Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

Mtu akikuuliza swali rahisi kwanini wewe hujagundua chochote na nimwanaume kwenye muktadha huo utaweza kumjibu? Sisi kugundua vitu sio hoja ya kuonesha kuwepo kwetu kwasababu sio kila mwanaume anaweza kugundua na kutokugundua haipupunguzii uanaume wako na kugundua sio sifa ya kuwa wewe ni mwanaume. Hoja ya msingi ipo hapo. What if kama sisi tusingekuwepo wao wangegundua? Anyway hii sio hoja ya msingi sana lakini hoja ya msingi ni kwamba ili watu waendelee kuwepo duniani ni lazima sisi wanaume tuwepo na nilazima wanawake wawepo .
Una busara sana, nimetaka kuzimia aliposema ubongo wa mwanaume ni mkubwa unaweza kuchakata vitu blah blah blah lakini hapo hapo yeye mwanaume hajawahi hata kugundua kwa nini Mende akikuona umekaa anakufata hata ukiwa huna habari nae atakung'ang'ania ili mradi tu mpige ndala afe upate dhambi
 
Nafikiri uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana. Kwa kukusaidia ni kwamba. Mwanamke na mwanaume hapa wanatumika kama wawakilishi wa jinsia zao. Hatufanyi ulinganisho wa mmoja mmoja. Kwaiyo unatakiwa kujua akitajwa mwanaume wanatajwa wanaumw wote. Akitajwa mwanamke wanatajwa wanawake wote.

Katika kesi moja moja kuna uwezekano wa mwanamke kum-outperfom mwanaume mfano leo hii unilinganishe kiuchumi mimi na regina mengi lazima awe amenizidi kwa sababu ya familia tulizotoka.

Ninachomaanisha ukiwaweka wanaume na wanawake katika situation ambayo wapo sawa kwenye factors zote. Kiwastani wanaume watawa-outperfom wanawake
Wewe kama mwanaume mwenye ubongo mkubwa umegundua nini?????
Kwa miaka yako yote 30+ uloishi duniani
 
Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,

Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise,

Hivi mnajua dunia ingekua salama sana kama kusingekua na mwanaume? wanyama wangeishi kwa amani na furaha tena wangekua marafiki wa Wanawake,

Kusingekua na vita wala umwagaji damu, kusingekua na ubakaji wala ulawiti, kusingekua na ufisadi wala kujilimbikizia mali, kusingekua na rushwa za aina yoyote, Wanawake wasingehofia kunyanyaswa au kudhalilishwa,

Mother Nature angekua na furaha, kila kitu kipo kwenye mpangilio wake,

Mwanamke sio dhaifu wa kuhitaji kulindwa, ogopa kiumbe kinachobeba kiumbe kingine na kukitoa katikati ya mapaja yake,
Siku zote mwanamke ndie mlinzi wa kiumbe hicho,

Wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa,

#Panicatyourownrisk🚫
Hahahaa. Juzi kati hapo nilimsikia mmama mtu mzima mmoja amelewa na anagombana na mama mwenzake barabarani. Ghafla nikamsikia yule mmama mlevi anambwatukia mwenzake " kama wewe ni mwanaume njoo nikuoneshe-huna adabu......."
 
Kwa taarifa yako zamani mwanamke alikua anafichwa kwenye mambo ya kielimu na kigunduzi sababu ya ubaguzi na unyanyapaa dhidi yao, kwa hiyo ilikua hata kama mwanamke kafanya jambo anawekwa mbele mwanaume, duh! mjisomee sio kukaza shingo mwanaume this, mwanaume that
Eti "kwa taarifa yako"!!! Ndo Nini Sasa hii!!!!

Anyways Hilo suala la kufichwa sijui kubaguliwa unaweza kuwa na ushahidi kihistoria??

nataka nijue ni jamii zipi zilifanya hivyo?? Jee ni Globally??

Pili nataka nijue Hilo jambo la kufichwa lilianza lini? Na nataka kujua liliisha lini??
From when Mwanamke aliachiliwa Kutoka kifungoni na ni Kipi amefanya tangu atoke kwenye hiko kifungo?

Na nataka kujua pia Baadhi ya wanawake Ambao hutajwa kuwa waligundua vitu kadhaa Katika zama hizo hizo za kufichwa waliwezaje Wao?? na kwa Nini Wao hawakufichwa na kuwekwa wanaume Kwenye gunduzi zao???
 
Kelele zote hizo, mtoa mada anamsubiri mume wake aje na chochote kitu ale, atanue mapaja, akojozwe alale 😂
 
Wanawake ni Better🫡
Yaani unapima Akili ya mtu kwa kufaulu darasani??

Mbona Kuna watu wana uwezo mdogo wa akili na wanamavyeti Makubwa Makubwa.

Ila Sasa ukiongea nae au ikifika sehemu ya kutumia akili kusolve jambo furani unaona uwezo wake ulivyo mdogo.

Nataka kusema hivi kufaulu darasani Kuna factor nyingi wewe Ambae umesoma Private school walimu wa kutosha vitabu kama vyote nyumbani chai ya maziwa na mayai hata nguo zako hufui matuition kama yote,,, eti ukifaulu ukapata division 1 utasema ndio una akili kumzidi Yule kijana wa Shule ya kata hakuna walimu Wala vitabu nyumbani akirudi inabidi akatafute Kuni apike ugali mwenyewe???

Huwezi kuamua uwezo wa akili ya Mtu kwa Kuangalia matokeo ya darasani bila ku rule out other factors contributing.
 
Eti "kwa taarifa yako"!!! Ndo Nini Sasa hii!!!!

Anyways Hilo suala la kufichwa sijui kubaguliwa unaweza kuwa na ushahidi kihistoria??

nataka nijue ni jamii zipi zilifanya hivyo?? Jee ni Globally??

Pili nataka nijue Hilo jambo la kufichwa lilianza lini? Na nataka kujua liliisha lini??
From when Mwanamke aliachiliwa Kutoka kifungoni na ni Kipi amefanya tangu atoke kwenye hiko kifungo?

Na nataka kujua pia Baadhi ya wanawake Ambao hutajwa kuwa waligundua vitu kadhaa Katika zama hizo hizo za kufichwa waliwezaje Wao?? na kwa Nini Wao hawakufichwa na kuwekwa wanaume Kwenye gunduzi zao???
Hahahahaha unachekesha kweli nani akufanyie hiyo research si uifanye mwenyewe, yaani ukae hapo na mauvivu yako usubirie kutafuniwa wewe umeze,
Pyeeeeee
 
Yaani unapima Akili ya mtu kwa kufaulu darasani??

Mbona Kuna watu wana uwezo mdogo wa akili na wanamavyeti Makubwa Makubwa.

Ila Sasa ukiongea nae au ikifika sehemu ya kutumia akili kusolve jambo furani unaona uwezo wake ulivyo mdogo.

Nataka kusema hivi kufaulu darasani Kuna factor nyingi wewe Ambae umesoma Private school walimu wa kutosha vitabu kama vyote nyumbani chai ya maziwa na mayai hata nguo zako hufui matuition kama yote,,, eti ukifaulu ukapata division 1 utasema ndio una akili kumzidi Yule kijana wa Shule ya kata hakuna walimu Wala vitabu nyumbani akirudi inabidi akatafute Kuni apike ugali mwenyewe???

Huwezi kuamua uwezo wa akili ya Mtu kwa Kuangalia matokeo ya darasani bila ku rule out other factors contributing.
Wee si ndo ulosema mwanaume ana akili kuliko mwanamke au?
Mambo ya akili mlianza nyie na sasa naona mnaanza kusinyaa kidogo kidogo
 
Wee si ndo ulosema mwanaume ana akili kuliko mwanamke au?
Mambo ya akili mlianza nyie na sasa naona mnaanza kusinyaa kidogo kidogo
Ningekujibu ila sema siku hizi sijui nimekuaje,, sipendi kujadili sana na wanawake.
 
Bc subir ulishwe ili upate nguvu ya kupanuliwa vzr ukojozwe
Mwanamke bila kupigwa paipu lazima apate msongo wa mawazo, nimeona kwa dada zangu!
Mdau wa hii thread nafikiri anatania tu, she's not serious..
🤔🫤🤌🧐🤨😖🤐😦😐
 
Bc subir ulishwe ili upate nguvu ya kupanuliwa vzr ukojozwe
Mimi napanuliwa na kukojozwa haswaa si uongo swali linakuja kwako anayekupanua wewe hakupi chakula? ndio maana makasiriko muda wote kumbe njaa
 
Back
Top Bottom