Mkuu umemaliza kila kitu, na ndio haya mambo nimeongelea kwa ufupi comments za mwanzo.Mkuu,
Magari mengi huharibika si kwa sababu ya ubovu au makosa ya mtengenezaji, bali kwa sababu ya ushauri wa kimazoea kutoka kwa baadhi ya mafundi wa chini ya mwembe.
Kauli kama “engine hii ni mbovu” au “gearbox hii haifai” au "Bongo joto" mara nyingi si za kweli. Ukweli ni kwamba baadhi ya injini za kisasa hazivumilii uzembe au matunzo yasiyo sahihi, hasa kwenye matumizi ya engine oil.
1. Hoja ya 0W-20 kuwa nyepesi kwa joto la nchi za tropiki si sahihi kitaalamu.
Joto la nje (ambient temperature) halina uhusiano wa moja kwa moja na joto la ndani ya injini, isipokuwa wakati wa kuwasha gari. Joto la ndani ya injini hufikia hadi 100–110°C, so kusema huku bongo kuna joto si sahihi coz joto letu la 30–35°C la mazingira ya hapa bongo ni dogo kuliko la ndani ya engine.
Oil ya 0W-20 imeshapimwa na kuthibitishwa kufanya kazi kwenye joto hilo la ndani ya engine.
Pia, fully synthetic 0W-20 za kisasa zina high shear stability na hazigeuki “kama maji”. Ndiyo maana Subaru, Toyota, Honda n.k hawaandiki oil tofauti kulingana na nchi au hali ya hewa. Wanataja oil moja tu dunia nzima kulingana na walivyoiunda engine.
2. Hoja ya oil clearance ndogo
Ni kweli kwamba injini ya FB20 ina tight tolerances. Lakini hitimisho la kutumia oil nzito si sahihi. Ndiyo maana mtengenezaji ametaja oil nyepesi ya 0W-20 badala ya 5W-30. Oil nzito hupunguza oil flow kwenye maeneo nyeti ya engine, huchelewesha lubrication wakati wa kuwasha, na huongeza uchakavu wa crankshaft na bearings baada ya muda.
3. Kauli kwamba “SJ5 inakula oil na head gasket inaharibika kirahisi”
Hapa mkuu matatizo mawili tofauti yamechanganywa:
a) Kula oil husababishwa na kuchelewesha kubadili oil, kutumia oil isiyo sahihi au fake, uwepo wa tope la oil kwenye engine, oil kuvuja sababu ya kuchaa kwa seal za valve n.k. Hili si tatizo la Subaru SJ5 pekee.
b) Head gasket failure mara nyingi husababishwa na overheating, oil kuchelewa kusambaa kwenye injini, matumizi ya oil isiyo sahihi kama hivyo kuweka 5W30 badala ya 0W20, tatizo la cooling system n.k
4. Hoja ya 5W-30 kuua engine
Hoja hii ina sehemu ya ukweli, si kwa sababu 5W-30 ni oil mbaya, bali kwa sababu FB20 haikubuniwa kwa oil hiyo. Uzito wake husababisha kuchelewa kwa lubrication, kuongezeka kwa msuguano na uchakavu wa bearings. Hapo lazima engine ife.
Matatizo mengi ya magari ya kisasa yanatokana na kusikiliza ushauri wa kubahatisha au kukariri teknolojia za zamani. Ukifuata maelekezo ya mtengenezaji, injini itadumu bila matatizo makubwa.
Nimetumia 0W20 kwenye RVR na Prius kwa miaka, sikuona shida. Shida inaanza ukianza kuweka ubunifu wako.
Mkuu wewe unatumia/ ulikuwa Aina gani ya oil ili wasomaji wengine wapate faidaMkuu,

Natumia Atlantic, anayeniuzia sijui nimuite dealer au la, ila duka lake anauza brand hii tu miaka na miaka. Anasema anachukua direct toka kwa importer.Mkuu wewe unatumia/ ulikuwa Aina gani ya oil ili wasomaji wengine wapate faida
Hata Mimi ndiyo natumia hii Atlantic....Natumia Atlantic, anayeniuzia sijui nimuite dealer au la, ila duka lake anauza brand hii tu miaka na miaka. Anasema anachukua direct toka kwa importer.View attachment 3524605
Kweli mkuu. Mafundi wengi wanakwambia gari zote ndogo za petrol ni 5w30. Hapo ndipo shida huanza. Baadhi ya engine huvumilia, baadhi hu-react.Mkuu umemaliza kila kitu, na ndio haya mambo nimeongelea kwa ufupi comments za mwanzo.
Ukiweka 5W-30 kwenye FB 20 ni jambo la muda tu utarudi kwa fundi na mfuko utoboke nina ushuhuda wa hili.
Kila mbongo ukiongelea Subaru huwezi kosa sababu ya kuua engine kwa sababu bongo jua ni kali na oil yake haivumilii, unabaki kushangaa tu.
Binafsi huwa naamini hakuna gari mbaya, watumiaji ndio tunakuja na ubaya wa gari
Kodi ya TRA wanakomoa achilia kuitunza baada ya kuimilikiNazipenda subaru lakini nazichukia sana.
Wewe magari hujui.. Nna ulivo kuja tu na hiyo user name yako, siwezi kuongea na wewe.Kodi ya TRA wanakomoa achilia kuitunza baada ya kuimiliki
Wanashauri nzuri ni za kuanzia mwaka 2015 na kuend
Tunaomba namba ya muuzaji MkuuNatumia Atlantic, anayeniuzia sijui nimuite dealer au la, ila duka lake anauza brand hii tu miaka na miaka. Anasema anachukua direct toka kwa importer.View attachment 3524605
Sara Atlantic +255715124252. Yuko Kariakoo jirani na CCM Lumumba.Tunaomba namba ya muuzaji Mkuu
Vipi kuhusu high mileage vs low mileage? Kuna notion kwamba gari ikishatembea sana unatakiwa upande grade ya oil.Mkuu,
Magari mengi huharibika si kwa sababu ya ubovu au makosa ya mtengenezaji, bali kwa sababu ya ushauri wa kimazoea kutoka kwa baadhi ya mafundi wa chini ya mwembe.
Kauli kama “engine hii ni mbovu” au “gearbox hii haifai” au "Bongo joto" mara nyingi si za kweli. Ukweli ni kwamba baadhi ya injini za kisasa hazivumilii uzembe au matunzo yasiyo sahihi, hasa kwenye matumizi ya engine oil.
1. Hoja ya 0W-20 kuwa nyepesi kwa joto la nchi za tropiki si sahihi kitaalamu.
Joto la nje (ambient temperature) halina uhusiano wa moja kwa moja na joto la ndani ya injini, isipokuwa wakati wa kuwasha gari. Joto la ndani ya injini hufikia hadi 100–110°C, so kusema huku bongo kuna joto si sahihi coz joto letu la 30–35°C la mazingira ya hapa bongo ni dogo kuliko la ndani ya engine.
Oil ya 0W-20 imeshapimwa na kuthibitishwa kufanya kazi kwenye joto hilo la ndani ya engine.
Pia, fully synthetic 0W-20 za kisasa zina high shear stability na hazigeuki “kama maji”. Ndiyo maana Subaru, Toyota, Honda n.k hawaandiki oil tofauti kulingana na nchi au hali ya hewa. Wanataja oil moja tu dunia nzima kulingana na walivyoiunda engine.
2. Hoja ya oil clearance ndogo
Ni kweli kwamba injini ya FB20 ina tight tolerances. Lakini hitimisho la kutumia oil nzito si sahihi. Ndiyo maana mtengenezaji ametaja oil nyepesi ya 0W-20 badala ya 5W-30. Oil nzito hupunguza oil flow kwenye maeneo nyeti ya engine, huchelewesha lubrication wakati wa kuwasha, na huongeza uchakavu wa crankshaft na bearings baada ya muda.
3. Kauli kwamba “SJ5 inakula oil na head gasket inaharibika kirahisi”
Hapa mkuu matatizo mawili tofauti yamechanganywa:
a) Kula oil husababishwa na kuchelewesha kubadili oil, kutumia oil isiyo sahihi au fake, uwepo wa tope la oil kwenye engine, oil kuvuja sababu ya kuchaa kwa seal za valve n.k. Hili si tatizo la Subaru SJ5 pekee.
b) Head gasket failure mara nyingi husababishwa na overheating, oil kuchelewa kusambaa kwenye injini, matumizi ya oil isiyo sahihi kama hivyo kuweka 5W30 badala ya 0W20, tatizo la cooling system n.k
4. Hoja ya 5W-30 kuua engine
Hoja hii ina sehemu ya ukweli, si kwa sababu 5W-30 ni oil mbaya, bali kwa sababu FB20 haikubuniwa kwa oil hiyo. Uzito wake husababisha kuchelewa kwa lubrication, kuongezeka kwa msuguano na uchakavu wa bearings. Hapo lazima engine ife.
Matatizo mengi ya magari ya kisasa yanatokana na kusikiliza ushauri wa kubahatisha au kukariri teknolojia za zamani. Ukifuata maelekezo ya mtengenezaji, injini itadumu bila matatizo makubwa.
Nimetumia 0W20 kwenye RVR na Prius kwa miaka, sikuona shida. Shida inaanza ukianza kuweka ubunifu wako.
Mkuu kwema. Wanataka turudi kwenye Vw Beetle air cooled engineYaani aache gari ya 2015 anunue ya 2009?
Service history+ genuine parts+ dealership= stress free
Habari hii Neoteric Atlantic 0w 20 nayo ni nzuri kwa subaru ama hiyo full synthetic, vipi kuhusu tofouti kati ya hivi vilainishi viwili?Natumia Atlantic, anayeniuzia sijui nimuite dealer au la, ila duka lake anauza brand hii tu miaka na miaka. Anasema anachukua direct toka kwa importer.View attachment 3524605
Ukiona mtu analalamika kwenye kuongezewa 0 kwenye chombo chake kwafaida yake halitakiii mema chombo hichoDealerships siku hizi zinaitwa "stealerships". Wanaongeza sifuri kwenye bei zao sana.
unaongea kitu usichokijua mkuu... siyo kila nchi ni ya baridi..huko uarabuni, india, na baadhi ya maeneo mengi ya asia hizi gari zimejaa sana kuliko hata huku kwetu, na hizo zote ni nchi zenye joto kali sana kuliko hata huku kwetuHayo masubr xt,fx yametengezw kwenye mataifa ya barid san ndio maan huku bongo mifumo ya oil na cooling system lzm zfe mapem