Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Bila hata uadui wa wenyewe kwa wenyewe. Wewe mwenyewe tu kama mwanamke ongea ukweli. Hivi duniani mngekuwepo wanawake watupu, kizazi cha binadamu kingekuwepo mpaka leo kwenye uso wa dunia?
Ondoa wanaume. Wanawake mngeweza kuya-brainstorm magonjwa yote kama covid, ebola n.k na kupata kinga au chanjo zake?
Ondoa wanaume, wanawake mngeweza kutengeneza teknolojia za ku-predict majanga kama matetemeko ya ardhi na vimbunga ili kuwatahadharisha watu mapema?
Tatizo la huyu akili fupi akisikia ulinzi anajua bodyguard kama wale wakina mwarabu fighter, na ukitaka kujua hana akili subiri majibu yake akianza kujibu comments za watu. Nakwambia aibu utaona wewe.
TBH labda hayo yote yangeweza kufanyika bila uwepo wa mwanaume, sikubaliani na mleta mada wakati huo huo sikubaliani na mawazo yako kwamba mwanamke hawezi kuwa na akili/uwezo wa kufanya hayo uliyoandika
Kauli yako hapo chini inaamisha mwanaume ndiye aliyeshikilia uzao peke yake, kivipi? Bila mwanamke mwanaume anaweza kuendeleza kizazi peke yake kwa namna gani?
"Hivi duniani mngekuwepo wanawake watupu, kizazi cha binadamu kingekuwepo mpaka leo kwenye uso wa dunia?"