Tabia hii wanaume mtaiacha lini?

ila shetani nae yupo kazini msisahau,unaeza kumuomba mdada namba lengo linakuwa wala hata sio mapenzi ila unashangaa tu shetani hata alipotokea!!
 
Mawazo potofu sana ayo.
Kwa iyo ukiwa ofisini na mademu zaidi ya 50 na uko na namba zao ni mwendo wa kupigana miti.
Just develop some decence life is all about networking na sio kila mda unawaza kungonoka
Umesema sahihi!!! Maisha yamebadilika sana... nikisema mwanamke anaweza kuwa business partner not necessarily mchangie biashara BALI ANAEEZA KUWA KIUNGO MUHIMU KATIKA CHAIN YA BIASHARA AU KAZI ZAKO...

Ukimjeruhi ujue umekata mnyororo wa kazi au biashara yako... Na kwanini iwe hivyo??
 
ila unajua kwa ss nyie mko wengi sana!kuna ambao wapo wana-hang hang ss kwakuwa hatuwajui kwa kuwaangalia inabid tutupe ndoano kwenye kila fursa[emoji16] tutakayebahatika kumnasa ndo huyohuyo
 
Hapo umenisema mimi kabisa mkuu.
Mwanamke ambae yupo kwenye age yangu kuzoena nae eti tuwe marafiki huwa ni kazi sana. Binafsi siwezagi urafiki na girls, nashindwa na huwa nashangaa sana me akisema girl flani ni rafiki yake.

Labda awe rafiki wa salamu tu na sy
Story chache lakini sio rafiki ile kindakindaki ambae tunapasiana mishe na michongo na kuambiana changamoto na mitikasi ya kutusua.
 
ila unajua kwa ss nyie mko wengi sana!kuna ambao wapo wana-hang hang ss kwakuwa hatuwajui kwa kuwaangalia inabid tutupe ndoano kwenye kila fursa[emoji16] tutakayebahatika kumnasa ndo huyohuyo
Jifunze kuheshimu kila mtu inawezakuwa ndiyo Mlango wa kutokea...
 
Naona mnachanganya Kati ya partnership na biashara za kawaida.
Mfano mwanamke anavotoa order za mapochi kutoka china mpaka hapa Tanzania, anakuwa anatuuzia sisi maretailers, hiyo ni biashara na hata namba yake unaweza ichukua Kwa ajili ya kujua mizigo kama imefika tayari.
Ila Business partnership ni tofauti kabisa, ndo maana Zuckerberg wakati anaianzisha kampuni ya Facebook, hakumshirikisha mwanamke ata Moja, wakati katika Chuo Kikuu Cha Havard walikuwepo wanawake ila hakuwashirikisha, Bill Gates alishirikiana na rafiki yake wa kiume, Elon Musk ametembea na mfanyakazi wake wa kike mwenye cheo kikubwa ofisini, yaani mwanaume anahitaji power na ni nature, hakuna partnership ya kibiashara Kati ya mwanaume na mwanamke kwasababu ya hiyo power factor.
Leo hii hata Mimi ntaprefer nifanye kazi ya kuanzisha kampuni na mwenzangu kuliko mwanamke kwasababu wanawake wengi wasomi Wana tendency ya kutaka aweze kuhusishwa katika Kila kitu.
 
Reactions: Cyb
Binafsi naungana na wewe kukemea tabia ya kutongoza kupitia namba ya simu.
 
Kweli lakini huwezi zuia uhalisia, tatizo linaanzia apo.
Ndio mkuu, changamoto ipo kwa nidhamu ya wanaoomba namba ili kutongoza. Inafanya wanaume wote tukiomba namba tuonekane wale wale
 
Hata awe nani mwanamke ni mwanamke tu mkuu, sijui awe profesa sijui waziri as long as ni mwanamke Kuna sehem tu Kuna shida tena shidaa kubwaaa

Kuhusu wanaume kutongoza hovyo ni wenyewe mnaweka hayo mazingira, mtu unamchokonoa tu kidogo unaona huyo anajaaa sasa unamwachaje?? na mda mwingine mtu anatongoza kama tu masihara unakuta limwanamke linakubali khaaaa!!

Kuhusu kulawiti watoto hivo vitu vinafanywa na watu wenye matatizo ya akili hata kama huyo mtu ni mwalimu au daktari, mwanaume ambaye kichwa yake inafanya kazi vizuri hawezi fanya huo ujinga.
 
Ila kuna baadhi ya wanaume wana msimamo sana.Niliwahi safiri na binti mzuri kwelikweli siti moja toka Mbeya to Arusha ,sikuomba namba wala kumzoea zoea zaidi ya kumkaribisha biscuits, zabibu baasi.Mpaka tunafika Magugu kuelekea kufika Arusha ikiwa ni usiku aliniuliza mambo mengi sn.Ilikuwa mimi na earphones [emoji442] tu.Hadi tunafika stand yeye ndo aliomba namba nikampa na alifunguka mengi vile alijisikia vibaya kwa mimi kuwa sina time naye.

Nadhani ni nature ipo baina yetu ktk hilo la kutongozana,so usiumie na kukwazika mleta mada.
 
Unazungumza tu, usikute ofisini kwako una bosi mwanamke!!! Au umesahau Rais wa nchi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni mama....
Wewe umeambiwa madili, unaleta mambo ya uboss. Nanikakwambia madili yanahusisha uboss, huu sindio kuleta usuperiority. Madili wanafanya watu washkaji wenye kuthaminiana, sasa uboss ndio ushkaji. Wanawake pesa au cheo mkipata zinawasumbuaga[emoji23][emoji23][emoji23], kweli ushindwe kufanya hayo madili na wanawake wenzako ndio uende kwa wanaume kwanza. Msaada na biashara na mwanamke ni kujichimbia kaburi, maana madeni tu hamkopeshagwi kwasababu hata pesa uwe nayo hamlipi.
 
Mmesoma wengi bali hamjaelimika wote, wanawake wanatengeneza pesa zao ila kamwe hawapo tayari kutoa pesa zao kwakusaidiana na hata ukimkopa harudishi, wapo wachache sana. Vyeo ni dhamana tu, hakimdefine mtu, nahapo ndipo mnapojikweza ilihali ukiwa na mwanaume haupo tayari kulea famili hata kwa mwezi 1 kama huyo mwanaume katetereka. Ukiacha wa ofisini, hao wafanyabiashara ni wachache wenye legitimate business, wengi mtaji wa biashara ni mwanaume awe mme au danga lake na huedesha kwa pesa izoizo za hao wanaume ila hayupo kushare faida na mwanaume hata siku 1. Kitu kinachoshangaza dunia mpaka leo, mwanamke huthamini pesa kuliko mwili wake[emoji23][emoji23]. Atafanya ngono ili apunguze kodi na apate pesa nyingi zisizo halali. Wewe waache wanaume wafanyavyo, hamsaidiki wala kufaa kuwa business partners maana ni wabinafsi mno.
 
Kuna mwanaume kakataa hiyo lawama, basi kubaliana na ukweli wenu. Mama kanizaa, lakini kamwe usifumbie macho kitu kisa unatetea jinsia fulani, ukiwacriticized hufi. Mbona wanaume wanatoa mbegu na hawajikwezi na wanakubali cticism kila siku, no gender is special dada yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…