Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Kuwaita hao wavaa vipedo wanaume hebu tuombe radhi wanaume halisi
 
Ww sasa usijekuwa msabato huwa mnamamisimamo ya kipuuzi.swala ni mtoto wa kiume uchi wake unaanzia magotini mpaka kifuani .pia asivae nguo ya kubana.ila mengine chaguo la mtu mkuu uhai ni zawadi ya mungu unappaaswa uenjoy usivae suti ukiwa beach .
Hizo pens za Heshima unazoziongelea hazipo madukani nowadays!!

Saiz vipo vikaptula vinavyobana maungo ya uzazi ,juu ya magoti, mapaja nje.

Na jinsi wanavyopenda chips, mapaja yanametameta.

Bahati yetu Sina mamlaka,

Mngekoma!!
 
Naunga mkono hoja.
 
Pesi isiyobaana na inayoanzia magotini kwenda chini ni ya heshima .tena nyingi za jeans za heshima .mm huwa nanunua jeans nalikata chini kidogo ya goti .au kadeti naikata
 
Attachments

  • Screenshot_20240127-202601_Chrome.jpg
    147.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240127-202321_Chrome.jpg
    105.4 KB · Views: 6
sawa ila sio mbaya mkisikiliza na ya upande wa pili wanawachukulia na kuwaonaje
vile mnavyoparangana na vibukta vyenu
nivyema kupata mawazo tofaut kuliko ya upande mmoja
Wanawake mkiingia huku, Aibu itakuwa kubwa.

Msijesababisha sonona. Tuache turejebishane kiume.

Ongea tu na mwanao Ili asijevaa vipensi vya kubana makalio na viungo vya uzazi, usijekosa wajukuu🙏
 
Kwamba Mwanaume hawezi mtamani Mwanaume mwenzie?

Unajua maana ya USHOGA?

Roho ya shetani Iko kazini, acheni mambo haya Ili tuiponye JAMII yetu.
Nilikuwa naongelea wanawake. Kwamba mwanamke hawezi kumtamani mwanaume,kisa ameona njiti zake. Tofauti na aanaume,wanaoweza kutamani kwa kuona tu vijiti vyao
 
Pesi isiyobaana na inayoanzia magotini kwenda chini ni ya heshima .tena nyingi za jeans za heshima .mm huwa nanunua jeans nalikata chini kidogo ya goti .au kadeti naikata
Manara alivaa hicho Cha juu, na wengi tu wenye Heshima zao wanavaa vipensi vya kishoga.

Tatizo hawawezi kutofautisha wavaaji huko majuu, zilizotokea, wanaume ni WA kihesabu.

Tuache kuiga Ujinga.
 
Hivi hizi standards huwa mnazitolea wapi? Kiko wapi kitabu cha maadili ya mtanzania?? Mnanukuu wapi tujifunze? Kama ni kutoka kwenye halmshauri ya kichwa chako ni kwamba unatakiwa wewe tu utumie kama standard yako, sio kuwapangia watu maisha yao! Huna haki hiyo wala nini usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu usiwaojua wala hawakuhusu
 
Nilikuwa naongelea wanawake. Kwamba mwanamke hawezi kumtamani mwanaume,kisa ameona njiti zake. Tofauti na aanaume,wanaoweza kutamani kwa kuona tu vijiti vyao
Nikwambie,

Mama zetu huumizwa sana kuona mtoto wa kiume akivaa mavazi yasiyo na Maadili kuliko hata wa kike.
 
Wakati wa awamu ya kwanza,ukivyaa kinyume na madili,utajui hujui.Mwalimu Nyerere ilikuwa hataki upumbavu mbavu na kucheka na wapumbavu.Ilikuwa ukivaa suruali ya kubana,inaingizwa chupa ya bia,kama haikupita,utajua kama hujui.Nakumbuka wanawake wa kihindi wa dini ya Hindu,walikuwa wakivyaa nguo zao,wanaacha kiuno na mgongo wazi,aliwapiga marufuku kuvaa hivyo,na wakabadilika,japo walisema ni dini yao ndio inaruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…