Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa.Kuna ukweli hapa.
aya tuendelee
Uyo mzazi anaekuchukia hivyo ni wa kukuzaa au wamchongo.
Maana ya ndoa ni tabia ngumu😂Hiyo ndio maana ya ndoa sasa! Kukamilishana pale penye mapungugu kwa ustawi wa familia.
Kama hujawahi ona haina maana hakipoPole
Ila haka katabia ka mzazi kumchukia mtoto inakuaje??!!🤔 Yani nikuzae mwenyewe na nikufanyie madhira..hapana jamani
Duh kumbeMaana ya ndoa ni tabia ngumu😂
Kuvumiliana, kuchukuliana na kukamilishana.Maana ya ndoa ni tabia ngumu[emoji23]
Tufanye iwe ni siasaLazima tu inspiration ya hii siredi itakuwa ni Mapenzi...
Bila kisahau kuumizana!Kuvumiliana, kuchukuliana na kukamilishana.
Yani mtu wakati wa kulala ndo anavaa jeans ngumu na mkanda,hayo mapungufu unayakamilishaje kukamilisha mapungufu ya ndoa?Hiyo ndio maana ya ndoa sasa! Kukamilishana pale penye mapungugu kwa ustawi wa familia.
Huh!!Yani mtu wakati wa kulala ndo anavaa jeans ngumu na mkanda,hayo mapungufu unayakamilishaje kukamilisha mapungufu ya ndoa?