Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Unataka watoke wakateme nje ya uwanja wakati mechi ikiendelea?Mada haisemi wasiteme mate bali hoja ni wateme wapi/wateme vipi. Tatizo hapa ni mazoea tuliyonayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka watoke wakateme nje ya uwanja wakati mechi ikiendelea?Mada haisemi wasiteme mate bali hoja ni wateme wapi/wateme vipi. Tatizo hapa ni mazoea tuliyonayo.
Kama uzi tu unakutia kinyaa, vipi ukiwa mbele ya screen huku mchezaji anatema mate kama swila?Huu Uzi unatia kinyaa ni mate mate mate mate mate tunatapishana wakuu🤣🤣🤣
Mbona huwa wanatoka nje kugangwa na kurudi uwanjani?Unataka watoke wakateme nje ya uwanja wakati mechi ikiendelea?
Huelewi chochote bro we baki tu kwenye siasa bungeni mtu akibanwa mkojo anaenda chooni.Mbona huwa wanatoka nje kugangwa na kurudi uwanjani?
Hata VAR ilipingwa na bado kuna watu mpaka leo wanaipinga. Tusiishi kwa kukariri.Huelewi chochote bro we baki tu kwenye siasa bungeni mtu akibanwa mkojo anaenda chooni.
Ushawahi ona hilo kwenye match? Je unajua wana manage vipi?
Eti swila🤣🤣🤣Kama uzi tu unakutia kinyaa, vipi ukiwa ya screen huku mchezaji anatema mate kama swila?
😄😄😄Akicheki Tv ya shemeji 🤣🙌🙌🤣
Juhudi za kiuno cha dada kinampa mpaka yeye ufadhili
Disturbing = dust bin?Eti swila🤣🤣🤣
Mkuu swala la kutema mate haliepukiki lakin inapaswa pia kuandaa mazingira Rafiki yakutemea mate
Lkn Kila nikifikiria ikiwa mnashambuliwa golin na ww mate yamekujaa mdomono 🤔sijui utaenda kukaba au utaacha mshambuliwe huku ukitafuta disturbing yakutemea mate?
Eti swila🤣🤣🤣😀😀
Mkuu swala la kutema mate haliepukiki lakin inapaswa pia kuandaa mazingira Rafiki yakutemea mate
Lkn Kila nikifikiria ikiwa mnashambuliwa golin na ww mate yamekujaa mdomono 🤔sijui utaenda kukaba au utaacha mshambuliwe huku ukitafuta disturbing yakutemea mate?
Sio denda tu, hata chumvini siungi mkonoKwa maelezo yako inaonyesha ww sio mpenzi wa denda
Shukran mkuuDisturbing = dust bin?
Chumvini kwa Mamasamia2025 wa JF?Sio denda tu, hata chumvini siungi mkono
Ila hajakataa kutema mate, nilivyomwelewa amesema watengewe sehemu au wateme kistaarabuNdugu Salary Slip umeshawahi cheza mpira au kushiriki mchezo wowote ule? elewa pale uwanjani kuna shughuli nzito mno kiasi kwamba mtu anakuwa sio kama wewe uliyekaa hapo kwa mume wa dada yako unatazama mechi. Kutema mate haiepukiki kwa mcheza soka au mwanariadha anapokuwa kwenye kazi yake. Ninakushauri wakati mwingine andika hata uzi wa mapishi jinsi unavyopika hapo kwa mume wa dada yako.
Katika vitu vinavyonikera na kunitia kinyaa ni tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani,. Najua sometimes kuna sababu(jasho kudondokea mdomoni, n.k), ila lazima kuwe na hatua za ku-discourage hii tabia ili vitendo hivi vipungue viwanjani kwani inatia kinyaa sana,
Jaribu kufanya mazoezi rahisi ya nguvu ya kukinbua kwa muda wa msaa 2 ama matatu bila kupumzikaKatika vitu vinavyonikera na kunitia kinyaa ni tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani,. Najua sometimes kuna sababu(jasho kudondokea mdomoni, n.k), ila lazima kuwe na hatua za ku-discourage hii tabia ili vitendo hivi vipungue viwanjani kwani inatia kinyaa sana,
Wachezaji wenyewe ndio waathirika zaidi pale wanapoanguka au kukaa chini uwanjani kwani wanakalia uchafu bora jasho ambalo haliepukiki,
Tutajifanya kutetea kwa kutoa sababu mbalimbali kwasababu hii ni soka lakini ni ukweli mtu mzima hata ukiwa kwenye kundi la watu huwezi tu kugeuka na kutema mate bali kwa mtu mstaarabu utasogea pembeni kabisa kutema mate tena huku nafdsi ikiwa inakataa, kukusuta na hata kuona aibu.
Wakati umefika FIFA waanzishe kampeni ya ku-discourae hii tabia katika mchezo wa soka ingawa ni vigumu kuiepuka kwa asilimia 100. Hata hivyo, kitendo tu cha kuiponda hii tabia, itapunguza tabia ya wachezaji wanaotema mate uwanjani kwa mazoe tu(wanatutia sana kinyaa).
Ushauri:viwanja viwe na sehemu maalumu za faragha kwa wachezaji kwenda kutema mate na kurudi uwanjani jirani na maeneo wanayokaa wachezaji wa akiba na mabenchi ya ufundi.
Hadi ukimwi?Kama ujawahi kucheza mpira elewa hii ni kawaida sana. Alafu wachezaji ni wazima sana ndio maana unaona kwenye uhamisho ni lazima wapimwe na kama kuna ugonjwa hatari ambao hautibiki mchakato unaishia hapo.