Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Kwa maumivu aseehh too personalTabora united ya Leo ni Nini kimewapata?
Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini nilichokiona Leo pale Aly hassani mwingi stadium ni kichekesho Cha kufungia mwaka!
Wamefungwa magoli mepesi sana, wamezuia vibaya, kipa Noble aliyekuwa anaonekana ni makini Leo kawa tofauti kabisa kafungwa magoli ambayo ni aibu kuruhusu kipa Kama yeye!
Nafikiri Kuna mipango michafu imefanyika kwenye mechi ya Leo ambapo biashara ilishafanyika kwa wachezaji na timu nzima!
Aina ya uchezaji wa Tabora Leo na ukiangalia mechi zao nyingine utabaki mdomo wazi!
Wao waendelee kufanya biashara kitachowakuta mbele ya safari watasimulia, kuuma meno kwenye mechi nyingine na kutoa sandakarawe kwa wengine unakuwa unajitengenezea anguko ambalo alitokuacha salama!
Na Simba pia wajiangalie vizuri kurahisishiwa kazi na kushinda kwa mipango aijengi timu yako zaidi ya kukudidimiza maana autojua MAPUNGUFU yako ni yapi matokeo yake utakumbana na wenzako wasiopokea bahasha utadhalilika na ukipigwa 5 nyingine ndio mtaanza kutafutana na kufukuzana mkiamini mnayo timu Bora kumbe ilikuwa inashinda kimipango mipango!
Tabora united mmejidhalilisha sana na namna matukio yalivyokuwa yanafanywa na wachezaji ilionyesha dhahiri Kuna maigizo kwenye mechi ya Leo!
NB NASIKIA MMILIKI NI BWANA ISMAIL ADEN RAGE KAFANYA KAZI YAKE KIUFASAHA ANASTAHILI PONGEZI!
TUNASUBILIA KIWANGO KAMA HIKI HIKI DHIDI YA AZAM PALE CCM KIRUMBA MWANZA!
Pole. Unateseka ukiwa wapi?Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata?

Kunywq vidonge ni vikubwa havipiti kooni kwako!Makosa yanaendana na uhalisia sio makosa ya kiboya vile Kila wakati makosa yako upande mmoja tu? Kwani mpira umeangalia peke yako? Makosa Aya yametokea kwenye mechi ya Simba tu Leo mechi nyingine zote makosa ayatokei sio?
Na ikafungwa tena na Kagera SugarMawazo ya kijinga sana haya ktk soka.
Barcelona, Bayern Munich, PSG, Liverpool, Real Madrid, Manchester United, Manchester City, n.k huwa zinafungwa na vitimu vya hovyo mpk unamshangaa. Huo ndiyo mpira.
Yanga ilifungwa na Ihefu, kulikuwa na biashara??
Aliyewaita utopolo alitafakari mbali sana,hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sanaTabora united ya Leo ni Nini kimewapata?