Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
- #81
Mnisameheeeeee siwezi kudanganyaWewe ni mchokonozi
Mnisameheeeeee siwezi kudanganyaWewe ni mchokonozi
Wanawake wanaweza kujilinda wenyewe, wengi huwa wanajibebisha tu wakiwa na wanaume.Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,
Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise,
Hivi mnajua dunia ingekua salama sana kama kusingekua na mwanaume? wanyama wangeishi kwa amani na furaha tena wangekua marafiki wa Wanawake,
Kusingekua na vita wala umwagaji damu, kusingekua na ubakaji wala ulawiti, kusingekua na ufisadi wala kujilimbikizia mali, kusingekua na rushwa za aina yoyote, Wanawake wasingehofia kunyanyaswa au kudhalilishwa,
Mother Nature angekua na furaha, kila kitu kipo kwenye mpangilio wake,
Mwanamke sio dhaifu wa kuhitaji kulindwa, ogopa kiumbe kinachobeba kiumbe kingine na kukitoa katikati ya mapaja yake,
Siku zote mwanamke ndie mlinzi wa kiumbe hicho,
Wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa,
#Panicatyourownrisk🚫
Elimu ni muhimu ndio.Elimu ni muhimu bwana mdogo
Umeingia deep sana ila ukweli ni kwamba dunia ingekua salama kama kusingekua na wanaumeKuna kitabu kinaitwa Universe 25.,kinaelezea Tafiti ya John B. Calhoun alifanya miaka ya 1960s and early 1970s...
Jamaa alitengeneza Paradise ya Panya,,alikusanya Panya wengi akawaweka mahala pamoja without predators wala shida yeyote,bila kuingiliana na kiumbe chochote,.Maji mengi,chakula kingi na Kila kitu ambacho Panya angependa just to make panya comfortable..
Miezi ya mwanzo it was so fun and all,baadae Panya wakaanza kua aggressive,kupigana wenyewe kwa wenyewe,.kuuana...Kuna panya ambao Doctor aliwaita "Beatiful one" walikua wanakula tu na kulala,.
After 6 months panya wakaacha ku Mate,Pia kati yao zikaanza kuibuka tabia za kichoko..
After muda panya wote wakafa sababu waliacha kuzaliana..
Nilichojifunza ni kua Life needs more than survival,balance and Nature ndio iliamua kuwe na mwanamke na mwanaume, kusingewezekana wanawake peke yao wala wanaume peke yao..
Mwaaaaaah! Una akili sanakama mwanaume asingekuwepo mwanamke angepambana kivyovyote
Tena huwezi amini a month ago nilikutana na nyoka uso kwa macho alichezeya kichapo heavy huku mijanaume yenye sandawili zao ikitoka ndukiiiiiiiiiiDr. Unaweza kuua nyoka?
Me wananikera sana sijui ni udesperate wa kuolewa!!! yaani ile sisterhood hawaitaki kabisa wakati kila uchao humu wanawake tunachambwa na kunyonyolewa,Wanawake mliotetea wanaume mshaharibu uzi!
Uzi ulitakiwa uwe wanawake kivyao na wanaume kivyao😂
Nakuongezea na Pepsi Big ya bariiiiiiiiid,Niko na 🍿 kusoma comments zilizojaa hasira na jazba.
Napitaa tuu. 😂😂😂
Huu ulikua uzi wa kuchangamsha kijiwe leo, tuikaribishe weekend vizuri.Me wananikera sana sijui ni udesperate wa kuolewa!!! yaani ile sisterhood hawaitaki kabisa wakati kila uchao humu wanawake tunachambwa na kunyonyolewa,
Hata mimi nimejiuliza hivyo hivyo, mwanamke analindwa dhidi ya mwanaume sasa kama hayupo alindwe dhidi ya nani labdaNani angemlinda mwanamke zidi ya nini?
PyeeeeeeeeeUmeshaharibu huko pambana na hali yako
Uko vizuri 😁 mimi nyoka hata picha yake inanitishaTena huwezi amini a month ago nilikutana na nyoka uso kwa macho alichezeya kichapo heavy huku mijanaume yenye sandawili zao ikitoka ndukiiiiiiiiii
Hao wanafunzi wa Kenya walikua influenced na boyfriends zao na wengine baba zao kumbe hukufatiliaCase study:
Shule za bweni za wasichana pekee huko hakuna ugomvi, uonevu na wizi?
Kenya juzi juzi tu, wasichana wachache wamewasha moto mabweni ya kulala huku wenzao wakiwa ndani.
Walikufa wanafunzi kadhaa.
Hii tunaita proof by counter example.
Mpaka hapo nadharia yako imethibitishwa siyo sahihi kwa mfano hai.
Nilifikiri daktari wanasoma hesabu za logic.
Jalada lifike kwenu wakuu kwa uhariri
Mshana Jr , ephen_ , Khantwe , Joanah
Sawa umeuliza theoretical question,Nami nitauliza hivyo hivyo bila kubishana let's assume sasa hivi dunia sio salama sababu ya wanaume,.dunia ya wanawake tupu ingekuwaje??niambie your imagination...Umeingia deep sana ila ukweli ni kwamba dunia ingekua salama kama kusingekua na wanaume
Mimi pia uhitaji wa mwanamke upo japo sitafuti mwanamke 🤣🤣
Mimi pia uhitaji wa mwanamke upo japo sitafuti mwanamke 🤣🤣
Utani tu ole wako uchukie
Elimu ni muhimu.Elimu ni muhimu ndio.
Ila ikikosa busara inaweza kuwa na Madhara Makubwa zaidi ya Madhara Ya ujinga.
Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,