Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
Inakera Sana kakaHii sio kweli mkuu, mimi tangu siku nilipoanza kumiliki simu sijawahi kuwa napenda kupokea simu, mara nyingi huwa napendelea mtu anitumie SMS inayojieleza hususani ikiwa ni namba ngeni, mara nyingi nikiona mtu ananipigia simu zaidi ya mara mbili bila kutuma ujumbe mfupi huwa na assume hamna jambo la msingi hapo