Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

Huna kadi ya CCM kweli wewe?
 
Hahahah wewe sio wa kwanza vijana wengi tumepitia hiyo ishu ni kawaida so ni stage kwenye maisha so itapita tu.Relax life is simple don't be too serious
 
Mkuu nondo yako nimeilewa na imenitia moyo sana.
Ulivonambia 'kama natambua madhaifu basi pia kuachana nayo inawezekana' hii kauli imentia moyo sana kwa kweli shukrana sana mkuu sitochoka kujaribu japo nilishakata tamaa sana
 
Hahahah wewe sio wa kwanza vijana wengi tumepitia hiyo ishu ni kawaida so ni stage kwenye maisha so itapita tu.Relax life is simple don't be too serious

brother I'm 27 years old now usinambie eti nisiwe too much siriazi wakati ni vitu ambavyo naona kabisa vinanimalizia future ya maisha yangu
 
Tafuta girlfriend mwenye misimamo na umweleze tatizo lako la kubet. Spend nae muda mwingi unapokua haupo kazini na mtafute hobby nyingine mtayo share pamoja .
 
 
maisha yako yanafanana na yangu umenigusa 90%
 
huu uzi.nimecheka.sana
 
Hakuna kijana ambaye hajapitia au hapitii hivyo , asilimia 95 ya vijana wa kiafrika tunapitia hayo .
Hapo bado hujaweka ulevi na umalaya

ni kweli lakini mara nyingi age ya vijana kupitia mambo ya ajabu ajabu huwa ni miaka kuanzia 18 mpaka 24 hivi.
mimi 27 saivi najiona age imetembea sana alafu ndo nazidi kuathirika
 
unanigusa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…