Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninavyojua Masters na PHD za UD ni kimeo sana. Upate bahati ya msimamizi mwenye moyo wa kazi.
Kama unataka Masters ya kujifunza, tafuta chuo nje ya nchi, kama ya kuweka kwenye CV nenda Open University 😂
Kasome nje ya nchi sababu faida yake ni kubwa kuliko bongo. Bongo iwe option ya mwisho kabisa!Hili tatizo sisi Tutorial Assistants ambao tunasubiri kusoma masters tumeambiwa na kuonywa sana kuhusu masters za UDSM....Nelson Mandela ipo fresh lkn watu tunatafuta nje ya nchi...
Serikali inabidi iliangalie hili suala maana tunapoteza mapato, unaajiri T.A alafu unamlipa mshahara anaenda kusoma nje masters ambayo angeweza kusoma bongo.
Ajira yangu ya kwanza nilibahatika kuingia kwenye sector hii ya kufundisha na wakati huo nilifundisha hivi vyuo vya kati ambavyo viko chini ya NACTE.
Kile kipindi nilijifunza mambo mengi sana ila kulingana na topic hii ya mdau basi kuna mambo mawili yalinishangaza sana moja ni kutoka kwa Principal wa chuo na jingine kwa Academic.
Nilishangaa sanaa kuona Principal ananiuliza kwanini kuna wanafunzi ni rafiki zangu yaani kwaanini wanakuwa karibu na mimi na hapo ni kwasababu naruhusu muda mwingi waingie chumba cha computer kuzitumia. Nilikomaa na msimamo wangu na wanafunzi wengi waalifanya vizuri.
Ajabu anakuja Academic anauliza mbona vijana wanafaulu sana somo lako unawalegezea ... msuli hautakiwi kuwa hivo mimi nikacheka tu nikasema vijana wanasoma jamaa akaendelea kunikazia anasema wanatakiwaa warudi kwenye Sup...
Hii nchi elimu ni kukomoana ndio maana haitukomboi.
Acha kujiliza liza hovyo, chapa kaziMimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo.
Tatizo letu kubwa ni kuhusu utendaji unaofanywa na Wasimamizi wa Kazi za Utafiti za Wanafunzi (Supervisors wa Research), hawa watu wa muda mrefu wamekuwa ni tatizo na kama hali hii haitekemewa au kuchukuliwa hatua watakuwa ni kati ya sababu zitakazokimbiza Wanachuo kusoma UDSM.
Kabla ya kuanza kusoma Masters hapo UDSM baadhi yetu tuliambiwa na waliosoma kuwa bora tutafute chuo cha binafsi kuliko kusoma hapo, tulipouliza tukaambiwa ni jambo gumu sana kuhitimu Masters na ukifanikiwa mara nyingi lazima uwe nje ya muda hata kama unasoma vipi na kujituma.
Utaratibu uliokuwepo siku za nyuma ilikuwa unapofika muda wa kukamilisha kazi yao na ukazidisha ilitakiwa mhusika alipe Tsh. 50,000 kwa kila mwezi, lakini sasa hivi utaratibu ulivyo ukichelewa kukamilisha Reasearch yako unatakiwa kulipa hela ya Semister nzima ambayo ni Tsh. Milioni 2.5
Uongozi wa UDSM unafanya hivyo kwa kuwa hauambiwi ukweli kuwa asilimia kubwa wanaosababisha Wanafunzi wanashindwa kukamilisha tafiti zao ndani ya muda ni Supervisors.
Supervisors wanajiona kama Miungu watu, kwanza unapopewa akusimamie picha linaanza kuja kumpata ni unatakiwa kuacha kazi upate kazi ya kumtafuta yeye.
Ukifanikiwa kumpata anaweza kukupa maelekezo ya kazi au ukamkabidhi kazi yako ili aipitie lakini akachukua zaidi ya miezi miwili kuipitia au kuja kumuona tena.
Tuna wenzetu ambao tulianza nao Masters pamoja, wao wapo katika vyuo vya binafsi kama ilivyo Chuo cha SAUT, sasa hivi wanaelekea kuhitimu, sisi ndio kwanza tunaendelea kuimba mapambio ya kuwatafuta Supervisors.
Mfano darasa letu tulikuwa Wanafunzi kati ya 25 hadi 30 lakini hivi tunavyoandika hapa wanaotarajia kuhitimu ni wawili tena ambao nao wamechelewa.
Supervisors ni shida, hawapatikani kirahisi na baadhi yao ukiwapata hawakupi majibu mazuri.
Ukisema uende ukashtaki au kuwasilisha malalamiko yako juu ya Supervisors, huwezi kupata msaada kwa kuwa unaenda kushtaki kwa wenzao.
Pili, suala la kutakiwa kulipa ada ya Semister nzima kwa uzembe unaofanywa na Mtumishi wa Chuo ni maumivu makubwa kwetu tunaosoma.
Kozi ya Miezi 18 unajikuta umeisoma Miaka mitatu, hapo unalipa ada ya Tsh. Milioni 7+ kisha uambiwe tena ulipe Tsh. Milioni 2.5 ni mateso yasiyo na maelezo hasa kwa kuw wengi wetu tunaosoma chuo hicho ni Wafanyakazi na wengine tuna familia.
Tunakuwa hatueleweki, kutumia muda mwingi kusoma, hela ya familia pia tunaipeleka
Uongozi unapewa taarifa tofauti
Tumefuatilia na kugundua kuwa Uongozi haufikishiwi taarifa sahihi, wanajulishwa Wanafunzi ndio wenye shida lakini uhalisia ni tofauti.
Hii ikiendelea UDSM itaendelea kukimbiwa kwa kuwa hakuna anayeweza kuvumilia usumbufu huo na kupoteza hela bila sababu za msingi.
Kwa uchache Sanaa,Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo.
Tatizo letu kubwa ni kuhusu utendaji unaofanywa na Wasimamizi wa Kazi za Utafiti za Wanafunzi (Supervisors wa Research), hawa watu wa muda mrefu wamekuwa ni tatizo na kama hali hii haitekemewa au kuchukuliwa hatua watakuwa ni kati ya sababu zitakazokimbiza Wanachuo kusoma UDSM.
Kabla ya kuanza kusoma Masters hapo UDSM baadhi yetu tuliambiwa na waliosoma kuwa bora tutafute chuo cha binafsi kuliko kusoma hapo, tulipouliza tukaambiwa ni jambo gumu sana kuhitimu Masters na ukifanikiwa mara nyingi lazima uwe nje ya muda hata kama unasoma vipi na kujituma.
Utaratibu uliokuwepo siku za nyuma ilikuwa unapofika muda wa kukamilisha kazi yao na ukazidisha ilitakiwa mhusika alipe Tsh. 50,000 kwa kila mwezi, lakini sasa hivi utaratibu ulivyo ukichelewa kukamilisha Reasearch yako unatakiwa kulipa hela ya Semister nzima ambayo ni Tsh. Milioni 2.5
Uongozi wa UDSM unafanya hivyo kwa kuwa hauambiwi ukweli kuwa asilimia kubwa wanaosababisha Wanafunzi wanashindwa kukamilisha tafiti zao ndani ya muda ni Supervisors.
Supervisors wanajiona kama Miungu watu, kwanza unapopewa akusimamie picha linaanza kuja kumpata ni unatakiwa kuacha kazi upate kazi ya kumtafuta yeye.
Ukifanikiwa kumpata anaweza kukupa maelekezo ya kazi au ukamkabidhi kazi yako ili aipitie lakini akachukua zaidi ya miezi miwili kuipitia au kuja kumuona tena.
Tuna wenzetu ambao tulianza nao Masters pamoja, wao wapo katika vyuo vya binafsi kama ilivyo Chuo cha SAUT, sasa hivi wanaelekea kuhitimu, sisi ndio kwanza tunaendelea kuimba mapambio ya kuwatafuta Supervisors.
Mfano darasa letu tulikuwa Wanafunzi kati ya 25 hadi 30 lakini hivi tunavyoandika hapa wanaotarajia kuhitimu ni wawili tena ambao nao wamechelewa.
Supervisors ni shida, hawapatikani kirahisi na baadhi yao ukiwapata hawakupi majibu mazuri.
Ukisema uende ukashtaki au kuwasilisha malalamiko yako juu ya Supervisors, huwezi kupata msaada kwa kuwa unaenda kushtaki kwa wenzao.
Pili, suala la kutakiwa kulipa ada ya Semister nzima kwa uzembe unaofanywa na Mtumishi wa Chuo ni maumivu makubwa kwetu tunaosoma.
Kozi ya Miezi 18 unajikuta umeisoma Miaka mitatu, hapo unalipa ada ya Tsh. Milioni 7+ kisha uambiwe tena ulipe Tsh. Milioni 2.5 ni mateso yasiyo na maelezo hasa kwa kuw wengi wetu tunaosoma chuo hicho ni Wafanyakazi na wengine tuna familia.
Tunakuwa hatueleweki, kutumia muda mwingi kusoma, hela ya familia pia tunaipeleka
Uongozi unapewa taarifa tofauti
Tumefuatilia na kugundua kuwa Uongozi haufikishiwi taarifa sahihi, wanajulishwa Wanafunzi ndio wenye shida lakini uhalisia ni tofauti.
Hii ikiendelea UDSM itaendelea kukimbiwa kwa kuwa hakuna anayeweza kuvumilia usumbufu huo na kupoteza hela bila sababu za msingi.
Ma Lecturer walio somea ELIMU zao marekani wapogo real Sanaa yaan "" No right answer no wrong answer"""Ajira yangu ya kwanza nilibahatika kuingia kwenye sector hii ya kufundisha na wakati huo nilifundisha hivi vyuo vya kati ambavyo viko chini ya NACTE.
Kile kipindi nilijifunza mambo mengi sana ila kulingana na topic hii ya mdau basi kuna mambo mawili yalinishangaza sana moja ni kutoka kwa Principal wa chuo na jingine kwa Academic.
Nilishangaa sanaa kuona Principal ananiuliza kwanini kuna wanafunzi ni rafiki zangu yaani kwaanini wanakuwa karibu na mimi na hapo ni kwasababu naruhusu muda mwingi waingie chumba cha computer kuzitumia. Nilikomaa na msimamo wangu na wanafunzi wengi waalifanya vizuri.
Ajabu anakuja Academic anauliza mbona vijana wanafaulu sana somo lako unawalegezea ... msuli hautakiwi kuwa hivo mimi nikacheka tu nikasema vijana wanasoma jamaa akaendelea kunikazia anasema wanatakiwaa warudi kwenye Sup...
Hii nchi elimu ni kukomoana ndio maana haitukomboi.
Mwanzo niliipita hii comment, baadae nikajaribu kuiwekea sauti ndipo nikajikuta nacheka.HILI NALO MKALITAZAME.
🤣🤣🤣🤣🤣Mwanzo niliipita hii comment, baadae nikajaribu kuiwekea sauti ndipo nikajikuta nacheka.
Mkuu wa Chuo si JK hapo peleka Jina la huyo Supervisor kwenye DM yake kule ataruka nae kibabeUongozi unapewa taarifa tofauti
Tumefuatilia na kugundua kuwa Uongozi haufikishiwi taarifa sahihi, wanajulishwa Wanafunzi ndio wenye shida lakini uhalisia ni tofauti.
Hii ikiendelea UDSM itaendelea kukimbiwa kwa kuwa hakuna anayeweza kuvumilia usumbufu huo na kupoteza hela bila sababu za msingi.
Bibi kizee mwenye Mbuzi hatimae nimekuonaHILI NALO MKALITAZAME.
Kuna wakati unahisi au jamaa wanataka kubaki peke yao kwenye level Elimu yao? 😀 Labda na mimi nikiwa na mastaz nitambana yeye kwenye mastaz yakeUjinga wa waTanzania wengi ni kwamba unapofanikiwa jambo kwa taabu sana wanahisi ndio sahihi.
Huu utaratibu unaanzia kwa wanafunzi mkikutana mitaani utasikia Masters au Degree ya chuo flani ni noma lazima usote, yaani hatuangalii content ila tunaangalia kusota in general.... kuna kipindi chuo cha SUA kimesifika sana kwa ujinga huo.
Mwisho wa siku wanafunzi hawatoki na content ila wanatoka na ushujaa wa kushinda malumbano na vurugu nyingi za kufikia malengo ya kuhitimu.
Huyu mwanafunzi na yeye akipata kazi kuwa Lecturer anaenda kufanya yale yale. Wataanzania hatujuagi tunataka nini acha tuteseke huo ndio msuli wa UDSM kama mnavoitaga.
🤣🤣🤣Bibi kizee mwenye Mbuzi hatimae nimekuona
Nimefundishwa na ma-lecturers waliosoma mpaka Canada ila unachosema nakupinga lecturer kua na moyo poa ni yeye damu zenu zikiendana hio kwa bongo maana bongo ni bongo tuMa Lecturer walio somea ELIMU zao marekani wapogo real Sanaa yaan "" No right answer no wrong answer"""
Hawanaga roho mbaya kwanza hupenda wanafunzi wao Wafanye vizuri
Huwa hawanaga u GODFATHER ni watu wazuri Sanaa.
Wengi walio soma america hawana wivu wa kijinga Kama malecturer wengi wa third world countries.Nimefundishwa na ma-lecturers waliosoma mpaka Canada ila unachosema nakupinga lecturer kua na moyo poa ni yeye damu zenu zikiendana hio kwa bongo maana bongo ni bongo tu
Pole sana ndugu yangu kwa haya. Hata hivyo simulizi yako imejaa maneno mengi yasiyo na hoja. Kwa kiwango cha elimu uliyonayo, moja ya mambo muhimu kwenye mjadala ni kujenga hoja na hoja hujengwa kwa ushahidi. Tuhuma nyingi zimeelekezwa kwa wataaluma hawa wa udsm, lakini je umetoa ushahidi wowote kuthibitisha tuhuma zako? Je, ni mwalimu yupi kwa mfano ambaye amekuwa hasomi wala hakutani na wanafunzi? Je, hili la kwamba ukishtaki wanateteana, ulishtaki kwa nani na ni majibu gani ulipewa? Hoja kwamba waalimu wanaweza kuamua kuwachelewesha wanafunzi pasi na sababu sio za kweli. Wakati mimi nasoma hapo udsm, kulikuwa na online supervision ambapo ukituma kazi kwa mwalimu inaonyesha tarehe na siku atakayokurudishia. Je kwako ilikuwa hivyo? Kama ndivyo kwa nn hukupeleka mashtaka angalau kwa mkuu wa IDARA ilhali mfumo unakupa ushahidi wa kutosha?Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo.