Tabia ngumu ya mzazi, watoto mtaijua vizuri pale mzazi mmoja akifariki (wakiwa hivi pamoja hufichiana siri)

Tabia ngumu ya mzazi, watoto mtaijua vizuri pale mzazi mmoja akifariki (wakiwa hivi pamoja hufichiana siri)

Pole
Ila haka katabia ka mzazi kumchukia mtoto inakuaje??!!🤔 Yani nikuzae mwenyewe na nikufanyie madhira..hapana jamani
Kama hujawahi ona haina maana hakipo
 
Hiyo ndio maana ya ndoa sasa! Kukamilishana pale penye mapungugu kwa ustawi wa familia.
Yani mtu wakati wa kulala ndo anavaa jeans ngumu na mkanda,hayo mapungufu unayakamilishaje kukamilisha mapungufu ya ndoa?
 
Back
Top Bottom