YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ukibeba full package utakuta viongozi wengi chamani na serikalini wachafu sana kwenye Mambo Yao binafsi wana adabu kazini lakini kibinafsi wako hovyo sana wahuni wa kutupwaSisi hatuna muda wa kutofautisha, tunabeba full package
Hakuna uhuni mbaya kama wa kupora Mali za chama au serikali