Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Huu unakuja wenyewe shosti si hata kupanga kwangu..! Ila anyway, I'll learn mpenzi...!
 
Ahsante sana kwa ushauri Bwana Detective..!!
 
Hizo nazo ni zile hamu tu zikianza kupanda na kushuka basi na wewe unakua mgomvi ghafla
muwe mnamaliza hamu za wenzi wenu,,,uzuri mimi wa kwangu anamaliza so sina sababu ya kumkasirisha,,,mimi nikiona amekasirika na mimi naumia

ila kiufupi kuna wale watu deep down wana roho mbaya bila kujijua,,,wakiona unafeli au unateseka ndio furaha yao,,mtoa mada labda yuko kundi hilo,,,aombe Mungu amsaidie kuondokana na hiyo tabia

ni mawazo yangu tu
 
ya kwake ni vise versa, huwa upande mmoja unachukia while mwingine unafurahia

sijapenda mimi namuombea Mungu ambadilishe
 
Sijui labda Wanaume tupo tofauti ila Mimi huwaga ni mwepesi sana wa Kumpotezea mtu yani Naweza kukupenda kufa lakini Ukileta drama za kifala na kunikosesha amani unaweza hisi sijawahi kukupenda kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mzee baba😂
 
Mwanaume anakaa mahali anapopata PEACE OF MIND yani hata uwe na shape nzuri vipi na unajua kupika vipi pia Chumbani unaikatikia kama feni lakini dada mwanaume Humpi amani yani wew ni kumvuruga tu bhasi jua ipo SIKU ATAKUACHA bila taarifa.
 
Sijui labda Wanaume tupo tofauti ila Mimi huwaga ni mwepesi sana wa Kumpotezea mtu yani Naweza kukupenda kufa lakini Ukileta drama za kifala na kunikosesha amani unaweza hisi sijawahi kukupenda kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hata wanawake tupo Kama mlivyo wanaume, Sipendi kabisa Kero!!yaani nikiwa na mtu ananifokeafokea kila saa namshangaa Sana atachoona hapo Ni vumbiiii tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…