Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

Watamshitaki kwa kosa gani!? Au kosa lolote tu kwa kuwa mahakama ni za kwao na majaji wa kwao pia!?
 
Gaidi Mbowe alienda Ikulu baada ya ile kesi uchwara. Hata kesi ya Lissu nayo ni uchwara tu. Labda kama unajiona na wewe ni "chura kiziwi".
 
Wakati huo wewe umejificha Marekani mjinga mmoja wewe

USSR
 
EN hawampeleki popote hofu ya kumvua uanachama ni kumuondoa kwenye nguvu ya kurudishwa na baadhi ya wanachama agombee Urais vita hapo ni Urais hakuna kitu kingine..
Hawa jamaa hawashindiwi fanya lolote, maana hawatazamani mbali wao wanatamaza hapi kwa hapo
 
Imagine mtu anadai "katiba ni kijitabu tu" yaani anaweza akakikanyaga kanyaga. Inaingia akilini hii!?
 
Umma ndio nani huyo mjinga akaharibikiwe au hata kupotema maisha Kwa Ajili ya Wewe mjinga mmja uliyejificha mtandaoni.

Kwa nini hiyo Nguvu ya Umma usiwe wewe? Mbona hujitokezi hadharani kumsaidia huyo mtu wako?
Acha kufokea watu,jenga hoja. Mtu wangu nani ninaetakiwa kumtetetea unaemwogelea wewe? Na mbona wewe uko hapa online unafokea watu hukukaa huko hadharani!
 
halikuwa jaribio la mapinduzi au uhaini.
Kama una ndugu,rafiki au jamaa yoyote kwenye vyombo vya usalama kawaambie OKTOBA 29 ilikuwa ni kitu gani coz siyo siri tena.

Kisha waulize hii CLEAN UP iliyoaanza, inayoendelea na itakayoendelea inahusu nini.
 
Kama kuna uwezekano tupige sala ya kufa mtu ili "JPM arudi".
 
Kama una ndugu,rafiki au jamaa yoyote kwenye vyombo vya usalama kawaambie OKTOBA 29 ilikuwa ni kitu gani coz siyo siri tena.

Kisha waulize hii CLEAN UP iliyoaanza, inayoendelea na itakayoendelea inahusu nini.


..Oct 29 kulikuwa na makundi mengi lakini hakuna hata moja lilolenga kupindua serikali.

..kulikuwepo na kundi lililokuwa na hasira na uchaguzi hao walijielekeza kuharibu vituo vya kura.

..kuna kundi la vibaka ambalo lilijielekeza kufanya wizi mdogo mdogo ikiwemo kuvunja maduka.

..hiyo ni kwa uchache tu.

..kupindua nchi kuna hatua zake, na moja wapo ni kukamata taasisi nyeti kama Ikulu, makambi ya jeshi, uwanja wa ndege,...


..Sasa hebu jiulize kama waandamanaji walionyesha nia au uwezo wa kuvamia kambi yoyote ya jeshi.
 
Umeandika vyema kabisa. Huu ni muendelezo wa ule ujahili.
 
Uelewa binafsi kabisa !uelewa binafsi kabisa!!

Deep state so called the state wakiw na wazee wastaafu kama kina warioba wenye misimamo isiyo yumba pamoja na TEC walikua nyuma ya nchimbi ukijumlisha na taasisi za kimataifa za kijasusi za america,israel,uengereza n.k namaanisha CIA,mossad, M16 na washirika wao kutokana na maslahi yao ndani ya Tanzania walikua nyuma ya nchimbi!!

Lakini wapinzani wao ccm mtandao walicheza karata zao vizuri coz kila move walioifanya majamaa wali counter attack kijanja!!

Mfano:-

1.Walipotaka kumuondoa mama asiwe Rais wa muda mrefu yaani wakitaja kumchomekea nchimbi awe makam wake kipindi cha msiba ule;-
Decisive counter:-

Wakamuweka mtu asie na ushawishi mrundi kiasili Hana mizizi ndani ya chama Philip isdory Mpango.

2.Walipotaka kumzuia mama asigombee kupitia gazeti la uhuru kwa kichwa cha habari ,Samiah;-sitogombea urais 2025,na figisu kibao;

Decisive counter;-

Mama alianza kampeni mapema plus baiskeli,piki piki na akaagiza mchakato wa uteuzi mapema pale Dodoma January mwaka 2025 ndani ya chama!wakashindwa!

3.Wakamtumia Humphrey pole pole plus disert mission iliyoratibiwa na TEC kanisani kwa mgongo wa chadema wakaipa jina no reform no election na kweli ikabamba sana kitaa.
Decisive counter;-

Wakamteka pole pole hatujui alipo Hadi Leo,Lisu kama top leader wa no reform no election kawekwa lupango Hadi Leo,siku ya uchaguzi wakaja na surprise ever ile thabit kombo ile kauli "shoot to kill" na kweli maandamano yakayeyuka na njugu wakachezea waliochezea!!

4.Wakamuingiza nchimbi kama plan B kama plan A ya uchaguzi ilishindwa basi huyu atumike kuleta vugu vugu la katiba na mabadiliko ndani ya chamanna serikali pia wakatumia ushahidi wa picha wa matukio ya October 29 ili kumtia mama hatiani!!yaani operation PJLK eti taarifa zinatoka juu kurudi chini.

Counter
Wakaja na "operation yuda" na kumtoa nchimbi kama plan B Yao,wakatembeza mkwanja huko majuu kisafisha nchi dhidi ya Damu iliyomwagika Bado haijafanikiwa sana hii lakini nadhani watapambana!!

Kifupi Hadi sasa team mtandao wameshinda dhidi ya Deep state:-

Angalizo kuu;-

Kama deep state ikitumia mabaka mabaka ku destabilize regime patachimbika na hiyo ndio kete pekee baada ya paln B nchimbi kushindikana!!JE team mtandao huko jeshini na brigade zote mambo yapoje!!?

Nimechoka ku type

Ngama Bado mbichi,
Nachelea

Kazi na utu,tuna songa mbele

Tujitahidi tuwe na utu!

Mawazo binafsi haya!!Wala sio mjuzi wa kimedani WA mambo haya!

Kuna Uzi niliwahi kuandika

"Uchaguzi wa Tanzania 2025 October ni vita vya kijasusi mashirika ya kimataifa ya america, Europe,israel vs Russia,china,Arabs united" kapitie ule uzi Kwa kina !!
 
Very true...yaani hawataki kuwajibika kwa mambo yao wanataka kuwabebesha lawama wengine.
 
Aliweka maslahi ya Taifa mbele dhidi ya maslahi yenu ninyi mafisadi .
 
kupindua nchi kuna hatua zake, na moja wapo ni kukamata taasisi nyeti kama Ikulu, makambi ya jeshi, uwanja wa ndege,..
Ndiyo maana nikauliza ufahamu wako coz unaonekana unataka kubishana (Sifa ya watu wajinga) na siyo kujifunza (Sifa ya watu werevu).

Nenda tena kawaulize ndugu,jamaa au rafiki yoyote kwenye vyombo vya usalama wale waandamanaji (wahaini) walikuwa wanaelekea wapi kabla ya kuzuiliwa coz siyo siri tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…