Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Kwani jiwe aliposema yeye ni mpenzi wa Mungu aombewe alikuwa mjinga na jee kuombeana ni dhambi na Mungu amekataza?

Au mnataka wafanye nini bila ya kumuombea?

Ukiona kumuombea kwako kutaleta ufarakano nyamaza.
 
Ndugu,
Yaonekana na yawezekana huyo mungu wako ni tofauti na Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo tunaemwamini siye.
Hivi waonaje ukiendelea nae kwa amani, ili mradi hujiingizi katika kukashifu imani za wengine kama katiba JMTZ inavyotaka.
Maelezo mengine yataweza kukusaidia kwenye masomo yako. LAKINI kama hayakusaidii kujenga imani na upendo wa kweli, ni kazi bure. AMEN
 
Kumbuka:

Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo sio Mungu tunaemwamini leo.
Huyo ni Mungu wa Agano la Kale na alikuwa ni roho tupu.
Mungu wa Agano Jipya ana mwili pia, hasa tangu umwilisho wa Yesu.
Kunahitajika skills kidogo tu za kufanya literature review kubaini tofauti hii.
Unakwama wapi?
Acha kukariri mambo kama kasuku.
 
Wewe mbona wanasiasa wanaombewa kwenye misikiti na makanisasisi kanisani kwetu huwa tunamwombea Raisi ingawa siyo mkiristu
With evidence provided, eleza maombi mangapi kati ya hayo yamejibiwa na mwombwaji.
 
Wakatoliki hukataa kumzika mtu aliyekuwa anaabudu madhehebu tofauti.

Vivyo hivyo, hawapaswi kumwombea mtu anayekataa Ukatoliki kama anavyofanya Mbowe ambaye ni muumini wa KKKT mpaka leo.
Mbowe alipokea dhehebu lake katika umri gani? Tuseme ni akiwa mtoto, tunarithi DINI na MADHEHEBU, Je katika utaratibu huo 'mtoto' anakuwa AMEKATAA dhehebu flani au anakuwa amepokea imani kwa kurithi?

Ningeomba ushahidi wa MBOWE katika umri wake wa utambuzi (mtu mzima) kwamba ALIKATAA kuwa R
MKATOLIKI! Nani alimfata na kumshawishi kuwa RC ila AKAKATAA!

Ndugu, dini /dhehebu kote Duniani ni urithi wa kimnyororo wa familia. Tunazaliwa, tunapitishwa njia za kiimani za dini /dhehebu za wazazi.

Hakuna logic katika andiko lako kwamba MBOWE ameukataa (willingly and intentionally) UKATOLIKI hivyo hapaswi kuombewa na dhehebu.

Yesu alikuwa MKATOLIKI, MLUTHERANI, MSABATO, MLOKOLE?
 


HOJA: Ndugu, dini/dhehebu kote Duniani ni urithi wa kimnyororo wa familia. Tunazaliwa, tunapitishwa njia za kiimani za dini /dhehebu za wazazi. Hakuna logic katika andiko lako kwamba MBOWE ameukataa (willingly and intentionally) UKATOLIKI hivyo hapaswi kuombewa na dhehebu.

JIBU: Bila kujali alibatizwa katika umri gani, matatu yako wazi, (1) Katika umri wa utu uzima wake hajawahi kujiunga na Ukatoliki. (2) Katika umri wa utu uzima wake hajawahi kuukana Ulutheri wake aliourithi kifamilia. (3) Kwa hiyo, katika umri wa utu uzima wake haukubali na hajawahi kuukubali Ukatoliki. Anaikataa Ukatoliki by practice. Hivyo, awe mzima au mfu, leo hana haki yoyote anayopaswa kudai kutoka Kanisa Katoliki.

HOJA: Yesu alikuwa MKATOLIKI, MLUTHERANI, MSABATO, MLOKOLE?

JIBU: Yesu Kristo alikuwa Myahudi mpaka utu uzima wake. Baadaye akaukataa Uyahudi kwa hoja na kuanzisha movement yake ambayo leo inaitwa Ukristo
 
Nimekuuliza hapo KWA NINI AUKANE U-KKKT? KWA NINI AUPOKEE U-KATOLIKI?

Hebu break it down objectively kwa nini mtu aliyerithi DHEHEBU katika utoto, aje AKANE DHEHEBU katika utu uzima?

Kwamba MBOWE alipaswa kuamka asubuhi moja na kusema 'mimi siyo MLUTHERANI'!
 
Nimekuuliza huyo YESU baada ya kuukataa UYAHUDI akawa MKRITSO WA DHEHEBU GANI? RC, KKKT, SABATO, MLOKOLE?

Naomba HOJA ambazo YESU alitoa kuamua kuwa DHEHEBU moja wapo hapo!
 
Yesu aliukataa UYAHUDI na kupokea UKRISTO, Je ni UKRISTO wa KKKT, KATOLIKI, SABATO, ULOKOLE?
 
Sababu ni hii: Mungu wa Wakatoliki sio kisawe cha Mungu wa Walutheri.

Ni hivi:

Mungu wa Wakatoliki na Mungu wa Walutheri wanafanana kwa sababu wote wanazo nafsi tatu, walishiriki kuumba mbingu na nchi, nk.

Lakini:

Kwa upande mmoja, MUngu wa Wakatoliki, kati ya mengine, anakataza matumizi ya kondomu, anazuia makuhani kuoa, alianzisha upadirisho kama sakramenti, na anafundisha kuwa malengo mazuri hayapaswi kuhalalisha mbinu haramu hata siku moja.

Kwa upande mwingine, Mungu wa KKKT anaruhusu matumizi ya kondomu, anaruhusu makuhani kuoa, hakuanzisha upadirisho kama sakramenti, na anafundisha kuwa katika mazingira fulani malengo mazuri yanaweza kuhalalisha mbinu haramu.

Mbowe katika umri wa utu uzima anazijua tofauti hizi na ameamua kwa hiari yake mwenyewe kubaki katika kambi ya Mungu wa KKKT.

Kuna swali jingine?
 

Halafu ww mother huwa unazingua na nyuzi zako za kishuleshule, huna mtu wa kukipiga miti nini mpaka unapata sonona?
 
Mungu kwetu ni kimbilio la nguvu, msaada unao onekana tele wakati wa mateso, Imeandikwa kwenye kitabu cha Zaburi; wajuvi watasema ni Zaburi gani hiyo
 
Mungu wa UISLAMU haruhusu matumizi ya kondomu, Je hii inatosha Muislamu kuombewa na MKATOLIKI na maombi yakapokelewa?
 
Rejea jawabu langu ktk bandiko na. 133
Wewe sema hapa YESU alipokea UKRISTO kisha akawa DHEHEBU gani? Tuanze sasa kujua dhehebu lipi ni la UKRISTO halali kwa kuwa yote yanamtaja na kumuishi YESU KRISTO.
 
Mungu wa UISLAMU haruhusu matumizi ya kondomu, Je hii inatosha Muislamu kuombewa na MKATOLIKI na maombi yakapokelewa?
Naona unatoka nje ya mada.

Hoja yangu inaanzia kwenye Ukatoliki na sheria zake, canon laws!

Sheria hizi zinakataza kuhani mlutheri kukanyaga kwenye madhabau katoliki

Zinakataza mtu aliyeishi nje ya ukatoliki kuombewa kwa njia ya ibada ya mazishi.

Vivyo hivyo, zinakataza mtu asiye mkatoliki kupata huduma za kiroho ambazo ni haki ya wakatoliki.

Mambo ya uislamu siongelei kwa sababu hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…