Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Kwa utaratibu huu tusishangae jaji mkuu akitumbuliwa pale mahakama yake itakopoenda kinyume na matarajio yake. Kama kweli anavunja katiba inayompa mamlaka makubwa ya kupiga mpk shangazi wa waziri mkuu alafu aeheshimu ?Hãta vyombo vya ulinzi vinamtii kwa sabab ya katiba sio kwamba yeye ni bondia. Washauri wamshauri umuhim wa kuheshimu katiba what if akaja Rais mwingne akamkamata pmj na katiba kuzuia?Ķuvunja katiba ya nchi a sichukulie kirahisi itakuja kumrudia so far hii ni sign ya dictatorship
Upo sahihi kabisa!!!
 
Umeeleza maana ya "shall" kwa mujibu wa nini?! Mimi nimeeleza kwa mujibu wa sheria zetu, na nimeweka kifungu!
Sasa kama wewe umeeleza maana ya shall kwa mujibu wa sheria zetu, na mimi sijakataa maana ya shall uliyoieleza, tatizo liko wapi?

Nimekuuliza unaelewa objection yangu iko wapi, hujajibu.

Ni kwa sababu huelewi na hutaki kukubali kwamba huelewi au ni kwa sababu gani?

Unaelewa objection yangu?
 
Tatizo Raisi amefanya haya kwa Mihemko, Kudanganywa na Kujidanganga, Kushauriwa vibaya na Kujishauri vibaya na On top of that Kwa CHUKI binafsi.

Raisi amevunja Katiba ALIYOAPA kuilinda huku akimtaja MUNGU anayedai kumtanguliza mbele'
Ngoja tusibiri hayo madongo wakati wa uapishaji wa voda fasta!!
 
Sasa kama wewe umeeleza maana ya shall kwa mujibu wa sheria zetu, na mimi sijakataa maana ya shall uliyoieleza, tatizo liko wapi?

Nimekuuliza unaelewa objection yangu iko wapi, hujajibu.

Ni kwa sababu huelewi na hutaki kukubali kwamba huelewi au ni kwa sababu gani?

Unaelewa objection yangu?
Nimejibu nilichokujibu kwa sababu umesema hilo neno SHALL tunalitafsiri vibaya... na mimi ndo nimekuambia neno SHALL limetafsiriwa na sheria zetu wenyewe! Kwahiyo kama kutafsiri vibaya, basi ni sheria zetu ndizo zimetafsiri vibaya na sio "..sisi"

Aidha, umesema:-
Ukiandika "shall be eligible for renewal" hapo ulazima unaongelewa kwenye eligibility. Eligibility ni potential ya kuwa CAG, si lazima aliye eligible kuwa CAG.
Hapo ingekuwa sio lazima, kwa mujibu wa sheria zetu wangeandika "may be be eligible for renewal" na sio "shall be eligible for renewal"

Msingi haupo kwenye neno ELIGIBLE bali kwenye neno SHALL. Lau kama wangeandika "may be eligible" hapo ingekuwa sio shuruti!!
 
Shall inayoongelea term limits mnaitafsiri vibaya.

Pia, likatiba lenyewe limejaa vituko linatakiwa kurekebishwa.

Ukiandika "shall be eligible for renewal" hapo ulazima unaongelewa kwenye eligibility. Eligibility ni potential ya kuwa CAG, si lazima aliye eligible kuwa CAG.

Mtu anaweza kuwa eligible voter, halafu akawa si voter.

Katiba inasema rais hawezi kuendelea kuwa rais baada ya vipindi vya urais viwili.

Je, hilo lina maana rais ni lazima awe rais kwa vipindi viwili vya urais?

Kama CAG anatakiwa kuwa CAG kwa miaka kumi, kwa nini mkataba wake ni wa miaka mitano?
Hawa wanadakia mambo ila IFRS amemaliza ubishi aliposema:

Naomba nitumie mfano wa Rais.

1. Article 33(1) inasema There SHALL BE a president of United Republic. 'Shall be' ikikaa peke yake maana yake ni lazima Rais wa Jamhuri awepo.

2. Article 40(1) inasema President SHALL BE ELIGIBLE for re-election. Ukiona eligible imekaa mbele ya 'shall be', maana yake inampa haki Rais aliyepo madarakani kuchaguliwa kwa mara pili lakini siyo lazima achaguliwe kwa mara pili.

Sasa tukija kwa CAG, Public Audit Act inasema CAG shall be eligible for renewal, kitendo cha kuweka 'eligible' mbele ya 'shall be', maana yake CAG ana haki ukiteuliwa mara ya pili lakini siyo lazima achaguliwe.

AsanteniView attachment 1253281View attachment 1253282View attachment 1253283

CC: Chige uache ubishi wa kitoto
 
Mkuu tunakushukuru saana kwa kutuchambulia na kutufafanulia kwa uhakika kabisa na kisheria.kuhusu kutenguliwa kwa CAG na Mamlaka aliyonayo CAG
Sasa ndio tunazidi kufahamu ukweli upo wapi

Tuliambiwa kuwa Prfs Musa Asaad ametenguliwa kwasbb ya umri wake umefika mwisho.pia tukaambiwa kuwa ana umri wa miaka 60.Hio ndio ni sababu kuu ya kutenguliwa
Kumbe Prfs Asaad ana miaka 58..!!!
Hii ni Aibu ya wazi kabisa na inaonesha dhahiri kuwa panachuki binafsi baina ya viongozi wa Nchi hii[emoji2211]
 
Mleta mada unahangaika na neno shall unasahau neno eligible !! Kuteuliwa Soo automatic kunategemea eligiblity pia .Chukulia CAG labda ni kibaka kwa hiyo.umuongezee muda tu kwa ku base neno shall !!!
Bila ku consider eligible?

Pili hata Kama angepewa ingeleta usumbufu usio na sababu.Katiba inasema umteue kwa miaka mitano na anatakiwa kustaafu akiwa na miaka 60 ina maana Raisi angempa U CAG angevunja Katiba sababu anampaje mtu miaka mitano anayejua kabisa miaka 60 anatakiwa kuondoka .Akimpa mitano kavvunja Katina kampa mtu ambaye hastahili sababu ya umri na katiba haisemi apewe u CAG kwa miaka miwili.Raisi angempa angekuwa kavunja katiba

Umri wa CAG Assad kuteuliwa kikatiba ulikuwa umefikia ukomo
 
Nimejibu nilichokujibu kwa sababu umesema hilo neno SHALL tunalitafsiri vibaya... na mimi ndo nimekuambia neno SHALL limetafsiriwa na sheria zetu wenyewe! Kwahiyo kama kutafsiri vibaya, basi ni sheria zetu ndizo zimetafsiri vibaya na sio "..sisi"

Aidha, umesema:-
Hapo ingekuwa sio lazima, kwa mujibu wa sheria zetu wangeandika "may be be eligible for renewal" na sio "shall be eligible for renewal"

Msingi haupo kwenye neno ELIGIBLE bali kwenye neno SHALL. Lau kama wangeandika "may be eligible" hapo ingekuwa sio shuruti!!
Unaelewa eligible maana yake ni nini?

Unaelewa kinachoongelewa hapo ni nini?
 
Tatizo Raisi amefanya haya kwa Mihemko, Kudanganywa na Kujidanganga, Kushauriwa vibaya na Kujishauri vibaya na On top of that Kwa CHUKI binafsi.

Raisi amevunja Katiba ALIYOAPA kuilinda huku akimtaja MUNGU anayedai kumtanguliza mbele'
Haya ni matokeo ya kuwa na "weak legal institution" poor attoney general......
 
Sasa kama wewe umeeleza maana ya shall kwa mujibu wa sheria zetu, na mimi sijakataa maana ya shall uliyoieleza, tatizo liko wapi?

Nimekuuliza unaelewa objection yangu iko wapi, hujajibu.

Ni kwa sababu huelewi na hutaki kukubali kwamba huelewi au ni kwa sababu gani?

Unaelewa objection yangu?
Ndio uelezee objection yako ilipo ili wengine tupate faida
 
Na wale mliokuwa mnatumia tafsiri ya Prof Shivji na kudai kwamba hapana ulazima huo, hatimae Prof ameona kosa lake na kusema:-
Shivji.png
 
shall be eligible ikageuka kuwa must be eligible??

Na kama ni must hiyo miaka mi5 yanini?
si wangeunganisha tu bila eligible?
Mkuu mleta mada neno eligible kaliacha makusudi.Katiba inasema CAG apewe miaka mitano.Lakini lazima astaafu akiwa na miaka 60.profesa Assad Ana miaka 58 ukimpa mitano na huku unajua anastaafu na miaka 60 ina maana umempa mtu U CAG ambaye sio Eligible kwa umri.wake sababu atatumikia miaka Miwili tu na katiba haitoi mamlaka ya mteuzi kumpa miaka Miwili.Kikatiba profesa Asad kafikia ukikongwe wa kutoteulika Kama CAG sababu ya eligiblity ya umri

CAG Assad is disqualified by age as per professor Issa Shivji statement
 
Ndio uelezee objection yako ilipo ili wengine tupate faida
Mara ngapi?

Nimeeleza hapo juu kwamba kipengele cha shall be eligible kinaelezea term limits.

Kwamba CAG hatakiwi kuwa CAG baada ya terms mbili. Kama rais.

Sasa, kama habari ya "shall be eligible" inaelezea kwamba CAG hatakiwi kuendelea kuwa CAG baada ya terms mbili (term limits) kwa nini kipengele hicho kiwe relevant kwenye mjadala wa CAG kuondolewa baada ya first term yake kuisha?

Ni kama vile mtu anasema kwamba, kwa sababu mwisho wa urais ni vipindi viwili vya urais, basi rais asipigiwe kura katika uchaguzi wa rais baada ya miaka mitano kuisha.

Totally unrelated.
 
Sifahamu... eleza wewe kwa kuangalia muktadha huu na bila kukiuka vifundgu vya sheria zetu!!
Sasa kwa nini unashupalia vitu usivyoelewa?

Eligibility maana yake ni kuwa na sifa za nafasi, cheo, haki etc.

Mtu mwenye miaka zaidi ya 18 na mwenye akili timamu ana eligibility ya kupiga kura.

Lakini, hilo halimaanishi kila mwenye eligibility anapiga kura.

Wabunge wote wako eligible kuwa mawaziri.

Lakini, si wote wanateuliwa kuwa mawaziri.

Sasa kwa nini watu wanataka kufanya eligibility iwe inamfanya mtu automatically a hold office?

Wahasibu wote Watanzania wenye uzoefu wako eligible kuwa CAG. Lakini si wote wanaoteuliwa kuwa CAG.

Kwa nini watu wanatafsiri eligibility kama ni automatic appointment to office?
 
Man, umesoma thread hadi mwisho?! Hiyo "shall" hatuitafsiri sisi bali inatafsriwa na Interpretation of Laws Act Ibara ya 53 (1&2) Kwamba:-

Pale pasipo na SHURUTI, hutumika neno MAY na sio SHALL!!

Fuatilia hata Sheria za US... hata wao hilo neno SHALL iliwabidi wali-replace na MUST kwenye sheria zao kwa sababu wakati kwenye law schools SHALL inafundishwa kwamba ni SHURUTI, kwenye general use of English SHALL sio SHURUTI, na matokeo yake ikawa inaleta mkanganyo!!

Ni kilaza tu amabaye hatakuelewa
 
Back
Top Bottom