The king mswati
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 787
- 825
- Thread starter
-
- #121
Chakula gani ukila mzeya unafika goli 12 na mie nianze kula ili nisasambhe mbususu vizuri
Ah mie nilishajikubalia tuu kuzika pesa kwenye mbususu na mbususu ndio iliyonileta duniani na ndio itakayo niondoa duniani
Vibabu vya miaka 80 haviachi sembuse mie mie wa miaka 42.Itakuwa we bado junior ndo maana unaona uendelee ukishafikia level ya u senior utatamani kuacha kama mimi
Wee weka hapa vyakula gani ili tukagegede vizuriKama unataka ule kwa ajili ya dem sawa ila kama ni kwa ajili ya punyeto never try utachubuka konga maana mimi nilichunika ngozi ya kongaa vibaya mno ila kwa sababu nilikuwa na hasira niliendelea kupiga hivo hvo bila hata kuhisi maumivu, maivu yalikuja badae sana nikiwa nishamaliza 12 tiari
Ujambazi
Kuvuta sigara na bangi
Kununua malaya badoo halafu sio wote natumia kinga kwao
Unga nakula mara moja moja sio sana
Sisali kabisa msikiti nshasahau ulivyo
Kula wake za watu
Kubeti hasa virtual
Hivi wakuu nitatoboa kweli
Sijajua kuhusu punyeto mana ni jambo la hisia lakini kuacha kubet,uongo na kumcha Mungu ni mambo yanawezekana sana
Kuhusu bet
Fanya tathimini ya faida na hasara,uzuri wewe umeshaona uko na hasara nyingi kuliko faida...then punguza idadi ya siku unazobet(kama ulikuwa unabet siku tano kwa week,anza kubet siku mbili)
Halafu ukipunguza siku unazobet punguza na kiasi unacho-stake
With time utajikuta umeacha/umepunguza
Uongo
Hii ni rahisi kuacha ukianza kuwa na utu,anza kufikiria umuhimu wa huyo mtu unayemuongopea....pia unaweza kujiuliza wewe unapenda kudanganywa?kama jibu ni hapana unajua nini unatakiwa kufanya
Kumcha Mungu
Ukiwa na moyo wa shukurani ni rahisi pia kumcha Mungu
Hizo goli 8 itakuwa unakojoa kama kuku wewe.
Sasa kwakua wewe unakua tayari ni mhanga msikilize tu lakini usimakinike nae tena kwa sababu hakuna usichokijua kuhusu betting na chukulia kama ni story za kufikilika tu wala hatakuathiri chochote.Wakati mwengine hapo kwenye draft ndo anakuja bwege anatoa stori jinsi alivompiga muhindi jana
Hakuna MTU mwenye uwezo wa kukojoa bao 12 kwa Siku 1 akabaki salama acha kutudanganya.Itakuwa hujanielewa upigaji punyeto wangu, nipo na porno movies ndani nimejifungia ndani kwam masaa 10 hadi 14 nisikojoe goli 8, huwa nakojoa hadi 12 sa kama sijapiga mda mrefu
Kuangalia mpira hakuwezi kumpelekea MTU abeti hata Siku moja,cha mhimu tu ili ufanikiwe kuacha hapo kwanza kabisa punguza dau unaloweka kwa mkeka 1 japo kwa 90%,punguza mategemeo kwa 90%(yani kuanzia Leo jua ile ni bahatinasibu)Mpira unamatokeo matatu,hakuna team ambayo ni sure,usiwekeze ndoto zako kwenye kamari n.k natamani niendelee lakini ntaharibu biashara ambayo mi mwenyewe-------------Brother mimi hata siyo mtu wa kuangalia mpira live kwenye tv ama simu ila huwa nafatilia matokeo live tu kwenye livescore ama sofascore na nafatilia kwa sababu nakuwa nimebet, any kwenye suala la kuacha kabisa kufatilia mambo ya mpira naweza kukubaliana na wewe japo siwezi acha ghafla ila pole pole nitaanza kujaribu kuacha.
siku nikitoka kwenye hivi vifungo nitaenda kumtolea Mungu shukrani ya pekee
Mimi sehemu tunayotofautiana ni moja tu,hapo kwenye bao 12Unaweza kuona ni chai ila mimi ndiyo muathirika ukweli naujua mimi.
Mimi huwa nikiwa na msongo wa mawazo uliopitiliza huwa napiga punyeto kwa kiwango ambacho hata mimi huwa najishangaa, naweza kujifungia geto kuanzia asubuh labda saa nne, nalala kitandani najaza GB 3 nakuwa nipo online kwenye web za porno tu mda wote, wastani kila baada ya saa napiga goli mbili, mle ndani hakuna ninachoangalia zaidi ya video za ngono, kwa sababu ya stress naweza kuja kuamka saa mbili au saa nne usiku na kumbuka ni since morning nipo ndani, na mpaka niamke ni kwamba uwezo wa kupizi tena sina kwa hiyo naamka kila kiungo cha mwili kinauma kwenda tu bafuni naenda nayumba kama mlevi aliyezidiwa pombe na nikishaoga ndo network zinaanzaga kurudi na naanza kujutia kitendo nilichofanya.
Kuna siku nililiwa hela ya ada ya chuo kwenye kubeti na mitihani imekaribia, nilijifungia geto kwa hasira nikaanza kuchek porno na kupiga punyeto tu nakumbuka nilipiga bao 12 siku hiyo mpaka nikawa nachechemea kusimama siwezi, mashine yangu ilichubuka ikawa na kitonda kabisa lakini bado nikawa napiga hivo hvo hata maumivu nikawa sihisi tena, na mimi kwenye suala la nyeto huwa situmii kilainishi chochote huwa ni mkono mkavu.
NIMECHEKA KINOMAAA HAHAHAsiku moja nilibeti nikaliwa laki 6 na 80 elfu kwa siku moja, na siku hiyo ndo mshahara ulikuwa umetoka na kabla sijanunua chakula ndani kodi ya chumba nadaiwa nikasema ngoja nibeti walau ifikike milion moja then ndiyo nifanye mahemezi, nilipe kodi na kufanya mengine madogo madogo, lakini kilichotokea nililiwa hiyo more than 600k bado sijaanza kulala njaa na kodi nadaiwa, nikarudi geto nikajifungia nikapiga magoti nikalia kwa uchungu nikasema "EE MUNGU NAOMBA PEPO LA KUBETI LINIPITE MBALI ".
Nikaingia you tube nikatafta clip ya pastor mmoja ili nitubu maana nikawa naona kusubiri jumapili kanisani ni mbali, nikaipata clip moja ya pastor anaitwa CHRISTOPHER MWAKASEGE akiwa anawaongoza watu toba na kuziungama dhambi zao, nikawa nawafatisha maneno alokuwa anayasema huku nikiwa nimepiga magoti kabisa geto,
Nikaapa kabisa sitorudia kubeti, lakini nilikaa siku 5 tu sijui shetani akatokea wapi nikauza redio na pesa yote nikabetia na ikaliwa kilichofata ilikuwa ni kupiga punyeto kupunguza machungu na msongo wa mawazo na ndiyo tabia yangu hadi leo, so natamani kabisa kutoka kwenye hiki kifungo lakini imefika muda roho yangu ndani inanambia kabisa kuwa siwezi tena kutoka, najikuta kama teja flani tu ivi
virtual hutoboiUjambazi
Kuvuta sigara na bangi
Kununua malaya badoo halafu sio wote natumia kinga kwao
Unga nakula mara moja moja sio sana
Sisali kabisa msikiti nshasahau ulivyo
Kula wake za watu
Kubeti hasa virtual
Hivi wakuu nitatoboa kweli
Niliambiwa hili neno nikalifanyia kazi ikanisaidiaKumcha bwana ni chanzo Cha maarifa
[emoji23]Goli nane au kumi kwa nyeto........mmmhhhhh hii chai.
Mkono mkavu goli 8? Hata mate hupaki?Unaweza kuona ni chai ila mimi ndiyo muathirika ukweli naujua mimi.