Tabora United ndio hii iliyocheza na Yanga mpira wa nguvu na akili nyingi pale Dodoma ama ni wengine hawa?

Wachezaji wakipataga mapunziko tu kidogo fitness yao lazima ishuke sana hasa hawa wa timu za madaraja ya kati.

Wasingepata likizo huenda ubora wao ungekuwepo.

Hata hivyo kila match ina mipango yake. Waobsio wa Kwanza kufungwa
 
Pole Kwa maumivu aseehh too personal

JamiiForums mobile app
 
Pole. Unateseka ukiwa wapi?
 
Makosa yanaendana na uhalisia sio makosa ya kiboya vile Kila wakati makosa yako upande mmoja tu? Kwani mpira umeangalia peke yako? Makosa Aya yametokea kwenye mechi ya Simba tu Leo mechi nyingine zote makosa ayatokei sio?
Kunywq vidonge ni vikubwa havipiti kooni kwako!
 
Na ikafungwa tena na Kagera Sugar
 
Ila tuseme ukweli Mechi ya Tabora na Simba iliboa sana.
Tabora hawakuwa katika ubora wao hata japo kidogo.
Angalia Mechi ya Mashujaa na Simba. Ilikuwa Mechi nzuri sana.

Tatizo Tabora waliwadharau sana Simba, na wakafanya maandalizi hafifu sana.
 
Aliyewaita utopolo alitafakari mbali sana,hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…