Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Uko sawa mkuu, katiba haijavunjwa ni msimamo wake ndiyo umemponza.
 

Regime ndio ishakua ya kibwege tayari...hamna anae wakagua..nchi inakufa kiuchumi...

Bila strong CAG heshima ya kifedha haitakuwepo,one wrong move uchumi mzima unayeyuka kwa siku moja tu!

Dont make this mistake
 
Afadhali kumstaafisha kuliko kumtanguliza kama akina baalali na m-sumari
 
Hij ndio point! Kwa nn hajaongezewa? Na sio kuvunjwa katiba
 
Mkuu pale inaposema and shall be eligible for renewal of on term only ina maana gani hasa hilo neno shall
 
Nimependa wosia wako naamini atasoma post hii na kuuzingatia ushauri huu
 
Fixed term of five years only! Ndiyo msumali ulipo hiyo sehemu ya pili ya sentensi hiyo ni discretion ya mwenye mamlaka ya uteuzi. Hapo hana jinsi aende akafanye shughuli nyingine na kesho CAG mpya anaapa!
 
Aliyataka mwenyewe! Akaombe msaada kwa Zitto!
 
mbona majizi ya taifa yanafurahi,, ,?
 
Mkuu pale inaposema and shall be eligible for renewal of on term only ina maana gani hasa hilo neno shall
Shall be eligible maana yake ni kwamba, kwanza kabisa neno "shall" ni neno linaloonesha ulazima, kwamba jambo hili halina mjadala, si ombi, ni amri.

Kwa hiyo kwanza kabisa sentensi inaanza na jambo la ulazima.

Eligible maana yake ni mtu mwenye sifa za kuweza kufanya kitu, kupata kazi fulani etc.

Kwa mfano. All MPs are eligible for cabinet positions. Being an MP is a prerequisite to being a cabinet minister. But not all MPs are cabinet ministers.

Eligibility carries potential.

All Tanzanians of majority age and good mental capacities, are eligible to vote, but that does not mean all these Tanzanians do vote.

Assad was eligible to be re-appointed.

But that does not mean it was a must for him to be re-appointed.

Magufuli is eligible to be president for a second term. But that does not mean he must bepresident for a second term.

Kuna tofauti kati ya "shall be eligible for renewal" na " shall be renewed".

This is a Technical Knock Out.

Zaidi, shall be eligible for renewal for one term only maana yake mwisho wa renewal ni term ya miaka mitano. Kwa maana ya jwamba baada ya miaka 10, anaondolewa hawezi kuwa renewed kwa mara ya pili.

Sasa, katiba ikimwambia rais kwamba huyu hatakiwi kuwa renewed zaidi ya mara moja, hilo halina maana ni lazima awe renewed.

Magufuli simpendi kwa mengi. Lakini hapa hakwenda kinyume na katiba.
 
Mzee umeniwahi nilitaka kuandika hivi hivi kweli kabisaaaaaaa
Akiki yako inafanana na Mimi nami pia nimtakie kustaff kwema asee
 
Fixed term of five years only! Ndiyo msumali ulipo hiyo sehemu ya pili ya sentensi hiyo ni discretion ya mwenye mamlaka ya uteuzi. Hapo hana jinsi aende akafanye shughuli nyingine na kesho CAG mpya anaapa!
Hapo ulipoweka only umejichanganya, haiko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…