Suala la mwanaume kuoa miaka hii ni gumu, labda mtu ujilipue tu

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Mitaani kuna mabinti wachache sana ambao wanafaa kuwa wife materials, ila wengi ni shida..nimeona ili mwanaume upate mke inabidi aidha umwombe Mungu sana, au ukubaliane na ujinga wa mwanamke Kama vile

1)Ukimtongoza leo kesho akikuomba hela, ingawa unajua hii ni red flag, we mpe kama unayo, kama huna unamwambia huna utampa siku ingine.

2) Akikutukana na kujibu majibu ya dharau wakati unamtongoza, jizime data endelea kupiga vocal.

3) Anasema anakuja sehemu fulani halafu haji, jifanye huja-mind, endelea piga vocal hadi uchoke mwenyewe

4)In a relationship ha-invest chochote hataki kuKupikia Mara moja moja, wewe jitoe Data, ndani ya ndoa utamtafutia mfanyakazi..

Nahisi waliooa, wengi wao walivumilia huu ujinga tangu mwanzo ndo maana walioa, ila kwa mm ambaye siwezagi vumilia ujinga wa mwanamke sababu ndio nilivyo, acha niendelee kununua wanaojiuza barabarani
 
Tuliooa mpaka tunaoshwa na mikono wakati wa kula tumewapata kwenye jamii hii hii
Ukibahatika ndio hivyo tena

Kweli ni mtihani kama unawaza ngono halafu ndoa kisa unamjaribu tu

Ni vigumu sana kwa vijana kupata wenza kwa sababu ya uongo pia

Siku ukimpata unaempa hela tuseme laki na yeye akakuletea hata Tai au soksi basi ujue huyo ndio anakufaa
.
Je ni lini umewahi kupewa offer ya lunch
 
Yani wanaume siku hizi ni mwendo wa kujitilisha huruma na kuleta sitaki nataka kujifanya hawataki tena ndoa kumbe wanataka, hao ndio wanawake waliopo mkuu hamna kubembelezana na wala msifikiri mtaumbiwa wa design nyingine, maana hawa mmewaharibu wenyewe hivyo hangaikeni nao wenyewe acheni matusi na lawama

Hata ninyi mna maujinga yenu mengi tu ila kila siku kulalamikia ya wanawake kana kwamba yenu ni madogo, wanawake wameshakubaliana na ujinga wenu hivyo nanyi hamna budi kukubaliana na ujinga wao, wanawake nao ni binadamu asee

Ni mwendo wa kuviziana ila waswahili wanasema fainali uzeeni
Maujinga yetu walalamike wanawake , kila mtu ashinde mechi zake .
 
Yani wanaume siku hizi ni mwendo wa kujitilisha huruma na kuleta sitaki nataka kujifanya hawataki tena ndoa kumbe wanataka, hao ndio wanawake waliopo mkuu hamna kubembelezana na wala msifikiri mtaumbiwa wa design nyingine, maana hawa mmewaharibu wenyewe hivyo hangaikeni nao wenyewe acheni matusi na lawama

Hata ninyi pia mna maujinga yenu mengi tu ila kila siku kulalamikia ya wanawake kana kwamba yenu ni madogo, wanawake wameshakubaliana na ujinga wenu hivyo nanyi hamna budi kukubaliana na ujinga wao, wanawake nao ni binadamu asee

Ni mwendo wa kuviziana ila waswahili wanasema fainali uzeeni
Una maneno kwelikweli[emoji23]
 
Mitaani kuna mabinti wachache sana ambao wanafaa kuwa wife materials, ila wengi ni shida..nimeona ili mwanaume upate mke inabidi aidha umwombe Mungu sana, au ukubaliane na ujinga wa mwanamke Kama vile

1)Ukimtongoza leo kesho akikuomba hela, ingawa unajua hii ni red flag, we mpe kama unayo, kama huna unamwambia huna utampa siku ingine.

2) Akikutukana na kujibu majibu ya dharau wakati unamtongoza, jizime data endelea kupiga vocal.

3) Anasema anakuja sehemu fulani halafu haji, jifanye huja-mind, endelea piga vocal hadi uchoke mwenyewe

4)In a relationship ha-invest chochote hataki kuKupikia Mara moja moja, wewe jitoe Data, ndani ya ndoa utamtafutia mfanyakazi..

Nahisi waliooa, wengi wao walivumilia huu ujinga tangu mwanzo ndo maana walioa, ila kwa mm ambaye siwezagi vumilia ujinga wa mwanamke sababu ndio nilivyo, acha niendelee kununua wanaojiuza barabarani
Wanofaidi ndoa ni wale watu pori , kiukweli ndoa za mjini mwanaume usiwe mjuaji , oa tuu ili kujenga familia basi wanawake wa mjini ni pasua kichwa haswaa...hata hvyo ni hao hao tuu unakomaa nao , hawa viumbe ni dynamic sana , unaweza kuwa nyakat fulani mnafurahaia ndoa kabisa , nyakat fulan anakuzingua ile ile , ukimuona mwamba mjini ameoa npe saluti sana
 
Yani wanaume siku hizi ni mwendo wa kujitilisha huruma na kuleta sitaki nataka kujifanya hawataki tena ndoa kumbe wanataka, hao ndio wanawake waliopo mkuu hamna kubembelezana na wala msifikiri mtaumbiwa wa design nyingine, maana hawa mmewaharibu wenyewe hivyo hangaikeni nao wenyewe acheni matusi na lawama

Hata ninyi pia mna maujinga yenu mengi tu ila kila siku kulalamikia ya wanawake kana kwamba yenu ni madogo, wanawake wameshakubaliana na ujinga wenu hivyo nanyi hamna budi kukubaliana na ujinga wao, wanawake nao ni binadamu asee

Ni mwendo wa kuviziana ila waswahili wanasema fainali uzeeni
Taja huo ujinga wa wanaume ambao Wanawake wameshakubaliana nao
 
Bila ndoa ndoa unasema unazalisha tu unamuachia mwanamke alee mwnyw utatuma matumizi.

Ndo Yale unazalisha mashoga na wasagaji Kwny ukoo wako sababu ya usimamiz mbovu wa maadili

Mtoto wa kiume
anakaa na mama ake mpk anaona kuvaa hereni,shanga na vikuku Ni kawaida. Mabazazi wanamnyatia wanamtindua.

Mtoto wa kike anakaa na mama ake,
Wanasagana na kukoboana uko boarding mama anachukulia kawaida TU sababu ya usimamiz mbovu.

Baba uko bize unatafta Ela tu
 
Vijana wengi naona nikama wanaendeleza tu kizazi kijacho upendo wa kweli haupo bila pesa
 
P
Mitaani kuna mabinti wachache sana ambao wanafaa kuwa wife materials, ila wengi ni shida..nimeona ili mwanaume upate mke inabidi aidha umwombe Mungu sana, au ukubaliane na ujinga wa mwanamke Kama vile

1)Ukimtongoza leo kesho akikuomba hela, ingawa unajua hii ni red flag, we mpe kama unayo, kama huna unamwambia huna utampa siku ingine.
2) Akikutukana na kujibu majibu ya dharau wakati unamtongoza, jizime data endelea kupiga vocal.
3) Anasema anakuja sehemu fulani halafu haji, jifanye huja-mind, endelea piga vocal hadi uchoke mwenyewe
4)In a relationship ha-invest chochote hataki kuKupikia Mara moja moja, wewe jitoe Data, ndani ya ndoa utamtafutia mfanyakazi..

Nahisi waliooa, wengi wao walivumilia huu ujinga tangu mwanzo ndo maana walioa, ila kwa mm ambaye siwezagi vumilia ujinga wa mwanamke sababu ndio nilivyo, acha niendelee kununua wanaojiuza barabarani

Ukiona chenga nyingi ujue fungu si lako tafuta kwingine. Mwanamke akikuelewa hasumbui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ntajuaje mwanamke ambae kanielewa wakati ninyi mnasubiri mtongozwe, hata mkimpenda mwanaume hamsemagi Kelsea
 
Back
Top Bottom