Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
109
17:110. Sema: Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri. Wala usitangaze Sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche kwa sauti ndogo, bali shika njia ya kati na kati ya hizo.
Mbona hujaandika mwenyezi mungu na badala yake umeandika "Mwenyezi Mungu"?
Kumbe ulikusudia kuandika mungu hapo awali!
Kiufupi imeelewaka,Allah ni kiarabu na ina kiswahili chake!
Shika imani yako inatosha,wewe hauna tofauti na hao wasweeden!