Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Nimesoma mada moja juzi humu jf nimejifunza kitu hiyo hali si ya kawaida nafsi yako imechukuliwa hivyo bac unakuwa unafanya vitu visivyo vya busara .omba sana mungu hiyo nafsi ikuondoke
 
Unajikuta Drama queen, kutana na niggas wanaoControl frame wakufunze tabia. They will punish your Bullshit.
 
Kuna ndugu yangu anatabia Kama yako.Mkiwa kwenye mikusanyiko ya kifamilia,mkanywa mkaanza kufurahi lazima aanzishe chokochoko na agombane na mtu ndo afurahi. Nimechoka na tabia yake na nilichoamua nitakua nakaa naye mbali.

Tukutane kwenye misiba na sherehe na nitakuwa busy na issue zangu.Nyumbani kwake nitaenda Kama kunashughuli ya kutukutanisha wanafamilia na nitaenda muda ambao shughuli inaanza na ikiisha tu naondoka.

Tabia nyingine zinakera!.
 
Hata hivyo mlishasema yenu matako akili mtatumia zakwetu!..
By the way itafaa zaidi ukutane na mtu ambae furaha yake ni kuona nundu ama damu nafikiri yatakuwa mapenzi ya heri kwenu..[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo comments sasa lol
 
Haha.
Hivi Extro, una nini lakini..? Kwanini kila siku ban unapigwa wewe ndugu yangu.?? Ukirudi naomba nijibu una tatizo gani.???
Ni wivu tu hebu niambie neno chocco ni tusi kwa lugha na kamusi ipi?
 
Tatizo haujawahi kupigwa kwa ajili ya hiyo tabia
 
Ni wivu tu hebu niambie neno chocco ni tusi kwa lugha na kamusi ipi?
Kuna rafiki yangu wa utotoni kani save hivi sababu anajua napenda sana Chocolate, sasa naye ndiyo kashanitukana hivyo maskiini..!
 
Ukiwa busy na kazi zako wala hutakua na muda wa kuwaza kuanzisha ugomvi. #BeBusy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…