The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mleta mada ni ✂️
So,usimshangae kwa kuleta mada ya aina hii.
So,usimshangae kwa kuleta mada ya aina hii.
Unamuhitaji mwanaume kwa ajili ya nini?Mimi nimeshamjibu huko juu
Chochote atakochosema ama kumaanisha mimi nitabaki kuhitaji mwanaume kwenye haya maisha
Kwa ajili ya kunikazaUnamuhitaji mwanaume kwa ajili ya nini?
Tumia dildo.Kwa ajili ya kunikaza
Sijakupangia, nimekushauri.Usinipangie
Tumia wewe
Mahi nilikua huko site kutafuta kitu ili mkono uende kinywanii.Nakuongezea na Pepsi Big ya bariiiiiiiiid,
Kwanza ulipotelea wapi mrembo wangu
Toa hoja mkuu, maana tunawaona hata wanawake wapole wanynyekevu wanavuka huo umri bila kuolewa. Kwahiyo hii hoja yako ni nonsenseMsipoolewa mnakuja kuanza mambo yenu ya ( 45 - 50 ) Dini yeyote awe na mtoto Mmoja.
Uko wapiKwa ajili ya kunikaza
Toa hoja mkuu, maana tunawaona hata wanawake wapole wanynyekevu wanavuka huo umri bila kuolewa. Kwahiyo hii hoja yako ni nonsense
Sijakupangia, nimekushauri.
Wanawake hawa hawa wanaochambana mbele za watu kwa mambo ya kipumbavu oumbavu eti ndio anataka kutuambia wangekua peke yao duniani kusingekua na vitaCase study:
Shule za bweni za wasichana pekee huko hakuna ugomvi, uonevu na wizi?
Kenya juzi juzi tu, wasichana wachache wamewasha moto mabweni ya kulala huku wenzao wakiwa ndani.
Walikufa wanafunzi kadhaa.
Hii tunaita proof by counter example.
Mpaka hapo nadharia yako imethibitishwa siyo sahihi kwa mfano hai.
Nilifikiri daktari wanasoma hesabu za logic.
Jalada lifike kwenu wakuu kwa uhariri
Mshana Jr , ephen_ , Khantwe , Joanah
Nafikiri unaona akili za mafeminist mnaowateteaga kila siku humu.Kwa nini Mother Nature hakutengeneza viumbe wa jinsia moja tu wanaozaana wenyewe badala ya kuweka hitaji la lazima la jinsia zote mbili ili binadamu awepo?
Wanawake hawa hawa wanaochambana mbele za watu kwa mambo ya kipumbavu oumbavu eti ndio anataka kutuambia wangekua peke yao duniani kusingekua na vita
Anataka nyoka huyoNamjua ni mliberali feminist.
Anatetea kundi lao na itikadi zao.
Pia anatisha mawe makusudi
Bila hata uadui wa wenyewe kwa wenyewe. Wewe mwenyewe tu kama mwanamke ongea ukweli. Hivi duniani mngekuwepo wanawake watupu, kizazi cha binadamu kingekuwepo mpaka leo kwenye uso wa dunia?Kwanza adui wa mwanamke ni mwanamke
Anataka tubaki maadui tupu?
Kwa kipindi kifupi ambacho nimeamua kupumzika naona mmejisahau. Mnatamba sana. Kesho nashusha thread ya kuaribu wikiend za watu.Huu ulikua uzi wa kuchangamsha kijiwe leo, tuikaribishe weekend vizuri.
Wangetulia basi tungeshuhudia ngumi.