Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Bado hata swala nyeti la shisha na kubeti hatujamaliza nyie msharukia mavazi? Ebu tupumzisheni vijana tatizo Ajira suruali zimepanda sana bei serkali ituangalie Karume tunapigwa sana na Mawinga.
 
Hizi TABIA mmeanza Juzi tu,

Dar joto halijaanza Juzi.

Msisitiri wanaume wenzetu, Mnatia Aibu!!

We kumbe ni bogaz kabisa,hujui dsm ya leo sio ya zamani,kwa sasa utandawazi mkubwa na unafiki umeanza kuondoka miongoni mwa watu,kuvaa pensi si kosa.
 
Hii tabia imeanza baada ya wale washinda vijiweni kuanza kwenda Jim kwaajili ya kutanua misuli ndio ujinga ulipoanzia wanajifanya wanaonyesha 6mbavu za mbwa
Gym sikuizi ni center ya kueneza USHOGA.

Haya mambo tusipokuwa wakali, uzao wa mtoto wa kiume utapotea.
 
We kumbe ni bogaz kabisa,hujui dsm ya leo sio ya zamani,kwa sasa utandawazi mkubwa na unafiki umeanza kuondoka miongoni mwa watu,kuvaa pensi si kosa.
Haipo SHERIA inayokataza,

Mm naongea na wanaume wenzangu turudi kuangalia Maadili.
 
Haipo SHERIA inayokataza,

Mm naongea na wanaume wenzangu turudi kuangalia Maadili.

Tuvae misuli na kanzu huku vitendo vya ulawiti vikiongezeka kama yule shehe aliyembaka mwanafunzi wa madrasa,ndio unataka hivyo.

Kwako wewe dhana ya mavazi imekaaje mana kabla ya wazungu na waarabu tulivaa mashuka na vinguo vvya kufunika via vya uzazi na maisha yalisonga,

Nadhani unashida na kuelewa suala la mavazi ni utamaduni mahalia na sio matakwa yako binafsi. Ukienda scotland wanaume kuvaa siketi ni vazi la heshima.
 
Pensi navaa aisee tena vizuri tu na mwili ni wa kawaida halafu mbona watu wanavaa na wanakuwa poa kabisa

Huyu jamaa ni mshamba na limbukeni inaonekana mjini kafika siku sio nyingi arudi kwao umatumbini akaendelee kunywa kahawa na wazee wenzie huku wamevaa misuli.
 
Ok lete reference fasta, picha, video, links etc, otherwise ni imani yako tu na utunzi najua kila mbongo msanii siku hizi!

Nyerere mwenyewe alikuwa anavaa pensi wkt anafundisha Pugu, waalimu, askari polisi, magereza, matarishi, na wengine walivaa kaptula kama hawa maafisa wa mwanzo post independence, zipo chini au juu ya goti?

madc wote uniform zao zilikuwa kaptula!
 
Hii ilikuwa ukoloni ulipokuja uhuru alipiga marufuku mila za kuangaliana mapaja
 

Attachments

  • Screenshot_20240127-230330_Chrome.jpg
    184.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240127-230252_Chrome.jpg
    206.5 KB · Views: 4
Mikono wazi, kaptura pale kariakooo. Inataka moyo mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…