Sugu: Rais Samia ni mama msikivu nampigia simu hata usiku

Sugu ukitoa mziki wake wa ovyo wa harakati wa miaka hiyo.

Mweupe sana kichwani kwa siasa za upinzani
Jamaa una CHUKI Sana..wanaume hawako hivyo mnaweza kukutana jela akawa msaada๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Hata ningekua mimi ningemtaja bila yeye wasingeruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara lazima wamshukuru. Yule marehemu aliwazuia kukutana na aliwapiga sana virungu na kwenda lockup yani walikosa uhuru wa kukusanyika.
Watermelon upo slow sana.
 
"Tuna Rais msikivu kwa kweli, pia kila pahala barabara zinajengwa, maendeleo tunayaona mungu atupe nini Yarabi"
 
Siasa za kistaarabu utazipima vizuri zaidi kwenye uchaguzi wa mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.
 
Kinachonishangaza mm, mama akisifiwa mataga hawataki, akikosolewa hawataki, mpaka unajiuliza hawa ni watu wa namna gani?
 
Wana mtaja sana katika mazingira yanayoonesha pasipo Mh.Samia baasi wao si kitu, zaidi ni kama hawataji sera zao kwa sasa zaidi ya kupita na kumshukuru 'maza' au kumponda JPM kila waendapo
Weka hotuba nzima Ili tujue hoja iliyosemwa na sio kuokoteza vipande tu
 
Apewe mauwa yake Kweli Sa100.

Wanambeya 2025 panapo Majaliwa, Ubunge wampe SUGU..NYO, bt UCEO apewe sa100๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
Hivi huwa tunatumia vigezo gani kumchagua mbunge?
 
Ni maridhiano ila hatujui upande mmoja wao wameridhia nini.
 
Hata ningekua mimi ningemtaja bila yeye wasingeruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara lazima wamshukuru. Yule marehemu aliwazuia kukutana na aliwapiga sana virungu na kwenda lockup yani walikosa uhuru wa kukusanyika.
Wanashukuru kwa hisani
Kwa misingi ipi wakati ni haki yao kikatiba??

Chadema mna matatizo sana.
 
Ndio matokeo chanya ya Maridhiano๐Ÿ˜

 
Kusema ukweli hakuwezi kuwa dhambi, aachwe atoe maoni yake, kuliko kuendekeza siasa za kiharakati na uongo uongo kila wakati zisizo na maana.
Hicho unachokisema wakifanye tu chadema ila wakifanya chama chengine tafsiri yake inakuwa nyengine kabisa.
 
kwasasa naona wanapambania maslah yao zaidi
 
Japo siasa sio uadui ila hii nchi upinzani ndio basi tena. Washapoteza muelekeo kabisaa.
 
Hizi akili gani,unawezaje kumshukuru oppressor,mtu anayesimamia mfumo kandamizi?Samia anaongoza chama kile kile kilichojaribu kumuua lisu,kilimfunga mwenyekiti wako,na kufanya mauaji Mengi,
Haingii akilini kumshukuru,hakuna fadhila amefanya,presha ya jumuhiya ya kimataifa,ndio imemlazimisha kuondoa zuio haramu la mikutano ya kisiasa,
Huwezi kusema hupendi samaki lakini unapenda mchuzi wa samaki,
Hii hari ya kumuona mtesi wako kama mtu mzuri,inaitwa "Stockholm syndrome""
Ccm ni majambazi,ogopa majitu yanayonufaika na huu mfumo,na mazambi yote ccm waliyofsnya,hutakuja kusikia mtu kama warioba anakemea,huu mfumo unamnufaisha yeye na familia yake.
Hawa watu inabidi watiwe presha ndani na nje ya nchi mpaka,waache ukandamizaji,nchi iwe huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ