KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ajira yangu ya kwanza nilibahatika kuingia kwenye sector hii ya kufundisha na wakati huo nilifundisha hivi vyuo vya kati ambavyo viko chini ya NACTE.

Kile kipindi nilijifunza mambo mengi sana ila kulingana na topic hii ya mdau basi kuna mambo mawili yalinishangaza sana moja ni kutoka kwa Principal wa chuo na jingine kwa Academic.

Nilishangaa sanaa kuona Principal ananiuliza kwanini kuna wanafunzi ni rafiki zangu yaani kwaanini wanakuwa karibu na mimi na hapo ni kwasababu naruhusu muda mwingi waingie chumba cha computer kuzitumia. Nilikomaa na msimamo wangu na wanafunzi wengi waalifanya vizuri.

Ajabu anakuja Academic anauliza mbona vijana wanafaulu sana somo lako unawalegezea ... msuli hautakiwi kuwa hivo mimi nikacheka tu nikasema vijana wanasoma jamaa akaendelea kunikazia anasema wanatakiwaa warudi kwenye Sup...

Hii nchi elimu ni kukomoana ndio maana haitukomboi.
 
Hili tatizo sisi Tutorial Assistants ambao tunasubiri kusoma masters tumeambiwa na kuonywa sana kuhusu masters za UDSM....Nelson Mandela ipo fresh lkn watu tunatafuta nje ya nchi...
Serikali inabidi iliangalie hili suala maana tunapoteza mapato, unaajiri T.A alafu unamlipa mshahara anaenda kusoma nje masters ambayo angeweza kusoma bongo.
 
Ninavyojua Masters na PHD za UD ni kimeo sana. Upate bahati ya msimamizi mwenye moyo wa kazi.

Kama unataka Masters ya kujifunza, tafuta chuo nje ya nchi, kama ya kuweka kwenye CV nenda Open University 😂
Hili tatizo sisi Tutorial Assistants ambao tunasubiri kusoma masters tumeambiwa na kuonywa sana kuhusu masters za UDSM....Nelson Mandela ipo fresh lkn watu tunatafuta nje ya nchi...
Serikali inabidi iliangalie hili suala maana tunapoteza mapato, unaajiri T.A alafu unamlipa mshahara anaenda kusoma nje masters ambayo angeweza kusoma bongo.
Kasome nje ya nchi sababu faida yake ni kubwa kuliko bongo. Bongo iwe option ya mwisho kabisa!
 
Ajira yangu ya kwanza nilibahatika kuingia kwenye sector hii ya kufundisha na wakati huo nilifundisha hivi vyuo vya kati ambavyo viko chini ya NACTE.

Kile kipindi nilijifunza mambo mengi sana ila kulingana na topic hii ya mdau basi kuna mambo mawili yalinishangaza sana moja ni kutoka kwa Principal wa chuo na jingine kwa Academic.

Nilishangaa sanaa kuona Principal ananiuliza kwanini kuna wanafunzi ni rafiki zangu yaani kwaanini wanakuwa karibu na mimi na hapo ni kwasababu naruhusu muda mwingi waingie chumba cha computer kuzitumia. Nilikomaa na msimamo wangu na wanafunzi wengi waalifanya vizuri.

Ajabu anakuja Academic anauliza mbona vijana wanafaulu sana somo lako unawalegezea ... msuli hautakiwi kuwa hivo mimi nikacheka tu nikasema vijana wanasoma jamaa akaendelea kunikazia anasema wanatakiwaa warudi kwenye Sup...

Hii nchi elimu ni kukomoana ndio maana haitukomboi.

Hii ndo bongo. Ujinga ujinga tu.

Mbele wanafunzi wakifeli sana somo lako inamaana tatizo ni wewe sio wanafunzi.
 
Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo.

Tatizo letu kubwa ni kuhusu utendaji unaofanywa na Wasimamizi wa Kazi za Utafiti za Wanafunzi (Supervisors wa Research), hawa watu wa muda mrefu wamekuwa ni tatizo na kama hali hii haitekemewa au kuchukuliwa hatua watakuwa ni kati ya sababu zitakazokimbiza Wanachuo kusoma UDSM.

Kabla ya kuanza kusoma Masters hapo UDSM baadhi yetu tuliambiwa na waliosoma kuwa bora tutafute chuo cha binafsi kuliko kusoma hapo, tulipouliza tukaambiwa ni jambo gumu sana kuhitimu Masters na ukifanikiwa mara nyingi lazima uwe nje ya muda hata kama unasoma vipi na kujituma.

Utaratibu uliokuwepo siku za nyuma ilikuwa unapofika muda wa kukamilisha kazi yao na ukazidisha ilitakiwa mhusika alipe Tsh. 50,000 kwa kila mwezi, lakini sasa hivi utaratibu ulivyo ukichelewa kukamilisha Reasearch yako unatakiwa kulipa hela ya Semister nzima ambayo ni Tsh. Milioni 2.5

Uongozi wa UDSM unafanya hivyo kwa kuwa hauambiwi ukweli kuwa asilimia kubwa wanaosababisha Wanafunzi wanashindwa kukamilisha tafiti zao ndani ya muda ni Supervisors.

Supervisors wanajiona kama Miungu watu, kwanza unapopewa akusimamie picha linaanza kuja kumpata ni unatakiwa kuacha kazi upate kazi ya kumtafuta yeye.

Ukifanikiwa kumpata anaweza kukupa maelekezo ya kazi au ukamkabidhi kazi yako ili aipitie lakini akachukua zaidi ya miezi miwili kuipitia au kuja kumuona tena.

Tuna wenzetu ambao tulianza nao Masters pamoja, wao wapo katika vyuo vya binafsi kama ilivyo Chuo cha SAUT, sasa hivi wanaelekea kuhitimu, sisi ndio kwanza tunaendelea kuimba mapambio ya kuwatafuta Supervisors.

Mfano darasa letu tulikuwa Wanafunzi kati ya 25 hadi 30 lakini hivi tunavyoandika hapa wanaotarajia kuhitimu ni wawili tena ambao nao wamechelewa.

Supervisors ni shida, hawapatikani kirahisi na baadhi yao ukiwapata hawakupi majibu mazuri.

Ukisema uende ukashtaki au kuwasilisha malalamiko yako juu ya Supervisors, huwezi kupata msaada kwa kuwa unaenda kushtaki kwa wenzao.

Pili, suala la kutakiwa kulipa ada ya Semister nzima kwa uzembe unaofanywa na Mtumishi wa Chuo ni maumivu makubwa kwetu tunaosoma.

Kozi ya Miezi 18 unajikuta umeisoma Miaka mitatu, hapo unalipa ada ya Tsh. Milioni 7+ kisha uambiwe tena ulipe Tsh. Milioni 2.5 ni mateso yasiyo na maelezo hasa kwa kuw wengi wetu tunaosoma chuo hicho ni Wafanyakazi na wengine tuna familia.

Tunakuwa hatueleweki, kutumia muda mwingi kusoma, hela ya familia pia tunaipeleka

Uongozi unapewa taarifa tofauti
Tumefuatilia na kugundua kuwa Uongozi haufikishiwi taarifa sahihi, wanajulishwa Wanafunzi ndio wenye shida lakini uhalisia ni tofauti.

Hii ikiendelea UDSM itaendelea kukimbiwa kwa kuwa hakuna anayeweza kuvumilia usumbufu huo na kupoteza hela bila sababu za msingi.
Acha kujiliza liza hovyo, chapa kazi
 
Kwa uchache Sanaa,
Miaka kadhaa iliyopita kwenye utawala wa Magu Nilikua kwenye situation ambayo kidogo nikate tamaa nilikua nafanya POSTGRADUATE chuo kikuu kimoja maarufu hapo jijini dar es salaam.

Nikaanza kuwaza ada yangu imeenda Bure Bora ningenunua mbuzi, nguruwe,kiwanja,gari, mapikipiki maana nilifaulu vizuri course zoteee ikabakia dissertation mzee picha Lina anza.

Nikapangiwa Dr. Mmoja kijana tuka meet nae Kama group tulikua Kama mtu 6 tuka present Title zetu akaturekebisha tuka agana.

Nikawa naweka appointment naenda chuoni namwona yule nampigia simu anasema hayupo chuoni kwaio tupange siku ingine siku nyingine inakua Ivo Ivo...siku nyingine unamwona docta yupo university ground Ila anakujibu hayupo...nenda uje kesho zikawa nyingi

Nikajua jamaa atakua kachoka na majukumu maana hata Mimi kazini kwangu Kuna muda unapiga kazi mpaka Kuna muda hutaki kuonana na watu..

Siku moja nikampigia simu nionane nae nikasema nimtoe japo lunch kidogo hapo chuo nikawa nimeweka 200k kwenye bahasha ya A4 akaniambia nipandishe juu ghorofani anasimamia mitiani nikaenda.

Tukasalimiana hatukua na mazoea kabisa nikampa bahasha na research proposal yangu Nikamwona docta anatetemeka akasema yeye mshahara wake unamtosha/ hakuna haja ya Mimi kumpa chochote hivyo Mimi nimpe Research proposal yangu aipitie..

Tukapanga another meeting doctor AKAWA ananiogopa na kunikwepa sanaaa..AKAWA Hana amani na Mimi akawa hatoi ushirikiano mzuri akawa ananipa bad criticizim Sanaa..najua huyu docta alihisi Mimi ni afisa kipenyo hivyo nilikua nataka kumchomesha si unajua enzi za MAGUFURI.

Nikakata tamaa..siku nimeenda kupeleka proposal yangu aipitie ofisi nikamkuta AKANIAMBIA KAPATA UHAMISHO KWENDA DODOMA hivyo akanichukua na kwenda kunikabizi kwa Docta mwingine..

Huyu docta mwingine Ali ikataa TITLE Ikanibidi nitengeneze title mpya na nikaanza nae from scratch... huyu alikua mtu peace Sana na Kuna muda kulikua hakuna haja ya kwenda chuo mna communicate through EMAIL unarekebisha unamtumia....

Nilipata ushirikiano mzuri Sana kwa huyu docta mpaka DISSERTATION ikalita na nikavaa JOHO ilikua ni furaha tupu kwangu maana NILIKUA NAFANYA KAZI KWENYE LEVEL YA MANAGERIAL LEVEL (Busy environment) huku nikisoma masters degree aisee haikua rahisi.

Nili graduate programs yangu vizuri TU Ila haikua rahisi Ila through ""TEARS, SWEAT AND BLOOD""
 
Ajira yangu ya kwanza nilibahatika kuingia kwenye sector hii ya kufundisha na wakati huo nilifundisha hivi vyuo vya kati ambavyo viko chini ya NACTE.

Kile kipindi nilijifunza mambo mengi sana ila kulingana na topic hii ya mdau basi kuna mambo mawili yalinishangaza sana moja ni kutoka kwa Principal wa chuo na jingine kwa Academic.

Nilishangaa sanaa kuona Principal ananiuliza kwanini kuna wanafunzi ni rafiki zangu yaani kwaanini wanakuwa karibu na mimi na hapo ni kwasababu naruhusu muda mwingi waingie chumba cha computer kuzitumia. Nilikomaa na msimamo wangu na wanafunzi wengi waalifanya vizuri.

Ajabu anakuja Academic anauliza mbona vijana wanafaulu sana somo lako unawalegezea ... msuli hautakiwi kuwa hivo mimi nikacheka tu nikasema vijana wanasoma jamaa akaendelea kunikazia anasema wanatakiwaa warudi kwenye Sup...

Hii nchi elimu ni kukomoana ndio maana haitukomboi.
Ma Lecturer walio somea ELIMU zao marekani wapogo real Sanaa yaan "" No right answer no wrong answer"""

Hawanaga roho mbaya kwanza hupenda wanafunzi wao Wafanye vizuri

Huwa hawanaga u GODFATHER ni watu wazuri Sanaa.
 
Uongozi unapewa taarifa tofauti
Tumefuatilia na kugundua kuwa Uongozi haufikishiwi taarifa sahihi, wanajulishwa Wanafunzi ndio wenye shida lakini uhalisia ni tofauti.

Hii ikiendelea UDSM itaendelea kukimbiwa kwa kuwa hakuna anayeweza kuvumilia usumbufu huo na kupoteza hela bila sababu za msingi.
Mkuu wa Chuo si JK hapo peleka Jina la huyo Supervisor kwenye DM yake kule ataruka nae kibabe
 
Ujinga wa waTanzania wengi ni kwamba unapofanikiwa jambo kwa taabu sana wanahisi ndio sahihi.

Huu utaratibu unaanzia kwa wanafunzi mkikutana mitaani utasikia Masters au Degree ya chuo flani ni noma lazima usote, yaani hatuangalii content ila tunaangalia kusota in general.... kuna kipindi chuo cha SUA kimesifika sana kwa ujinga huo.

Mwisho wa siku wanafunzi hawatoki na content ila wanatoka na ushujaa wa kushinda malumbano na vurugu nyingi za kufikia malengo ya kuhitimu.

Huyu mwanafunzi na yeye akipata kazi kuwa Lecturer anaenda kufanya yale yale. Wataanzania hatujuagi tunataka nini acha tuteseke huo ndio msuli wa UDSM kama mnavoitaga.
Kuna wakati unahisi au jamaa wanataka kubaki peke yao kwenye level Elimu yao? 😀 Labda na mimi nikiwa na mastaz nitambana yeye kwenye mastaz yake
 
Ma Lecturer walio somea ELIMU zao marekani wapogo real Sanaa yaan "" No right answer no wrong answer"""

Hawanaga roho mbaya kwanza hupenda wanafunzi wao Wafanye vizuri

Huwa hawanaga u GODFATHER ni watu wazuri Sanaa.
Nimefundishwa na ma-lecturers waliosoma mpaka Canada ila unachosema nakupinga lecturer kua na moyo poa ni yeye damu zenu zikiendana hio kwa bongo maana bongo ni bongo tu
 
Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo.

Tatizo letu kubwa ni kuhusu utendaji unaofanywa na Wasimamizi wa Kazi za Utafiti za Wanafunzi (Supervisors wa Research), hawa watu wa muda mrefu wamekuwa ni tatizo na kama hali hii haitekemewa au kuchukuliwa hatua watakuwa ni kati ya sababu zitakazokimbiza Wanachuo kusoma UDSM.

Kabla ya kuanza kusoma Masters hapo UDSM baadhi yetu tuliambiwa na waliosoma kuwa bora tutafute chuo cha binafsi kuliko kusoma hapo, tulipouliza tukaambiwa ni jambo gumu sana kuhitimu Masters na ukifanikiwa mara nyingi lazima uwe nje ya muda hata kama unasoma vipi na kujituma.

Utaratibu uliokuwepo siku za nyuma ilikuwa unapofika muda wa kukamilisha kazi yao na ukazidisha ilitakiwa mhusika alipe Tsh. 50,000 kwa kila mwezi, lakini sasa hivi utaratibu ulivyo ukichelewa kukamilisha Reasearch yako unatakiwa kulipa hela ya Semister nzima ambayo ni Tsh. Milioni 2.5

Uongozi wa UDSM unafanya hivyo kwa kuwa hauambiwi ukweli kuwa asilimia kubwa wanaosababisha Wanafunzi wanashindwa kukamilisha tafiti zao ndani ya muda ni Supervisors.

Supervisors wanajiona kama Miungu watu, kwanza unapopewa akusimamie picha linaanza kuja kumpata ni unatakiwa kuacha kazi upate kazi ya kumtafuta yeye.

Ukifanikiwa kumpata anaweza kukupa maelekezo ya kazi au ukamkabidhi kazi yako ili aipitie lakini akachukua zaidi ya miezi miwili kuipitia au kuja kumuona tena.

Tuna wenzetu ambao tulianza nao Masters pamoja, wao wapo katika vyuo vya binafsi kama ilivyo Chuo cha SAUT, sasa hivi wanaelekea kuhitimu, sisi ndio kwanza tunaendelea kuimba mapambio ya kuwatafuta Supervisors.

Mfano darasa letu tulikuwa Wanafunzi kati ya 25 hadi 30 lakini hivi tunavyoandika hapa wanaotarajia kuhitimu ni wawili tena ambao nao wamechelewa.

Supervisors ni shida, hawapatikani kirahisi na baadhi yao ukiwapata hawakupi majibu mazuri.

Ukisema uende ukashtaki au kuwasilisha malalamiko yako juu ya Supervisors, huwezi kupata msaada kwa kuwa unaenda kushtaki kwa wenzao.

Pili, suala la kutakiwa kulipa ada ya Semister nzima kwa uzembe unaofanywa na Mtumishi wa Chuo ni maumivu makubwa kwetu tunaosoma.

Kozi ya Miezi 18 unajikuta umeisoma Miaka mitatu, hapo unalipa ada ya Tsh. Milioni 7+ kisha uambiwe tena ulipe Tsh. Milioni 2.5 ni mateso yasiyo na maelezo hasa kwa kuw wengi wetu tunaosoma chuo hicho ni Wafanyakazi na wengine tuna familia.

Tunakuwa hatueleweki, kutumia muda mwingi kusoma, hela ya familia pia tunaipeleka

Uongozi unapewa taarifa tofauti
Tumefuatilia na kugundua kuwa Uongozi haufikishiwi taarifa sahihi, wanajulishwa Wanafunzi ndio wenye shida lakini uhalisia ni tofauti.

Hii ikiendelea UDSM itaendelea kukimbiwa kwa kuwa hakuna anayeweza kuvumilia usumbufu huo na kupoteza hela bila sababu za msingi.
Pole sana ndugu yangu kwa haya. Hata hivyo simulizi yako imejaa maneno mengi yasiyo na hoja. Kwa kiwango cha elimu uliyonayo, moja ya mambo muhimu kwenye mjadala ni kujenga hoja na hoja hujengwa kwa ushahidi. Tuhuma nyingi zimeelekezwa kwa wataaluma hawa wa udsm, lakini je umetoa ushahidi wowote kuthibitisha tuhuma zako? Je, ni mwalimu yupi kwa mfano ambaye amekuwa hasomi wala hakutani na wanafunzi? Je, hili la kwamba ukishtaki wanateteana, ulishtaki kwa nani na ni majibu gani ulipewa? Hoja kwamba waalimu wanaweza kuamua kuwachelewesha wanafunzi pasi na sababu sio za kweli. Wakati mimi nasoma hapo udsm, kulikuwa na online supervision ambapo ukituma kazi kwa mwalimu inaonyesha tarehe na siku atakayokurudishia. Je kwako ilikuwa hivyo? Kama ndivyo kwa nn hukupeleka mashtaka angalau kwa mkuu wa IDARA ilhali mfumo unakupa ushahidi wa kutosha?
Mwisho, kazi ya supervision ni ngumu sana. Hawa jamaa wanapangiwa wanafunzi wengi na hivyo juhudi ya mwanafunzi huamua kumaliza kwake.
Malipo pia kwa hawa jamaa ni kidogo sana. Niliwahi kuambiwa kwamba hulipwa 150k kwa kila mwanafunzi wa masters wamayemsimamia. Hii pia inaweza kuwa sababu kwamba hawana morali na kazi yao hii ya kunoa bongo za vijana.
Nihitimishe kwa kusema kwamba pamoja na mapungufu ambayo hawa wanataaluma wanaweza kuwa nayo bado wanastahili pongezi badala ya lawana tu kwa kazi wanayofanya pamoja na kuwa kwenye mazingira magumu sana. Usiombe upite udsm kipindi hiki cha joto, utawakuta maofisini wameloa maji kisa joto kwani hata AC ofisi zao hazina hahaa
 
Back
Top Bottom