu wanatafsiri eligibility kama ni automatic appointment to office?
Kama mtu hajakuelewa ulichoandika akalazwe hospitali ya Mirembe.Umefafanua vizuri mno
 
While Assad was "eligible" to continue as a CAG
but Eligibility itself doesn't automatically confer him a continuation of a post.

Being eligble means being qualified for something, however a person who grants a contract may find others who are equally qualified or more qualified or simply qualified to take the post!

As Kiranga said, Shall in this case is all about "eligibility" and not an automatic renewal of the contract
 
Huu uteuzi umefanywa ili kuzima kelele za wapinzani wanaonyimwa fomu za uchaguzi serikali za mitaa
 
Tuangalie sheria na mantiki.

Tusiandike kwa hisia zinazoongozwa na jazba za kisiasa.

Magufuli anavunja katiba, sana tu.

Mfano, kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ni kuvunja katiba wazi.

Katiba inatoa "right to assembly" wazi kabisa.

Hatuhitaji kutunga uongo kwamba Magufuli kavunja katiba kwenye suala la CAG.

Kutunga uongo kwenye hili kutafanya hata tunaposema kweli Magufuli anapovunja katiba kweli, tuonekane tunazusha uongo.
You fairly know what you are talking about kiongozi wangu. Good point, straight forward and no bias. Unajua wapi Magufuli kakosea lakini haijakufanya usimpe haki ambapo ametenda kwa mujibu wa mamlaka aliyokabidhiwa na katiba
 
Tuangalie sheria na mantiki.

Tusiandike kwa hisia zinazoongozwa na jazba za kisiasa.

Magufuli anavunja katiba, sana tu.

Mfano, kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ni kuvunja katiba wazi.

Katiba inatoa "right to assembly" wazi kabisa.

Hatuhitaji kutunga uongo kwamba Magufuli kavunja katiba kwenye suala la CAG.

Kutunga uongo kwenye hili kutafanya hata tunaposema kweli Magufuli anapovunja katiba kweli, tuonekane tunazusha uongo.
You fairly know what you are talking about kiongozi wangu. Good point, straight forward and no bias. Unajua wapi Magufuli kakosea lakini haijakufanya usimpe haki ambapo ametenda kwa mujibu wa mamlaka aliyokabidhiwa na katiba
 
Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi!

Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika kuanzisha uzi huu ili kuondoa mapungufu yote hayo, na ni matumaini yangu kwamba uzi huu hamtaunganisha na nyuzi nyingine ili watu wapate kuelewa suala hili kwa ufasaha!

Tuendelee.

Bila kujaza vifungu vingi, Katiba yetu Ibara ya 144 (1) inasema wazi kwamba:-
Kwamba, CAG ATALAZIMIKA kuachia ofisi akifikisha miaka 60 au umri mwingine wowote utakaotajwa na sheria zilizotengenezwa na Bunge!

SWALI 1: Je, Profesa Mussa Assad amefikisha miaka 60?! Jibu HAPANA kwa sababu kumbukumbu zinaonesha amezaliwa Oktoba 06, 1961... kwa maana nyingine, atafikisha miaka 60 Oktoba 5, 2021.

SWALI 2: Je, Bunge limetaja huo UMRI MWINGINE WOWOTE?!

Jibu linapatikana kwenye Sheria ya Ukaguzi wa Hesabu za Umma, yaani Public Audit Act ya mwaka 2008, Ibara ya 6(2)(a) inayosema:-

Kumbe, Bunge likatunga sheria kwamba badala ya miaka 60, hatimae CAG ATALAZIMIKA kuachia ofisi akifikisha miaka 65. Tumeona Prof Assad ndo kwanza ana miaka 58.

SWALI 3: Nini hutokea CAG akimaliza miaka 5 ya kwanza?!

Hapa tena jibu linapatikana kutoka Public Audit Act 2008 Ibara ya 6 (1) inayosema:-Hapo kwenye neno SHALL ndipo panapozua mgogoro!!

Watetezi wa uamuzi wa Rais wanasema neno SHALL sio shuruti! Kwa bahati mbaya sana, tafsiri yao wanaitoa kichwani na sio kwa mujibu wa sheria zetu!

Kwa mujibu wa sheria zetu, na kwa kuangalia Interpretation of Laws Act Ibara ya 53 (1&2) inasema kwamba:-
Kumbe, kwa mujibu wa sheria zetu, pasipo na SHURUTI hutumika neno MAY lakini linapotumika neno SHALL, hiyo ni SHURUTI!

Kwa maana nyingine, Public Audit Act inaposema "...and shall be eligible for renewal for one term only. Hapo suala la renewal ni SHURUTI kama ilivyosema Interpretation of Laws Act 53 (2).

Itakuwa sio SHURUTI either kama ameshafikisha miaka 65, au kama ambavyo 2008 Public Audit Act Ibara ya 6(2)(a) inavyosema kwamba:-Kwa maana nyingine, kwavile Prof Assad hajafikisha miaka 65, hapo tafsiri yake ni kwamba AMETUMBULIWA na sio kwamba muda wake umeisha!!

Na CAG atatumbuliwa "...Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution."

Hiyo Ibara ya 144(3) ya Katiba yetu inasemaje? Jibu ni hili:-If the President considers that the question of the removal of the Controller and Auditor-General from office under the provisions of this Article needs to be investigated, then the procedure shall be as follows:Kama tulivyoona hapo juu, CAG atalazimika kuachia ofisi endapo atakuwa amefikisha miaka 65, kinyume chake anaweza KUTUMBULIWA kabla ya huo umri ikiwa ametenda jambo linalohitaji investigation.

Hivyo basi, ni ama Rais atengue uamuzi wake wa awali wa kuteua CAG mwingine, au tuone akiunda Tume ya Kijaji ya Kumchunguza CAG kwa kosa analojua yeye na timu yake!!

CAG akiongezewa miaka mingine 5, ataimaliza akiwa na umri wa miaka 63... umri halali kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi wa Hesabu za Umma ya mwaka 2008!!

Wanasheria wetu bhana, nazidi kuwa na mashaka nanyi.
....vipi mkuu neno SHALL kwenye katiba kuhusu kumchagua rais huyo huyo kwa mara ya pili....the president holding the office SHALL BE ELIGIBLE FOR RE-LECTION... ..

20191104_071022.png


Je, TUNASHURUTIWA KUMCHAGUA RAIS KWA MARA YA PILI? RAIS HAWEZI KAA MADARAKANI TERMS 1?
Ebu tutafsirie na hiyo hapo juu IBARA YA 40..nayo ni SHALL BE ELIGIBLE! Je rais muda wake ni miaka 5 au 10 kabla ya uchaguzi?

Au unataka kutuambia neno SHALL kisheria kwa RAIS na CAG lina tafsiri tofauti?
 
Acha ujinga, asubuhi hii chukua hata simu mpigie mama/baba yako uwaambie unawapenda na uwatakie siku njema utabarikiwa zaidi, kwa maana siajabu hata mtoto wake haumizwi na kumpigania hivyo huyo Asadi kama wewe, labda hata washakubali matokeo na kumove on wewe mwenzangu na mimi bado unakosa usingizi, so sad!
Wezi na vibaka mna umoja wenu wa kuteteana. Ila wewe haupo katika orodha ya vibaka vigogo bado ni kibaka uchwara mbeba mikoba
 
Hawa wanadakia mambo ila IFRS amemaliza ubishi aliposema:



CC: Chige uache ubishi wa kitoto
Mi sijaelewa mnapobishana mbona jamaa kajitahidi kutoa tafsiri ya kisheria kuhusu neno "Shall" kwa mujibu wa sheria zetu. Hizo quotation zako zote sijui kama umejipa muda wa kutafakari huku ukiunganisha na maana za kisheria. Tatizo lenu mnatoa tafsiri zenu kutokana na uelewa wenu wa lugha ya kiingereza. Sheria haiendi hivyo.

Unaposema katiba inasema The President shall be eligible for re-election. Maana yake "election" ndo ya razima. Ila sio lazima kuwa Rais hivyo kama hataki au chama chake hakijampitisha hakuna ulazima wa yeye kugombea tena, ila akitaka kuwa tena Rais ni lazima apitie ktk uchaguzi. Lakini pia awe eligible, eligibility ya Rais imetajwa tayari na katiba ktk ibara ya 39 na 40.

"Shall be eligible for renewal" hapo eligibility inayozungumziwa hapo ameshatoa tafsiri yake kuwa, kama hayupo eligible basi kuwe na uchunguzi. Yaani eligibility ya CAG haitokani na mtazamo wa mtu bali ni lazima uchunguzi, ufanyike kwa mujibu wa katiba, au zile za automatic ambazo ni za umri tu. Otherwise kama hakuna uchunguzi ni lazima mkataba wake uwe renewed. Ndo maana ya hiyo sentence "shall be eligible for renewal"
 
Mkuu CHIGE ahsante kwa ufafanuzi murua ukisindikiza na quotes kutoka kwenye katiba iliyopo,tatizo Praise Team na Buku 7 zao wanajifanya hawaijui katiba ya nchi.Ipo siku wataelewa tu
 
Back
Top Bottom