Kwani kulikuwa hakuna hali ya hatariSwali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Mambo ni mengi.
Swali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Mambo ni mengi.
The obvious, ni YEYESwali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Mambo ni mengi.
Hata heche alionyeshwa video mahakamani juziAtakumbushwa Kwa video kama mashaidi waliopita walivyokumbushwa
Haya Maswali unamuulizia wapi? Maana Kesi ya Lissu ni ya Uhaini haisiani na Polisi
Unaijua hali ya hatari kwa nchi nzima wewe.Kwani kulikuwa hakuna hali ya hatari
Ndio maana vituo vya mwendokasi mlivyochoma moto havijakarabatiwa Ili vitumike kama ushahidi
Empty roomJe,
aliekubeba ufala wa kifikra na kukushawishi wewe na kaka yako mkawa kama wendawazimu na kwenda kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, ofisi za umma na makazi ya watu, na mkadhani maafisa usalama watawakenulia tu, ni nani hasa miongoni mwa AZAKI?
Hiyo ndo Cross Examination ku impeach credibility ya Shahidi sasa hao wamba aliyowaita kama mashahidi yeye ndiyo anatakiwa awaongoze siyo kuwa cross hapa naona Makada wengi wa CHADEMA mnachanganya mambo huwezi kumfanyia cross examination shahidi uliyemuita ila utamfanyia Examination inchief baada ya hapo shahidi atafanyiwa Cross examination baada ya hapo utamfanyia Re-examination shahidi wako re-examination ni kusawazisha sehemu ambazo hujaeleweka vizuri katika ushahidi wako ulisema mtakinukisha kukinukisha ni nini shahidi atasema kupika Pilau labdaKama ni ya uhaini jezi ya Heche ya Arsenal na kadi ya trekta yake aliulizwa kwanini chawa wa Lumumba?
Hiyo ndo Cross Examination ku impeach credibility ya Shahidi sasa hao wamba aliyowaita kama mashahidi yeye ndiyo anatakiwa awaongoze siyo kuwa cross hapa naona Makada wengi wa CHADEMA mnachanganya mambo huwezi kumfanyia cross examination shahidi uliyemuita ila utamfanyia Examination inchief baada ya hapo shahidi atafanyiwa Cross examination baada ya hapo utamfanyia Re-examination shahidi wako re-examination ni kusawazisha sehemu ambazo hujaeleweka vizuri katika ushahidi wako ulisema mtakinukisha kukinukisha ni nini shahidi atasema kupika Pilau labda
Ila Inahusiana na mambo binafsi ya Heche? Hivi huko CCM uwe kada, ni lazima nati za ubongo zilegee au?Haya Maswali unamuulizia wapi? Maana Kesi ya Lissu ni ya Uhaini haisiani na Polisi
Kwenye Cross examination lazima uulizwe kila mahali ili ku shake credibility yakoMaelezo mengi halafu unarudi palepale , hebu jibu swali.
Machawa wa mboga mboga ni watupu kichwani kabisa.Aliyeuliza trekta la Heche lilikuwa linahusiana nini na kesi ya uhaini wa Lissu.
Kwenye Cross examination lazima uulizwe kila mahali ili ku shake credibility yako
Sasa hapa unajikamata mwenyewe, kwahiyo unakubali, IGP. CDF, na DCI watapinga kuwa case hii sio uhaini? Kwa kuambatana na lissu na kuikana serikali iliyowapa vyeo?Hiyo ndo Cross Examination ku impeach credibility ya Shahidi sasa hao wamba aliyowaita kama mashahidi yeye ndiyo anatakiwa awaongoze siyo kuwa cross hapa naona Makada wengi wa CHADEMA mnachanganya mambo huwezi kumfanyia cross examination shahidi uliyemuita ila utamfanyia Examination inchief baada ya hapo shahidi atafanyiwa Cross examination baada ya hapo utamfanyia Re-examination shahidi wako re-examination ni kusawazisha sehemu ambazo hujaeleweka vizuri katika ushahidi wako ulisema mtakinukisha kukinukisha ni nini shahidi atasema kupika Pilau labda
Kwahiyo unakubaliana na mimi IGP ataulizwa chochote zikiwepo zile apartments na hotel zake anazojenga Dodoma.Hiyo ndo Cross Examination ku impeach credibility ya Shahidi sasa hao wamba aliyowaita kama mashahidi yeye ndiyo anatakiwa awaongoze siyo kuwa cross hapa naona Makada wengi wa CHADEMA mnachanganya mambo huwezi kumfanyia cross examination shahidi uliyemuita ila utamfanyia Examination inchief baada ya hapo shahidi atafanyiwa Cross examination baada ya hapo utamfanyia Re-examination shahidi wako re-examination ni kusawazisha sehemu ambazo hujaeleweka vizuri katika ushahidi wako ulisema mtakinukisha kukinukisha ni nini shahidi atasema kupika Pilau labda
Chawa wa Lumumba wameshapoteana, wanabaki kuhaha tu, hawana Pa kushika wska kuegemea.Nikuulize swali tu , kwenye kesi ya uhaini kunakosanaje kusikika depot ya bunduki, mabomu, risasi, armoured vehicles , ramani za ikulu, jeshi na majengo nyeti ya serikali
Badala yake kunasikika jezi za Arsenal, kadi za trekta na magari, na hotel za Dubai.
Make it make sense.
Chawa wa Lumumba wameshapoteana, wanabaki kuhaha tu, hawana Pa kushika wska kuegemea.
πππ
Kwani kulikuwa hakuna hali ya hatari
Ndio maana vituo vya mwendokasi mlivyochoma moto havijakarabatiwa Ili vitumike kama ushahidi
Kwahiyo unakubaliana na mimi IGP ataulizwa chochote ikiwepo ile hotel yake anayoenga Dodoma.
PM kawaambia sio kila kiberiti ni cha kutikisa, kingine cha gas kinalipuka.Hii kesi ilibadilika upepo siku Lissu kasema anajitetea mwenyewe.