Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

mtu akinipigia smu zaid ya mara 2 huwa nadhani kuna emergency, kwa hyo ni lazma npokee
 
Huwa sina kawaida ya kuwapigia watu simu bila sababu kwa hiyo nina watu wengi tunaonana whattsap. Hivyo, siku nikipiga simu lazma mtu apokee maana sio kawaida yangu na kama hatokuwa na time lazma anijulishe atanicheki instantly

Hiyo tabia ya kuwa available kwa watu, kuwapigia pigia kila muda ndio inafanya mtu aonekane cheap na hana la maana. Kwa hiyo msimlaumu mtoa mada kwa kusema ukweli wake maana ndio uhalisia wa wengi. Kama humpi penzi au deals za pesa, utaonekana msumbufu tu
 
Siyo hawataki bughuza ni wapumbavu!

Simu ina option ya kuweka vibration au kuizima kwanini wasitumie njia moja wapo wa hizo wakitaka kupumzika?pia zipo codes fulani fulani za kuweka ili line ionekane iko busy au inatumika kwanini wasitumie hizo?
Unadhani hakuna watu wanaowapokelea simu zao muda huo huo wanapohitaji utulivu. Wapo wengi tu

Ila hao anaoona ni usumbufu ni calls zile ambazo hazihitaji kwa sababu hazina maslahi au ni watu ambao hana emotional attachment nao. Kiufupi ni zile simu za "kujipendekeza na kushoboka"
 
Kuna watu hatuna mazoea na simu , nikikupigia mara moja usiposhika hata ujumbe siachi , nina legitimate expectation utanitafuta , usipopiga ndio basi ishapita hiyo.
Namuunga mtoa mada , watu wawe wastaarabu , piga mara moja au mbili max
 
una moyo sana asee, mi nkikupigia sana mwisho mara 3, usipontafuta jua imeisha hyoooo
 
mtu asiepokea namba ngeni huwa namwona ni mshamba na limbukeni. what if babako kagongwa na gari, simu ikapotea sasa kaazima smu ya mtu ili akupigie umsaidie?
 
wanasemaga "nobody is busy, its just matter of priorities"
 
Inakera zaidi mtu kuandika paragraph nyiiingi akizunguka zunguka kutoa maelezo ya wanaopia simu mara nyingi halafu point ipo paragraph ya mwisho
 
Kama mtu hutaki usumbufu pokea simu mwambie usiyemuhitaji ā€subiri nitakupigiaā€ kata simu endelea na mambo yako.

Siyo unaacha simu inaita missed call ya kwanza mpaka ya tatu huchukui hatua,sijui lakini labda tunatofautiana.
 
 
Kama mtu hutaki usumbufu pokea simu mwambie usiyemuhitaji ā€subiri nitakupigiaā€ kata simu endelea na mambo yako.

Siyo unaacha simu inaita missed call ya kwanza mpaka ya tatu huchukui hatua,sijui lakini labda tunatofautiana.

Ni kweli mkuu na sio sawa mtu aliyekupigia simu ndiye ajielezee kwanza, wewe usiyepokea unaweza kumtumia ujumbe au ukapokea simu faster na kumjulisha akutumie sms maana upo busy.

Sometimes watu wanahitaji tu kuoneshwa umuhimu ili wapunguze kuwa desperate Ila ukiwakalia kimya unaongeza tatizo.
 
Kuna ubize ndio lakini wakati mwingine jitahidi ku respond kwa simu za watu wanao kupigia kwasababu wewe unaweza kuona kama amepiga akaongea ujinga lakini kumbe mwenzako yuko kwenye wakati mgumu au pengine ata yuko kwenye stage ya kufanya maamuzi mabaya na moyo wake umemtuma akupigie wewe ili apate relief sasa na wewe unapo acha kupokea ndio hapo unasikia mtu kajiua ndani mwake lakini kumbe kama ungepokea basi ungefanya moyo wake kua na amani na angejiona ni binadamu wa thamani na kingine usiseme tu anae kupigia ndio atume sms je.? Unaonaje wewe pia ukimtumia sms kumwambia utampigia baadaye ukiwa free

Kwaio angalia sana usije kujiona wewe uko busy sana ipo siku utawahitaji ao watu na utakuta mioyo yao ilisha kufa hawakutaki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…