Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Una uelewa mdogo sana. Ngoja nikupe somo. Ubongo wa mwanaume na mwanaumke umetofautiana. Ubongo wa mwanaume ni mkubwa zaidi na sehemu ambayo inahusika na uchakataji taarifa inayotwa parietal lobule(google usome vizuri maana najua haujui). Kwenye ubongo wa mwanaume hili eneo ni kubwa zaidi ya ubongo wa mwanamke.Najaribu kumweleza huyo bwana mdogo kuwa atoe hoja za msingi . Kuonesha umuhimu wetu na kuwa dunia hainge wezekana kwa jinsia moja ,, lakini yeye amejikita kwenye mambo ya ugunduzi na taaluma nikamwambia hivyo ni vitu vinavyojifunzika na masuala ya akili hayaangalii jinsia ,, ingekuwa Ukiwa mwanaume inatosha kuwa mgunduzi basi sisi wanaume wa tanzania tungegundua madawa ndege n.k lakini kutokugundua haina maana kuwa sisi ni wanawake na waliogundua haina maana kuwa wamegundua kwasababu ni wanaume bali kwasababu wana maarifa na wameyatumia vizuri. Hoja ya msingi nikuwa bila uzao dunia isingekuwa na watu. Na uzao nilzima sisi tuwepo na wanawake nao wawepo.
Pitia fields ngumu kwenye nyanja za sayansi na teknolojia utaona idadi kubwa ni wanaume. Usifikiri hiyo ni favor au imetokea by coincidence. Nature ndio imeamua.
Kibaokojia na kijamii jinsia zote mbili zinahitajiana. Hakuna jinsia ya kusema ina umujimu zaid, lakini ukiongelea survive of mankind dunia inamujitaji zaidi mwanaume