Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

Pombe ni shidaa nililewa akawa amekuja dada yake na wife tena ni mtu mzima wa kunizaa kabisa wacha nimpalamie nianze kumpeti peti aisee wife alinipiga makofi siku hiyo.me hata sijui lolote kesho yake ndo akaniambia na asingesema nisingejua lolote.pombe konyo sana
 
Mwingine anawakumbuka marehemu,anaanza kulia!
 
H
Sawa lakini wakilewa kinatoka kile proper kabisa lakini wakiwa timamu wanakosea tenses na husikii vocabulary Kubwa
POmbe hufanya mzunguko wa damu uende poa.so ubongo unapata lishe yake kwa usahihi na perfomance yake huongezeka.ndo maana ukimfuata malaya umelewa anajua kabisa kazi ipo bao dk 50 badala ya 15 sababu ya pombe
 
Kuna jamaa yangu alilewa siku moja akaongea maneno haya;

"Mimi ni mfalme wa dunia nina nguvu za kufufua nyoka"

Nilicheka sana, Na hua naendelea kucheka kila kumbukumbu inaponijia, Sijui alikua anawaza nini.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Alikuwa anajiona mwamba flani Fulani
 
Ila mzabzab๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kweli nakwambia ogopa sana hawa wanywa pombe bora sie wazee wakugegeda tena sie hatuwezi telekeza familia. Hawa wa pombe wanalala bar...na wakiridi home wanakojolea kwenye fridge...utasikia mama sabrina hii taa uliyoweka chooni yakisasa kweli ukifungua mlanga inajiwasha yenyewe๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ