Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

Sisi hatuna muda wa kutofautisha, tunabeba full package
Ukibeba full package utakuta viongozi wengi chamani na serikalini wachafu sana kwenye Mambo Yao binafsi wana adabu kazini lakini kibinafsi wako hovyo sana wahuni wa kutupwa

Hakuna uhuni mbaya kama wa kupora Mali za chama au serikali
 
Hayo utayajua wewe mkuu, sisi tunaangalia yote
 
Wabongo mawazo ya kishoga yanawasumbua sana.

Lubricant inatumika hata kwenye uke vizuri tu, kuna wanawake hawatengenezi utelezi wa kutosha hata ufanye nini.

Bila lubricant utachofanya ni ubakaji na kumsababishia maumivu. Hao wanawake zenu hawawambii tu mtumie lubricant kwa sababu ya mawazo yenu machafu, ukiambiwa tutumie lubricant basi wewe akili zako zinakwambia leo anataka kukupa tigo.

Hivyo slowslow apingwe kwa hoja na sio kwa kukutwa na KY gheto.
🤣 🤣umeongea kwa uchungu sana,utadhani wewe ni muhusika wa hiyo KY
 
wewe ndio una mawazo hayo mkuu
SUGU kauliza ile KY ya nn kama sio muhuni na yeye maana wahuni wenzake wanaulizia matumizi yake
KIMAADILI kidini na KIUTANZANIA kwa ujumla kama hujaoa halafu una KY chumbani kwa ajili ya kurahinisha UKE za WANAWAKE wewe ni MUHUNI unazini ni UHUNI huo
Maadili ya kidini sio binding kwa kila mtu ni hiyari ndio maana uzinzi sio kosa la jinai.1
 
Mafuta ni suala binafsi halipaswi kuwa mjadala 2a umma.
Lazima tujue tabia binafsi za viongozi,zinaweza kuathiri mustakabali wa taifa baadae, kama ana tabia hizo tujue, maana anavyopiga mdomo anatoa kiashiria fulani
 
Sugu amejuaje gettho la msela kuna KY? aisufue mvua.......
Mwenye ghetto kaposti mwenyewe picha za ghetto lake baada ya anachodai alivamiwa. Kati ya items zilizoonekana kwa uwazi kabisa kwenye picha ile ni KY! Yule ni mpumbavu kufupisha maelezo; kiroboto haswa!
 
Sugu naye ni Mjinga tu

Unajua mpaka nawashangaa

K-Y ni water based kilainishi ambacho kazi yake nikutumika wakati wa Tendo.

Wanaume wengine wanatumia kupigia punyeto.

Kuna wanawake kwasababu za kihomoni, UKE wao nimkavu, hata umwandae vipi yeye nimkavu, wanawake hawa huchubuka kirahisi na hawafurahii tendo ,lkn pia nihatari kwa mwanaume.

Watu wa aina hiyo, Tunawashauri watumie K-Y Jelly..

Sio tu mpaka uwe na shida hizo, hata km hauna, kwa usalama Zaidi ,na ukizingatia matumizi ya kondom, kondom inawah kuisha mafuta, ivo kutumia KY ni chaguo sahihi.

KWA UPINZANI WA KIPUUZI NAMNA HIYO. UPINZANI, USAHAU KUBEBA NCHI.!!.
Kwa hiyo Humphrey alikuwa anatumia hiyo KY kupiga punyeto?
 
Mwenye ghetto kaposti mwenyewe picha za ghetto lake baada ya anachodai alivamiwa. Kati ya items zilizoonekana kwa uwazi kabisa kwenye picha ile ni KY! Yule ni mpumbavu kufupisha maelezo; kiroboto haswa!
Aisee, Sasa sijui ni kijana wa mtu!?
 
Soma ujiView attachment 2057144SWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
200 (11).gif

Tunajua..brrrrr aah!!
 
Jf bhana...

Ukitaka kupitia threads zilizojaa pumba na matusi...

Tafuta iliyoanzishwa na nyumbu na ikaonekana kuwasapoti wahuni wa ccm humo hutokutana na hoja...

Ni matusi mwanzo mwisho.
 
KY also known as Gay lube, kwenye Chumba cha Msimbe.😁🤨😆
Yaani, ngoja tuone, labda wazee wa kitengo wana video zake, ngoja akukuruke wanaweza kumchapa kombora kama Gwaji akiwa ki Ramadhani Kibwili
 
Wabongo mawazo ya kishoga yanawasumbua sana.

Lubricant inatumika hata kwenye uke vizuri tu, kuna wanawake hawatengenezi utelezi wa kutosha hata ufanye nini.

Bila lubricant utachofanya ni ubakaji na kumsababishia maumivu. Hao wanawake zenu hawawambii tu mtumie lubricant kwa sababu ya mawazo yenu machafu, ukiambiwa tutumie lubricant basi wewe akili zako zinakwambia leo anataka kukupa tigo.

Hivyo slowslow apingwe kwa hoja na sio kwa kukutwa na KY gheto.
Au wewe ndo ulikuwa unaliwa nayo?
 
Back
Top Bottom