Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

Mm naongoza hasa nikiwa kwenye relationship iliyonishika😂😂😂😂 yaani Huwa Sina kias ni kukugongea calls muda wowote niwe mkweli😂😂

ila Kwa pipo zingine hapana Huwa sipig sana naweza hata nisifungue missed call hata siku 2 Tena namba ngeni ndio sizipendi
Wewe NI MASKINI WA AKILI HADI KIPATO. Huoni kama ni upumbavu uliotukuka kupuuzia missed calls? Mapenzi kwako ndo bora zaidi? Pumbav.
 
Amina.Na waliojipata Mara nyingi hawataki bughuza
Siyo hawataki bughuza ni wapumbavu!

Simu ina option ya kuweka vibration au kuizima kwanini wasitumie njia moja wapo wa hizo wakitaka kupumzika?pia zipo codes fulani fulani za kuweka ili line ionekane iko busy au inatumika kwanini wasitumie hizo?
 
Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu

Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake

Umeamua kuchukua muda wa kupumzika, umechagua kutokusikiliza yeyote ili uache akili yako ipate utulivu.

Kiufupi ni mazingira yeyote ambayo yanakufanya usipokee simu, kwa sababu una uhuru wa kutumia simu yako.

Lakini unakutana na mbongo ambaye hana kiasi. Yeye akili yake inamtuma akupigie simu mpaka upokee, anapiga simu hata mara 10. Ajabu ni kwamba hana hata jambo la dharura na kwamba angekupigia mara moja kisha baadae ukiwa free umpigie. Hata common sense tu ya kwamba ngoja niache sms imsaidie kujua kiasi kuhusu shida yangu.

Inakera sana kuona mtu anapiga simu nyingi mfululizo bila sababu ya msingi. Kama simu yako haipokelewi tulia, missed call moja au mbili zinatosha
Uko wapiiii.....
 
Siku nyumba iungue haupo au mwanao ameze shoka utakuja kufuta huu uzi
 
Uzuri mmoja ni huo nna uwezo wa kuishi na mtu kwa namna anavyonitreat. Ukinitreat kwa 1 call nakutreat hivyo hivyo.

Kwa bahati mbaya sinaga muda na mtu ambae ananipuuzia, i don't beg for someone attention in my life. Sorry kwa kujieleza sana😂
🤣🤣🤣 Huyo mkeo ajae namuhurumia😔
 
Back
Top Bottom