Hakika hata maandiko yanasema kabisa.Mjadala unaomfuta mwanaume au mwanamke ili kuonyesha kuwa dunia ingekuwa sahihi zaidi jinsia moja isingekuwepo huwa inapigania uwepo wa mapenzi ya jinsia moja kwa kujitengenezea kakichaka.
Tukirudi kwenye mada, Kudhani mwanamke anahitaji ulinzi dhidi ya wanaume makatili pekee ni kutokujua historia.
Dunia haikuaanza tu na mazingira yanayomfanya binadamu anayezaliwa leo awe salama dhidi ya hatari. Majiji yenye umeme, barabara, makazi yanayotoa ulinzi yana historia kubwa sana na mwanaume.
Kabla ya mazingira ya sasa palikuwepo wanaume waliomlinda mwanamke na wanyama wakali, na baridi kali na pengine pasingekuwepo na kiumbe binadamu kama mwanaume asingesimama kwenye nafasi yake, na hata sasa, kijiji kikivamiwa na fisi, Simba, dubu ni wanaume watachukua silaha kwenda kuwakabili.
Mwanamke yeyote anayefikiri akimfuta mwanaume amefuta changamoto ya kuhitaji ulinzi asome historia, ataelewa kwanini mwanaume ni sehemu muhimu ya uwepo wake. Ukijua ulipotoka, ukajua ulipo, utapata picha ya unapokwenda.
Hakupaswi kuwa na vita Kati ya mwanaume na mwanamke. Na Wanawake hawana uspecial wowote kumzidi mwanaume and vice versa, sisi wote ni sehemu ya sababu zinazomfanya binadamu awepo. Kila mmoja asimame kwenye nafasi yake dhidi ya ukatili kwa mwanaume na mwanamke.
Nadharia ya jinsia moja ni nadharia ovu.
Njoo inbox, mi pia nataka mkeDr. Mariposa mimi nahitaji mwanaume regardless ya hayo yote uliyoandika
Njoo inbox, mi pia nataka mke
UnahitajiNimesema natafuta??!
Umesoma uzi?Unahitaji
Take it easy, just joke,kuwa na siku njemaUmesoma uzi?
Najua haumaanishi ila una chamgamsha kijiwe.Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,
Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise,
Hivi mnajua dunia ingekua salama sana kama kusingekua na mwanaume? wanyama wangeishi kwa amani na furaha tena wangekua marafiki wa Wanawake,
Kusingekua na vita wala umwagaji damu, kusingekua na ubakaji wala ulawiti, kusingekua na ufisadi wala kujilimbikizia mali, kusingekua na rushwa za aina yoyote, Wanawake wasingehofia kunyanyaswa au kudhalilishwa,
Mother Nature angekua na furaha, kila kitu kipo kwenye mpangilio wake,
Mwanamke sio dhaifu wa kuhitaji kulindwa, ogopa kiumbe kinachobeba kiumbe kingine na kukitoa katikati ya mapaja yake,
Siku zote mwanamke ndie mlinzi wa kiumbe hicho,
Wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa,
#Panicatyourownrisk🚫
😁😁 AtakusikiaAnameza nyoka
Dakitari ana hoja asikilizweCase study:
Shule za bweni za wasichana pekee huko hakuna ugomvi, uonevu na wizi?
Kenya juzi juzi tu, wasichana wachache wamewasha moto mabweni ya kulala huku wenzao wakiwa ndani.
Walikufa wanafunzi kadhaa.
Hii tunaita proof by counter example.
Mpaka hapo nadharia yako imethibitishwa siyo sahihi kwa mfano hai.
Nilifikiri daktari wanasoma hesabu za logic.
Jalada lifike kwenu wakuu kwa uhariri
Mshana Jr , ephen_ , Khantwe , Joanah
@Dr Mariposa katika hii physical plane existence iko in Duality.Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,
Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise,
Hivi mnajua dunia ingekua salama sana kama kusingekua na mwanaume? wanyama wangeishi kwa amani na furaha tena wangekua marafiki wa Wanawake,
Kusingekua na vita wala umwagaji damu, kusingekua na ubakaji wala ulawiti, kusingekua na ufisadi wala kujilimbikizia mali, kusingekua na rushwa za aina yoyote, Wanawake wasingehofia kunyanyaswa au kudhalilishwa,
Mother Nature angekua na furaha, kila kitu kipo kwenye mpangilio wake,
Mwanamke sio dhaifu wa kuhitaji kulindwa, ogopa kiumbe kinachobeba kiumbe kingine na kukitoa katikati ya mapaja yake,
Siku zote mwanamke ndie mlinzi wa kiumbe hicho,
Wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa,
#Panicatyourownrisk🚫
Mfano kwenye magereza, inaweza kuwa sehemu nzuri kujustify hii theory yako. Kwenye magereza ya wanawake au wanaume unaweza kuta hizi hali kwa inmates.Nilikuwa nawaza hivi pia, wanaume wasingekuwepo wangekuwepo wanawake ambao wenye kudisplay toxicity kama wanaume
Style gani tena 😜🐶 Style ungeijuaje madam...kama wanaume wasingekuepo....?
Elimu ni muhimu bwana mdogoKuna mwamba humu jf Huwa anasema...
"Mwanamke Akipenda shule akakuza ego baada ya kui integrate na wisdom ana geuka kuwa toxic tu."