Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Tukutane kwenye kijiwe cha kahawa kwa Sheikh karim .
 
Unaonesha ujinga uliosomeshwa umekujaa tele. Hata kuitazama video hujaitazama umeshapata majibu.

Hakuna Profesa wa "kidini" hapo, sema kweli tu, ujinga uliojazwa unashindwa kutumia neno Wakiislam, ndiyo hayo hayo yanayoongelewa kwenye hiyo video.
Brainwashing ni kitu mbaya sana. Inatia upofu na hofu. Watu wamejawa hofu ya kitu na hata kuchambua hawawezi. Hii historia imepotoshwa kwa malengo maalum. Nawaomba wachangiaji wasikilize ndipo watoe mitizamo yao
 
Kwahiyo Faiza huamini kuwa waarabu walifanya biashara katili ya utumwa kwa mababu zako huku wakikuhubiria uislam au udini na ujinga ndo vimekujaa?
Kwanza itazame video na uisikilize vizuri kisha uje kuuliza maswali yako. Swali lako liko nje kabisa ya mada.

Kwa kukujuza tu biashara ya utumwa ilikuwa haina Mwafrika, Mwarabu, Mzungu, Muasia, wote waliifanya na inafanyika mpaka leo. Tena kuna wanaojiuza kwa hiyari yao kabisa, hapahapa kwetu wanjianika bwerereee.

Sasa hao wanojiuza wateja wao ni nani?
 
Kitimoto yapanda bei ghafla!
Mwenyewe umejiona ndiyo umefanya la maana kweli kweli. Ndiyo wale wale, tunawafahamu.

Tunajuwa inauma lakini ndivyo ukweli ulivyo, stahamili, utazowea.
 
Kila...
Sijapata kusema Aziz Ali ametokea Mlandizi.

Naifahamu vyema historia ya Aziz Ali kwani katika miaka ya 1930s nyumba ya Aziz Ali na ya babu yangu zilikuwa jirani Mtaa wa Mbaruku na Congo Gerezani.

Hawa ni Wadigo kutoka Tanga.

Thread 'Historia ya Aziz Ali' Historia ya Aziz Ali
 
Sijataja dini ya mtu nimesema mwarabu.
Hahahahaha, huo ndiyo ujinga mliojazwa Mwarabu na Mswahili ni 'synonym" za Waislam. Kwanini usitaje na wengine? Fumbo mfumbie mjinga.

Nakushauri isikilize video kabla hujakurupuka.
 
Mada umeiona? Umeisikiliza, unasemaje kuhusu mada?

Hapo unaposema "Aziz ni sisi" unamaanisha nini?
 
Unaelewa tofauti ya kanisa na white Christians?

Amewawakilisha hadi waoman.
Wacha upoyoyo wewe, kanisa katoliki lina uhusiano upi na Walutheri na Waanglikana na Protestants wa USA?

Kuna White Christians hawataki hata kumsikia huyo Papa. Kawajaze ujinga wengine, si mimi.

Huyo kaomba radhi kwa kuwa Merikebu ya kwanza kupeleka waatumwa Kontinenti la Amerika iliwapeka Jkwa jina la Yesu. hata jina la Merikebu hiyo iliitwa Jesus na ilitokea kwa Wakatoliki na bila shaka ilibarikiwa na kanisa katoliki.
 
Huyo niliempa ujumbe somo amelipata inatosha.
Hauna ujumbe wala somo, nakuona poyoyo tu. Yeye alimtaja kuwa yupo Mlandizi ni Dossa Aziz, sasa wewe unaleta Ali Aziz na Aziz Ali. Tuondolee ujuha wako hapa.
 
Nahisi hiyo video imejaa ujinga , from free basic jf
 
Kilatha,
Ali Aziz ikiwa unamkusudia huyu ambae alikuwa Immigration tukifahamiana lakini jina la mke wake silijui.

Mama yake Ali Aziz sisi tukimwita Mama Ali nikimfahamu pia akiishi Ilala.

Akina Kingui nawafahamu pia na Adam Kingui tumesoma sote St. Joseph's na tumekua pamoja Kipata Gerezani.

Dully Sykes ni mtoto wa Ebby Sykes na mimi na Ebby tumekuwa pamoja toka utoto wetu na anampata Dully mimi najua na nikimjua mama yake kutoka ukoo wa Aziz Ali.

Dully kwangu ni mtoto.

Mimi na Ebby Sykes babu zetu, bibi zetu na mama zetu walikuwa majirani toka miaka ya 1920s sisi hatujazaliwa.

Nimefurahi kuwa wewe ni mmoja wa koo hizi ambazo nami zimenihusu lau kwa mbali.

Nimehifadhi kumbukumbu nyingi za koo hizi na ningependa sana kujifunza zaidi kutoka kwako.

Mimi nimezaliwa Kipata 1952 mtaa ambao amezaliwa Hamza Aziz.

Picha hii ya Bi. Mwasaburi, Mama Ali nilimpiga kiasi cha miaka miwili iliyopita.

 
naona umeanza na ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…