Tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani inanikera sana

Huelewi chochote bro we baki tu kwenye siasa bungeni mtu akibanwa mkojo anaenda chooni.

Ushawahi ona hilo kwenye match? Je unajua wana manage vipi?
Hata VAR ilipingwa na bado kuna watu mpaka leo wanaipinga. Tusiishi kwa kukariri.
 
Kama uzi tu unakutia kinyaa, vipi ukiwa ya screen huku mchezaji anatema mate kama swila?
Eti swila🤣🤣🤣

Mkuu swala la kutema mate haliepukiki lakin inapaswa pia kuandaa mazingira Rafiki yakutemea mate
Lkn Kila nikifikiria ikiwa mnashambuliwa golin na ww mate yamekujaa mdomono 🤔sijui utaenda kukaba au utaacha mshambuliwe huku ukitafuta disturbing yakutemea mate?
 
Disturbing = dust bin?
 

Kwa maelezo yako inaonyesha ww sio mpenzi wa denda
Sio denda tu, hata chumvini siungi mkono
 
Mleta mada ana hoja asikilizwe na FIFA! Basi kama hilo haliwezekani wawe wanaenda kusukutua na maji kule pembeni mwa uwanja wanatema huko huko na siyo ndani ya pitch! Hii huwa ni tabia tu mbona wengine huwa hawatemitemi hovyo?
 
Ila hajakataa kutema mate, nilivyomwelewa amesema watengewe sehemu au wateme kistaarabu
 
Kwanza Mwanaume kuona Kinyaaa UNAANZIA WAPI?

AU USHALEFT?

Mwanaume unaonaje Kinyaaa unaanzaje kwanza? Ukute we Mtoto wa MAMA SANA.
 

Inaonesha hujawahi kabisa kusukuma gozi la ng'ombe...
 
Temaaa temas..khaaa nao eti uziii basi sawaaa
 
Jaribu kufanya mazoezi rahisi ya nguvu ya kukinbua kwa muda wa msaa 2 ama matatu bila kupumzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…