Weee nawe kama huwezi hata kusingizia kuwa gari inazinguaa wew tu ndo unaijuliqa bhasii mkatalie mtu maana utakuwa mtumwa waoo.Kazini Kuna umbali kidogo na Mimi usafiri wa umma Huwa naona changamoto Ile kujazana mle kwenye gari.
Uber naona gharama kuliko nkitumia gari yangu,kubolt boda nawaogopa wale madereva maana Kila Mmoja na akili zake,hivyo njia pekee ni kwenda na gari yangu.
Utashangaa sometime nimepark mshikaji anakuja anasema nimuazime akachukue chakula,mara sijui akapokee zawadi kwa demu wake,mara sijui akanunue dawa.
Asa hawa mi Huwa sihofii mafuta ila baadhi Wana uendeshaji wa ovyo kwa magari yasiyo Yao
Ndio mkuu,Insurance ya masaa mawili??? Akigongaa mnalipwa🤣🤣🤣🤣
Jaribu kuvaa viatu vya wapewa lift ukishaambiwa hivyo kazini kwenu si kazi itaongezeka kwa majungu ya wabongoHakuna namna zaidi ya kuwaambia hao ambao hawana magari kuwa seat zimebaki kwa ajili ya malaya tuu, hvy kama wao ni malaya bc wapande.
Hy ndo njia rahisi ya kukataa kutoa lift.Jaribu kuvaa viatu vya wapewa lift ukishaambiwa hivyo kazini kwenu si kazi itaongezeka kwa majungu ya wabongo
Nilipokuwa nafanya kazi kuna kamadam kana ki ist chake yani wale walimu bila haya midume mizima inafuatilia ratiba ya madam anatoka saa ngapi au anamaliza vipindi saa ngapi ili wapate lift na ni kila sikuHy ndo njia rahisi ya kukataa kutoa lift.
Hakuna kuremba mtu
Vijana wengi walionunua magari lengo lao kuu ni kubeba mademu tu hamma la maana .
Dah sasa hy n too much 😂 unakuta mtu anajua ratiba ya mwaka mzima ya mgawa lift siku akiondoka ghafla mnaanza kuwaza namna ya kurudi home kwa miguu 😂Nilipokuwa nafanya kazi kuna kamadam kana ki ist chake yani wale walimu bila haya midume mizima inafuatilia ratiba ya madam anatoka saa ngapi au anamaliza vipindi saa ngapi ili wapate lift na ni kila siku
Utakuta mtu kama ana kipindi muda ambao madam anaondoka atamuomba mwalimu mwenzie amfundishie atakuja kufundisha kipindi mbadala cha kesho aisee kwangu nilikuwa naona ajabu
Mpaka nimechoka aisee, mtu anazungumzia uhuru wa kuchukua malaya 😂Vijana wengi walionunua magari lengo lao kuu ni kubeba mademu tu hamma la maana .
Sasa nafikiria mfano yule madam anataka kuua ule utaratibu watu waliouzoea ataanzia wapi maana imekuwa ni daily routine wenyewe wanaita kibasi utasikia "oya kibasi kinaondoka saa ngapi leo"Dah sasa hy n too much 😂 unakuta mtu anajua ratiba ya mwaka mzima ya mgawa lift siku akiondoka ghafla mnaanza kuwaza namna ya kurudi home kwa miguu 😂
Wapunguze kisaikolojia liache gari nenda kwenye issue zako ukirudi hutokuta mtu. Mtu akikuomba gari kwenda chukua chakula mwambie gari ina shida kwenye eng unaendesha kwa machale aka mashariti ya teach wako... Baadae siku unaliacha au unatoa upepo yaani...Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Dah ety kibasi 😂Sasa nafikiria mfano yule madam anataka kuua ule utaratibu watu waliouzoea ataanzia wapi maana imekuwa ni daily routine wenyewe wanaita kibasi utasikia "oya kibasi kinaondoka saa ngapi leo"
Hivi haujui ulaji wa mafuta unaendana na mzigo uliobebwaYn mafuta yaishe kisa kugawa lift ya mtu mmoja?
Dah 🙌 namshukuru Mungu sina usafiri ila sio rahisi kuomba lift kwa watu ndo mana sikutan na watu wenye roho mbaya kama hizi
Yaani bora niwape lift majirani zangu lakini sio watu wa kazini kwangu,Huwa sipendi mfanyakazi yeyote ajue maisha yangu nje ya pale ofisiniHata mimi nilikuwa hivyo ila niliacha, umasikini tu na umalaya unakusumbua.
Sitaki wachangie mafuta ila sipendi watu wa kazini kwangu walivyoweka mtindo wa kuomba lift na kuugeuza ni utaratibu.Nilichoona kwa mtoa mada na baadhi ya wanaosapoti kilichoandikwa na mtoa mada ni wana roho mbaya tuu, huwez kulalamika ety Ukitoa lift kwa mtu mmoja mafuta yattaisha, bc n sawa mafuta yataisha c unawaambia tuu wachangie mafuta au unaenda uelekeo tofauti na wao kwa nia ya kuwakwepa tuu kuliko kuwa kwenye makasiriko yasiyo na msingi
Watu watajenga chukiUkikataa kutoa lift au kumpa mtu gari utapatwa na nini!!??