Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
- Thread starter
-
- #241
Sawa.Usiwalipe kama ambavyo umeamua.
😅😅😅Ki ufupi mahakamani siendi, na deni silipi, nimeshakopa makampuni 8 sasahivi na sina mpango wa kuwalipa, mahakamani waanze wao kwenda
Ukisoma hicho ulichoquote mbona nimeaddress kila kitu.Hivi unajua maana ya overdue unayoizungumzia wewe.
Mimi nnachojua overdue ni kupitiliza siku/mda ulitakiwa kulipa.
Leo ni jumatatu natakiwa kulipa leo jumatatu pesa, alafu iweje asubuhi tu uamke uanze kuwatumia sms watu mimi ni tapeli.
Ungesubiri jumanne ifike ndiyo useme nime overdue
na tutaendelea kuwatumia sms mpaka pesa tuipate. Sisi sio tala wala branchKama aibu nishaipata sasa ya nini niwalipe, hata nikilipa haotorudisha heshima yangu kwa waliopata hiyo sms, kwa hiyo kwangu mimi ni bora tu nisiwalipe
Hahaha mm pesa m, mkopo fasta na sunny loan inasoma kama 800k hahaha.Dah basi leo bora pesa na pata pesa wanaenda kunidhalilisha na 42k yao .
Duh!!!Hahaha mm pesa m, mkopo fasta na sunny loan inasoma kama 800k hahaha.
Watume tu nani anaogopa kudhalilika.
Nina contacts kama 700 hivi kwenye simu ila kupata hata msaada wa 20k ni msala
Ningekua na ID ningekopa kwingine nihamishe madeni asee,sasa hapa nina license tu ambayo ipo limited kwa makampuni mengineIla sisi watz sio wakukopesha bila dhamana, Mimi nadaiwa na karibu makampuni yote ya online yaliyojaribu kunikopesha.
Mbaya zaidi Hela ninabetia na ninapigwa.
Kama sio kubeti nisingefanya huu ujinga wa kuwakopa
Kama kipi mkuu!! Kwani umetembea na mke wa mtu? Hicho kitakushushia hadhi.Duh we jamaa 😂😂😂
Unakijua unachoandika kweli?
Riba kubwa sana mzee unakopa 130k riba 50k kmmmk nani alipe kausha damu.Duh!!!
Hii ni baada ya ribald kuwa imekua au ndio kiasi walichokuwa wanakukopesha?
Sawana tutaendelea kuwatumia sms mpaka pesa tuipate. Sisi sio tala wala branch
Hakuna pesa inayolipwa na mimi hapaUkilalamika ukiwa umeshalipa deni kidogo utaeleweka
Mkuu,Overdue ni siku siyo saa.
Kama unatakiwa kulipa Ijumaa.
Alhamis utakumbushwa.
Ijumaa utadaiwa. So hata kama ni Ijumaa saa 1 asubuhi tayari ni Ijumaa
🤣🤣🤣Ila sisi watz sio wakukopesha bila dhamana, Mimi nadaiwa na karibu makampuni yote ya online yaliyojaribu kunikopesha.
Mbaya zaidi Hela ninabetia na ninapigwa.
Kama sio kubeti nisingefanya huu ujinga wa kuwakopa
Safi kabisa, na usiwalipeHahaha mm pesa m, mkopo fasta na sunny loan inasoma kama 800k hahaha.
Watume tu nani anaogopa kudhalilika.
Nina contacts kama 700 hivi kwenye simu ila kupata hata msaada wa 20k ni msala
Huenda wanatuma msg ila sipatak mrejesho.🤣🤣🤣
Wewe hawaja kudhalilisha ?
Nikiona comment kama hizi napata ujasiri sana japo ni comment ya kipuuzi ila kitu flan ndani yake
Mikopo kausha damuSafi kabisa, na usiwalipe