Mbona hujaandika mwenyezi mungu na badala yake umeandika "Mwenyezi Mungu"?
109
17:110. Sema: Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri. Wala usitangaze Sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche kwa sauti ndogo, bali shika njia ya kati na kati ya hizo.
Kabisa tena, hata Kiswahili asilimia kubwa ni Kiarabu, usisahau hilo.Mbona hujaandika mwenyezi mungu na badala yake umeandika "Mwenyezi Mungu"?
Kumbe ulikusudia kuandika mungu hapo awali!
Kiufupi imeelewaka,Allah ni kiarabu na ina kiswahili chake!
Shika imani yako inatosha,wewe hauna tofauti na hao wasweeden!
Hakuna muujiza hapo, kwani kuna maneno mengi yasiyo na wingi wala umoja!Kiouabisa tena, hata Kiswahili asilimia kubwa ni Kiarabu, usisahau hilo.
Umeona mapungufu ya nenu "mungu"" hayo hutayakuta katika jina Allah kwa Kiarabu, halina herufi kubwa wala ndogo, halina ke wala me, halina past wala present, halina wingi wala umoja.
Allah ndiyo muujiza wake huo. Mungu linaweza miungu Kiswahili, God linaweza kuwa Gods, Allah hakunaupuuzi huo kabisa ingawa maneno na sifa zote Kiarabu zina ama wingi ama u ke na u me.
Muujiza huo.
Kauli hiyo ilitoka kwa dada mmoja baada ya kuzibuliwa mafla bila lubricant oilWachome tu mbona zinasombwa na mafuriko hawashangai
japo huwa tunapingana kwa mambo mengi lkn kwenye hawa mazombi huwa unawapa makavu kinoma duh wapunguzie dozi id yng og waliilamba banHakuna mwenye jeuri ya kumpangia mwenzake, unapaswa umhubirie huyo unayedhani amekengeuka lakini sio umlipukie mabomu kwamba wewe ndiye umekerwa kumzidi "mungu" wenu.
japo huwa tunapingana kwa mambo mengi lkn kwenye hawa mazombi huwa unawapa makavu kinoma duh wapunguzie dozi id yng og waliilamba ban
Hamna kitu. Kupoteza muda tu. Hata wangefungia maandazi nn shida , unachapisha zingine maisha yanaendelea , kwani zimechomwa zote duniani?15:9 Quran
إِنَّا نَحۡنُ نَزَّلۡنَا ٱلذِّكۡرَ وَإِنَّا لَهُۥ لَحَٰفِظُونَ
Hakika Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho huu(Quran), na hakika Sisi ndio tutao ulinda.
Si ni kakitabu kamoja tu kamechomwa?Hawa ndio wanaoleta mtafaruku wa dini upuuzi mtupu
Kesho uarabuni nao watachoma Biblia
Wewe ndio unabisha.....Unajaribu kubisha nini?
Hizo ni nchi za mashoga....Sioni haja ya kufanya haya. Tumia ushawishi wa Imani yako kuwafanya wengine wengine wake ktk Imani yako siyo kuchoma vitabu vyao. Huu ni upuuzi.
Halafu Sweden, Australia, Denmark na baadhi ya Scandinavian countries hawapendi uislam Sasa kwa nini wanawakaribisha kama wakimbizi Hawa watu ni wanafiki...yanini kumkaribisha mtu Kisha kumfanyia yasiostahili kwa Imani yake .
Usimsingizie Mungu hapo mkuu.Kusombwa Na mafuriko Sio Man Made, tumia Akili
Sio sawa kudhihaki dini za wengine!Hayo hufanywa na mtu ambaye hajastaarabika!Mbaya zaidi kitendo kama hicho kikiwa backed na mamlaka ndio inaleta ukakasi zaidi!Si ni kakitabu kamoja tu kamechomwa?
Tufanye kazi.
Mungu anaye elezeka siyo mungu wa kweliSiku zote huwa najiuliza hivi huyu mungu anayehitaji msaada wa wanadamu wampiganie, wamtetee, ni mungu mwenye nguvu kweli? Unaaminije kitu ambacho kinakutegemea ukipiganie na kukitetea? Upofu kitu kibaya sana.
Binafsi mimi Mungu wangu, hata ufanyeje sihitaji kumpigania au kumtetea, yeye anazo nguvu za kutosha kujitetea hahitaji msaada wa mwanadamu. angehitaji msaada wa mwanadamu kutetewa ningeona ni mungu sawa tu na sisi na hapangekuwa na haja ya kumwabudu mtu aliye sawa na wewe.